Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Kenyatta amekeep his promise kijanja sio kama Mzee wetu JK alivyomtupa msela wake wa damu Mamvi...

Politics is the game of numbers na ujanja ujanja mwingi...
 
Ushahidi wa Azimio ulikuwa wa kughushi mtupu - CJ Martha Koome.
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna ushahidi wa kuaminika uliowasilishwa kuthibitisha mtu yeyote alinasa fomu 34As - Martha Koome.
 
Hakukuwa na tofauti kubwa katika Fomu 34A kwenye tovuti na zile zilizowasilishwa kwa Bomas kimwili. Hati za kiapo za Azimio zilikuwa za kustaajabisha lakini haziaminiki - CJ Martha Koome.
Your browser is not able to display this video.
 
CJ Martha Koome awakemea mawakili waliotumiwa kuleta ushahidi ghushi mahakamani.
Your browser is not able to display this video.
 
Katibu Mkuu wa UDA Veronica Maina na Samson Cherargei katika Mahakama ya Juu ya Kenya.
 
Ushahidi wa Jose Camargo uliowasilishwa na Julie Soweto ulikuwa wa moto ambao ulipelekea mahakama ya Juu katika mshtuko mkubwa lakini haukuzaa chochote cha thamani - CJ Martha Koome.
Your browser is not able to display this video.
 
Hati ya kiapo ya John Mark Githongo inaweza kuwa ya kughushi - CJ Martha Koome.
Your browser is not able to display this video.
 
CJ Martha Koome: Tumeridhishwa na maelezo ya IEBC kuhusu vifaa viwili vya KIEMS vyenye nambari za mfululizo sawa.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…