Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Wanawake na uvimilivu
Sijui Rebecca sasa ana umri gani sasa..... ndoa miaka 21 jumlisha umri wake kabla ya ndoa kama mpango bado ni kuwa na familia ndio anaenda kuanza maisha upya
 
Naunga hoja ..kwan lazima atumie kiungo chake?si kuna vitu vingine vingesapot .ila nao 21 yrs mnakuja achana ijumaa kuu leo? Wangemaliza uzee pamoja tu
Yaani, yawezekana hivyo vitu vingine ambavyo vingesapoti vimetumika, rejea 👇

"Mahakama imeamua kuvunja ndoa hiyo baada ya kutambua kuwa wanandoa hao wanatenda matendo ambayo si ya kindoandoa"
 
Basi JF navowajua hawataamini mpk wawekewe na ka picha[emoji16][emoji16]...
 
Wanawake na uvimilivu
Sijui Rebecca sasa ana umri gani sasa..... ndoa miaka 21 jumlisha umri wake kabla ya ndoa kama mpango bado ni kuwa na familiq ndio anaenda kuanza maisha upya
Atakuwa alimloga sio bure atakuwa alitumia ndumba kumpata na kumshikilia sio kitu cha kawaida hicho sasa hivi uchawi utakuwa umrisha nguvu ndipo mwanamke anajitambua

Alifugwa kama ndondocha huyo
 
Kwani binadamu tunatakiwa tuvumiliane muda gani Boss? 🤔

Inategemea kwenye issue gani ,kwenye issue hii ya Rebecca hapo hakuna uvumilivu maana zablon jogoo hapandi mtungi,zablon amefanya kosa kuoa huku akijua ana tatizo,hapo hakuna kuvumilia kwasababu tatizo la zablon ni kubwa ,kuna ya kuvumilia lakini sio kwenye "UCHAKATAJI" ,lengo la ndoa ni kuja kuijaza dunia sharti la kwanza lazima viungo vya uzazi kwa wote iwe vinafanya kazi swala la kupata mtoto au kukosa ni matokeo(yapo nje ya uwezo wetu).
 
Alikuona fala,alikuwa anasuguliwa kwingine huyo,yaani apate ujasiri wa kula na wewe anaoga halafu hupigi,dah we wa wapi jombaa
 
 
Bila korodan dushe linasimama vp?
System nzima ya uzazi ya mwanaume (male reproductive system)lazima ihusike sio nusu nusu
 
Siamini kama dada aliweza kuhimili ashiki kwa miaka yote 21 ?
 
Asante
 
Watu wamefanyiwa operesheni wakaondolewa korodani moja,na wako ndoani na pia wana watoto.Itakua jamaa hakua nazo kabisa na mke anataka walau watoto,wakafikia walipofikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…