WINGER_TEREZA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 242
- 450
Hamna fidiaNa hapo kwenye kunikatili kihisia na kimwili sii inabidi anilipe fidia au mdio hamna fidia?
Kwanini umehitimisha "Aliambiwa zitarudi mganga akafa"Aliambiwa zitarudi halafu mganga akafa..[emoji29][emoji29][emoji29] wameishi kwenye ndoa miaka 21 lakini kati ya hiyo 18 hawajagongana kwa maana hiyo waliingia kwenye ndoa akiwa nazo
Mbona kawaida tuDaah,watu mnamipango ajabu?![emoji114]
Lazima mwanzo alikuwa sawa kuna kitu kilitokea baadae ambacho mke aliridhia kuvumiliaIla wanaume Bwana
Mtu unajiona una udhaifu lakini unaoa mwanamke.....kwani ukikaa singo ungekufa?
Yaani mwanamke akuvumilie tu
Ni uonezi wa hali ya juu.
Hawa walokole wanakuaga na mambo mengi sana mostly wanaokoka kutokana na tatizo fulani..au kuficha ktu fulaniLazima mwanzo alikuwa sawa kuna kitu kilitokea baadae ambacho mke aliridhia kuvumilia
Katika hali ya kawaida sio rahisi kuvumilia miaka, wewe unaweza kuishi miaka 2 bila kugongwa? Tena ukiwa umeolewa?
Nigga ain't got balls!
Anasukuma machine gani Hawajawahi kushiriki tendo la ndoa soma ueleweHata kama hana korodani ,lakini si anasukuma mashine? Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu,na unaweza hata kuchukua yatima.
Mambo ya walokole umeyasahau?Mimi najiuliza hawakua wachumba??? hawaku sex before before deciding to get married?....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Wewe ni Ebenezer. Nimejiuliza kweli. Aliimba huu wimbo wa shukrani,kumbe mmmewe hana corodani. Kweli Mungu ashukuriwe kwa kila hali.
Basi hapo inabidi waangalie upya maana hamna stress kali kama kunyimwa mbususu tena especially mkeoHamna fidia
He he he he[emoji16][emoji16][emoji16]Nilivyoona jina ni Rebeca nikajua ni wewe.
Anyways tangazo kuwa upo "single" tumeliona.
NaamHawa walokole wanakuaga na mambo mengi sana mostly wanaokoka kutokana na tatizo fulani..au kuficha ktu fulani
Wanavaa madildo"wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa yasiyo yakawaida" umeelewaje statement hiyo
Hajafikisha hata miaka 40 huyo kwa hiyo anaweza kuzaaMiaka iliyobakia anatafuta nini tena Rebecca?