Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

IEBC haijapata imani ya umma kwa wote -Martha Koome.
Fb4dNM2XkAABdFn (1).jpeg
 
Kenyatta na Ruto wamemchezea Raila mchezo wa Karata 3.

Nakumbuka maagano ya wapiganaji wa MAUMAU walisema Jaluo hatkuja kutawala Kenya kutokana na dhambi yao ya kuwa ma SNITCH wakati wa kumtoa MKOLONI.

Hivi Raila kwa akili yake alitehgemea Kikuyu wampigie kura?
Kenyatta amekeep his promise kijanja sio kama Mzee wetu JK alivyomtupa msela wake wa damu Mamvi...

Politics is the game of numbers na ujanja ujanja mwingi...
 
Ushahidi wa Azimio ulikuwa wa kughushi mtupu - CJ Martha Koome.
 
Hakuna ushahidi wa kuaminika uliowasilishwa kuthibitisha mtu yeyote alinasa fomu 34As - Martha Koome.
Fb4e4B-WAAMI768 (1).jpeg
 
Hakukuwa na tofauti kubwa katika Fomu 34A kwenye tovuti na zile zilizowasilishwa kwa Bomas kimwili. Hati za kiapo za Azimio zilikuwa za kustaajabisha lakini haziaminiki - CJ Martha Koome.
 
CJ Martha Koome awakemea mawakili waliotumiwa kuleta ushahidi ghushi mahakamani.
 
Katibu Mkuu wa UDA Veronica Maina na Samson Cherargei katika Mahakama ya Juu ya Kenya.
Fb4hgdKWQAMZENY.jpeg
 
Ushahidi wa Jose Camargo uliowasilishwa na Julie Soweto ulikuwa wa moto ambao ulipelekea mahakama ya Juu katika mshtuko mkubwa lakini haukuzaa chochote cha thamani - CJ Martha Koome.
 
Hati ya kiapo ya John Mark Githongo inaweza kuwa ya kughushi - CJ Martha Koome.
 
CJ Martha Koome: Tumeridhishwa na maelezo ya IEBC kuhusu vifaa viwili vya KIEMS vyenye nambari za mfululizo sawa.
 
Back
Top Bottom