Mahakama yamwamuru Lissu kufika mahakamani

Hivi kwa nini wasijitokeze wadhamini wengine kuchukua nafasi ya huyo Joseph Katula na mwenzake ambao toka 2018 wamegomewa kujitoa?
wanasema ukitaka kujua ndugu wa kweli rafiki wa kweli ni kwenye

maswala ya mahakamanii na magerezani,yani hamna kipimo kizuri cha

kuweza kuchuja watu sahihi maishan mwako tofauti na mahakama na magereza.

Mtu yupo radhi alale na wewe wodini hata mwaka mzima ila mtu huyo huyo hatoweza

kuwa tayari kukuchukulia dhamana kesi yako iliyo mahakamani,ktk hili Lissu yuko mwenyewe we subiri.
 

Hayo usemayo ya upinzani kuchukua nchi hayawezi kutokea kama unavyosema maana hapa tayari umeonyesha dhamira ya upinzani.

Ajenda ya upinzani kuchukua nchi ni kuiuza kwa mabeberu na hiyo haitakuija kutokea yaani "It will never happen".
 
CCM wamekuwa dhaifu sana, JPM na genge lake wameona wajikite kwenye UHUNI na UHALIFU tu sasa. Hoja zimewaishia ni kutapatapata tu.
 

Tatizo jingine la upinzani ni kudhani au kufikiri kuwa Tundu Lissu ni mwanasheria pekee hapa Tanzania.

Sasa wanasahau kuwa pia anae mwanasheria wake na pia wapo wanasheria wengine kama yeye.
 
CCM wamekuwa dhaifu sana, JPM na genge lake wameona wajikite kwenye UHUNI na UHALIFU tu sasa. Hoja zimewaishia ni kutapatapata tu.
 
Jamaa anazurura huko tu wakati anajua ana makesi huko kisutu na hataki kuhudhuria.
 

Kwenye nchi za kidictator ni ngumu kumuwekea mdhamana kiongozi hasimu wa dictator aliye madarakani. Kila mara tunawawekea watu dhamana. Ww sema matamanio yako ni Lisu akose wadhamini. Na kweli anaweza kukosa, sio kwa sababu hadhaminiki, bali udictator ndio unawatisha wengi.
 
Huyu hakimu ajue kuna siku tutakuwa na utawala tofauti.
So what? Hivyo aache kufanaya kazi yake kwa matakwa ya sheria eti kwa ndoto za mchana kuwa eti "kuna siku tutakuwa na utawala tofauti"?. Makamana zinafanya kazi na shughuli nyingine kama utafutaji wa wadhamini unaendelea. Namshauri Lissu afike Mahakamani yasije yakamkuta ya Mwenyekiti wake.
 
Si afadhali ungekuwa na uwezo huo.
 
We mwache. Atakapobeba mtondoo ndio atajua nchi hii inafuata utawala wa sheria na hakuna aliye juu ya sheria.
 
TAL ana bahati sana. Wanampaisha kisiasa bila kujua.
 
TAL ana bahati sana. Wanampaisha kisiasa bila kujua.

Wanafahamu wanampaisha juu ya wapiga kura ambao nao wanashangaa rangi ya mbawa anazotumia.

Mwisho wa siku wanaipa CCM ushindi uitwao "landslide".
 
do hadi naitamani sheria nisome ,ok ngoja wenye fani zao waje watupe madini tafadhali wanasheria wa tz njooni na tupeni madini wakuu
 
Tanzania bana dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…