Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

Kulikuwa na haja gani kumtaja huyo mwanaume jina kama sio kumdhalilisha kwa wanaomjua.
Ona sasa tumejua udhaifu wake.
Hawajamtendea haki huyo mwanaume kwa kumtangazia udhaifu wake
Mbona kesi nyingine huwa majina ya washtakiwa yanatajwa? Ila mahakama ingejiridhisha tu kuwa hawajafanya ngono kwa muda tajwa tu na kutoa maamuzi, maswala ya kuwa hana korodani yamekujaje?

Hata hivo huyu mleta mada ni wenge!
Hajasema upande wa utetezi ulivokuwa.
 
Hapa namuonea huruma kama vile namjua.
Yawezekana hata mtaani hawajui ili wameenda kujulia huko mahakamani.
Hivi mahakama ilishindwa kuangalia namna ya kuwasaidia bila aibu ya huyo mwanaume kutoka hadharani
 
Amina
 
Hapa namuonea huruma kama vile namjua.
Yawezekana hata mtaani hawajui ili wameenda kujulia huko mahakamani.
Hivi mahakama ilishindwa kuangalia namna ya kuwasaidia bila aibu ya huyo mwanaume kutoka hadharani
Sasa aibu gani wakati ni kitu ambacho yeye hana uwezo nacho...kama amezaliwa hivyo angefanyaje sasa. Mie sio hiyo aibu inakujaje kama its not his fault kujikuta hana korodani
 
Mbona hatari hii
 
Kuna kitu sikielewi hapa...

Kukosa kuwa na korodani kunazuia vipi wao kujig jig!!!

Labda sababu ya kuachana iwe ni kukosa watoto
 
Kulikuwa na haja gani kumtaja huyo mwanaume jina kama sio kumdhalilisha kwa wanaomjua.
Ona sasa tumejua udhaifu wake.
Hawajamtendea haki huyo mwanaume kwa kumtangazia udhaifu wake

Ni kweli mkuu, wangeweza ku code na kusema changamoto za kiafya.
 
Kupigwa mti ni haki ya mke, pasi na kupigwa miti si angebaki kwa wazazi wake, kwani alikuwa anakosa nini kqw wazazi wake? mwanamke anakwenda kwa mwanaume kwa misheni moja tu, kupigwa mashine, usipompa lazma akimbie.


sasa korodani ndio linafanya mapenzi au dushee?
 

Hata RC church ingevunja hio ndoa
 
Mimi najiuliza hawakua wachumba??? hawaku sex before before deciding to get married?....
 
Alafu hao hao utawasikia oh kwenye ndoa kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko kusasambuliwa mbususu🤣🤣🤣🤣🤣
Wamekaa miaka 21 lakini. Kama ndoa ni mbususu tu walikuwa wanafanya nn miaka yote hiyo?

Mbususu kwenye ndoa ni ya muhimu ila kuna vingi vya muhimu pia na vikikosekana ndoa ipo mashakani. Mfano pesa. Ukiwa huna pesa kabisa mbususu nayo inakuwa kama haipo hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…