DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Shida ya huyo Nancy ni mrogi kwahio alimkamata kwa nguvu huyo Davis Mosha na alikuwa hafurukuti ila baada ya dawa kuisha akaanza kuharibu live πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu hakimu ni ana kipaji cha poetry bila shaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanawake Jifunzeni kutafuta mali zenu wenyewe.
Wanapenda sana dezoπŸ˜‚ eti mwanaume sharti anihudumie...Mtu unamuoa ila kushea cost hataki kabisa yani.

Utafte mali kwa nguvu kisha mwisho aje kutaka mgawane pasu kwa pasu wakati hakuna mchango alioweka zaidi ya kutanua mapaja tu na kuongeza wategemezi.
 
Wanawake wakishakaa miaka mingi Kama hiyo kwenye ndoa,huwa hawaoni umuhimu wa mume/ndoa,ubinafsi hutawala nyoyo zao,huu ni ugonjwa mpya kwa wanawake wa tz,ndoa za watu wazima nazo Zina shida kweli siku hizi
Mwanamke ili uishi nae kwa amani kwenye ndoa unatakiwa uhakikishe yuko kwenye pressure most of the time. Ukimpa all of you kilaini tu jua tu baada ya miaka michache atakugeuza zombi wake na kukutaftia replacement mkiwa ndoani humo humo.
 
wamekutana pipa na mfuniko. mosha malaya anapenda sana wanawake. na mkewe anapenda mno uroda.

cc: Mrangi
Mwanaume ukiwa na hela wanawake wa kila aina wanajipanga kwa foleni wakijilengesha ili uwale tu wengine hata hawaitaji pesa zako ila tu wapate fleva ya kutowmbwa na Don Mapesa.

Na kama mnavyojua sisi ni marage ya Mbeya huwa hatuwazi sana mkijilengesha kama mpo njema ni uboho tu.
 
Huyo malaya ningejua anataka kuniua mi ningemuondoa tu kidizaini akafie mbele huko kwa style ya KGB ile. Namtia pollonium tu kisha na file divorce akauguzwe na malaya wenzie ila akiwa nje ya eneo langu. Miezi 6 mingi lazma atang'ata shuka tuπŸ˜‚
 
Wanawake wa kibongo washamba sana. Akishakuwa na source ya hela anaona ni bora atafte mpenzi wake private wa kumpelekesha ila mumewe anamuona hana maana kwake tenaπŸ˜‚.
 
Una ushahidi gani kuwa Hizo Mali walichuma wote?
VIPI kuhusu tuhuma za kuiba Dola 1m na Sumu hapo atastahili?
Au ni dada Yako unamtetea EE? Kwa Mangi hatoboi,mamangi ni brightest sio rahisi uwaingize mjini
Una ushahidi gani alitaka kumuua ,kuiba pesa ,acheni tamaa za mali mke anabaki na haki yake kama mke.

Yaani atake kuua halafu asishtakiwe !?Mpeni haki yake anahusika kweny mali moja kwa moja.

Mosha kaweka hizo kama defensive mechanism sio kweli ni timing madai yote hayana uhalisia eti alitaka kuuliwaπŸ˜…πŸ˜…
 
Double standards zipi bwana wee. Mwanaume mpaka anapozaa nje ya ndoa jua mke hajielewi ameshindwa kumu handle mumewe ama ni mkorofi. Michepuko hutokea sababu ya wanawake kutowajibika ipasavyo na ndoa.
 
Kiufupi tofauti ya maskini na mwenye uwezo ni number of choices. Tajiri anachagua ale nini kwa wakati upi ila kapuku anakula kilichopo kwa wakati uliopo. Maskini hana la kufanya zaidi ya kuvumilia.
 
Mkuu unashusha nondo hadi nataka kumuita waiter akuongeze 3 kwa heshima yangu kwako.
 
Acha umbeya wewe. Ndo maana umepost kama Anonymous ili usije ukashushuliwa.

Yaani ulivyokuwa umekabwa na umbeya kooni mpaka umeshindwa kutulizana na kupangilia hizo picha kwa usahihi. Unatuchosha tu kusoma document iliyopangiliwa ndivyo sivyo... yaani unatoka ukurasa 13 unakuja ukurasa wa 11 vurugumechi tupu kisa kukabwa na umbeya.

Kwanini nakuita mbeya?

Soma hiyo huku ukurasa wa 14, aya ya mwisho na muendelezo wake kwenye ukurasa wa 15. Naiweka hapa kwa manufaa ya wote:



Kama hujui Kiingereza alichoandika Mh. Hakimu hapo ni kwamba mwanamke hakuomba mgawanyo wowote wa mali, na wala hakuleta ushahidi wowote wa kuonesha kwamba kuna mali za ndoa. Mali alizoonesha ni mali za kampuni. Kampuni sio ndoa. Mali za kampuni haziwezi kugawanywa katika shauri la talaka. Kwamba mwanamke kama anataka mgao wa mali za kampuni basi afungue shauri la madai la kawaida.

Sasa cha muhimu ni hicho cha mwanamke kutodai mgawanyo wowote wa mali, halafu wewe ambaye siye uliyepewa talaka unawashwa na mali hizo.
 
Mnaweza kuishi pamoja lakini msichume pamoja.
Wasomi wote wanajua hilo.
Watu ambao hawakufanikiwa kusoma na hawana maarifa ndio huwaza kwa namna yako

Wewe unazungumzia usomi na maarifa, je! Tukienda kidini ni sawa kunyimwa haki yake huyo mke wa marehemu! Ila kwakua wewe si Muislamu, na huujui Uisilamu na sheria zake hata majibu utakayonipa hayatakua na uhalali wowote
 
Ni Mtoto wa Mosha ndiyo, mfanyakazi alikosea meseji badala ya kumtumia Nancy kuwa Zoezi la kumuua Mtoto limekamilika anaua usiku na MTO, akawa anaomba pesa, akakosea akamtumia Mama wa Mtoto
aisee,asante kwa huu ubuyu maana story ilitembea sana ila watu walikuwa wanaficha wahusika anatajwa tuu rachel temu
 
Mnaweza kuishi pamoja lakini msichume pamoja.
Wasomi wote wanajua hilo.
Watu ambao hawakufanikiwa kusoma na hawana maarifa ndio huwaza kwa namna yako
Katika hali yoyote ile hilo suala halipo,mali ambao mke kazikuta ndio hazimuhusu ila yote yaliyotokea punde baada ya ndoa basi anahusika .

Hali inayoweza kujitokea kama mume anaendesha mali za kifamilia yaani kama biashara ya familia ya mume ,ila bado kweny kipato cha mume mke atahusika isipokuwa mali za biashara nzima

Rejea mke wa Mrema kupata mgao kidogo baada ya mumuwe kufariki wala ndoa haina muda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…