Kesi za Sabaya ni za kisiasa zaidi kuliko za viongozi wa CHADEMA wanaodai kushitakiwa kwa sababu ya siasa.

Wakati viongozi wa CHADEMA wanavunja sheria kwa makusudi, nyuma ya pazia la siasa, wametumia uhalifu huohuo kumzulia Sabaya tuhuma kwa kuwa tu alivunja ngome ya M/kiti wao huko Hai.

Kama wafuasi wa CHADEMA mnavyodai humu, amtajae Magufuli ni "Sukuma Gang" nanyi pia mnamsujudu Mbowe, mafiaso. UKWELI NDIO HUO
 
Sabaya akirudi mtaani watamuua. Nashauri ahame kidogo nchi akapumzike hata Marekani watu wasahau machungu kidogo
Nani atamuua? Mnaona kwamba hawezi kujilinda? Mnatumia akili ndogo sana kitafakari mambo.
 
Ngoja nikujibu kiungwana kabisa..
Mpaka Wale watanzania kujikusanya leo haikuwa mipango ya siku moja.. Mpaka askari kupelekwa kule halikuwa jambo la dharura
Kama huna akili nyembamba unaweza kujua hilo kwa hakika!
You are bigger than this mzee Mshana.
 
Kutokana na yanayoendelea juu ya kesi za Lengai Ole Sabaya kwa Mawakili wa Serikali kutumia Kodi na rasilimali za TAIFA kuendesha kesi wakijua MATOKEO yake huu ni udhalilishaji sana wa ofisi ya DPP na mawakili wa Serikali yaani Mh Rais aliona huyu Sabaya ametenda mambo mabaya sana na maovu kwa watu mbalimbali na kumwondoa madarakani ikiwa ni pamoja na kumshtaki lakini huu udhalilisha mnaompatia Mh Rais nyie wanasheria wa Serikali ni afadhali msingempeleka mahakamani tukajua kama makonda kuliko haya tunayoyaona Leo hii sio tuu ni fedheha na aibu kwa serikali Bali MAWAKILI wa serikali wanapaswa kujiuliza je wapo kihalali?? Na wanalipwa kihalali??

Nawaombeni sana wanasheria kwahilli mlipigie kelele ni afadhali tusiwe na kesi kabisaa tujue wamesamehewa basi
 

Ndiyo ukisikia nguvu ya hoja na siyo hoja ya nguvu basi mambo huwa namna hii!
 

Sasa wanasheria wengi wa sasa ni vijana na wamesoma vyuo vya mitaani, unategemea nini! Mlimani pale unakuta wamekosa sifa za kwenda lakini vyuo vya mitaani wanaookelewa tena kwa vigelegele ndiyo furaha!
 
Aibu yako. 😀😀😀😀
 
Wahi sasa kwa mwenyekiti wako pale ufipa ukachukue posho yako ya data, ukichelewa utakuta chawa wenzako washaipitia, maana mko wengi.
 

Attachments

  • images (68).jpeg
    3.1 KB · Views: 4

hata kwa mbowe mtu gaidi DPP anasema haendelei na kesi why? mbona kwa masheik mnaendelea nao kuwashitaki
 
Tena mmeumia sana kwa Sabaya kushinda kesi bila hata ya msaada wa Serikali.

Makonda nae kampiga chini Kubenea ambae ni kada wa Chadema pia.
 
Bavicha wanaumia sana Sabaya kushinda kesi bila mbeleko ya Dpp kama ilivyokuwa kwa Mbowe
Haiondoi jinai alizofanya bali ni procedural errors/defects tu zilizojitokeza ndo mwanya wa kushinda unapojitokeza.

Kama Jamhuri ikikata rufaa kwa kuzingatia mambo yote muhimu lazima adhabu ipo pale pale.

Hata hivyo akichomoka kwenye kesi zake zote basi amejifunza madaraka na sponsor huwa yana kikomo. Hatomtegemea binadamu mwenzake tena.

Hili ni funzo hata kwa sisi wengine. Hata leo hii apewe madaraka ya mkuu wa wilaya kama awali atakuwa na adabu na heshima sana kwa wananchi. Hatowagongelea tena misumari ya ugoko.
 
Tena mmeumia sana kwa Sabaya kushinda kesi bila hata ya msaada wa Serikali.

Makonda nae kampiga chini Kubenea ambae ni kada wa Chadema pia.
Hivi kwa akili yako ndogo kama Mhe Rais Samia angekuwa anaingilia mahakama na kutoa maelekezo ya nini na nani afungwe ama aachiwe huru unadhani Sabaya angetoka? Thubutu!

Mama Samia hana mpango wa kuingilia uhuru wa mahakama ndo maana unaona mambo yanafanyika kwa uwazi na yeye hana muda wa kuingilia mahakama.

Laiti Mhe Rais angesema atoe maelekezo ya Sabaya kufungwa unadhani angechomoka? Angefungwa hata miaka tisini kwa kesi zake zote ila mama ana busara anapenda kuona haki inatendeka.
 
Sasa wanasheria wengi wa sasa ni vijana na wamesoma vyuo vya mitaani, unategemea nini! Mlimani pale unakuta wamekosa sifa za kwenda lakini vyuo vya mitaani wanaookelewa tena kwa vigelegele ndiyo furaha!
Mlimani ipi, hiihii iliyoitwa na Prof. Kabudi jalala au kuna nyingine?
 
Hata ka picha ka kuthitisha utupu wa serikali na wanasheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…