dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
ushoga ni tabia ya mtuEeeeh ila ujue unatengeneza bomb, hao watoto wanaolelewa na mama yao kuna uwezekana ukatengeneza kizazi cha mashoga na wasagaji.
Noma sanaHizo Ndoa za kutafutana kwenye Harakati za Kisiasa ndio tatizo lake. Dr.Slaa anaweza simulia zaidi.
🤣🤣Ndugai mgonjwa wa kisukari at his early 60 anavunja ndoa ya kijana kabisa dah
Malezi yanachangia mkuu, wamama wa kisasa na malezi ni mtihani sana. Ila kwa vile mmeamua kukataa ndoa na kuzalisha kama Diamond sawa tu, tunaombea kizazi kijacho manake.....ushoga ni tabia ya mtu
wangapi wanalelewa tena maisha mazuri kabisa kule Masaki na wazazi wao wote wawili na bado wanagawa kinyeo ?
hakuna cha maleziMalezi yanachangia mkuu, wamama wa kisasa na malezi ni mtihani sana. Ila kwa vile mmeamua kukataa ndoa na kuzalisha kama Diamond sawa tu, tunaombea kizazi kijacho manake.....
Mkuu,hakuna cha malezi
kapenda mwenyewe mchezo wa kupumuliwa unasingizia wazazi ?
unayosema huna takwimu , ila ni hisia tuMkuu,
Nyakati ulizokulia na sasa ni tofauti sana, malezi yamekuwa magumu mno kwa watoto wetu, kama unapinga hilo ni sawa tu lakini makuzi kwa watoto wetu yanahitaji umakini zaidi ya kawaida, tofauti na nyakati sisi tunakuwa.
Zalisha tu, waachie mama zao walee wewe utakuwa unatuma matumizi na ada, then njoo later kwenye adolescence ya watoto wako. Ndio utasema kama ushoga ni tabia, makuzi au mazingira ya mtu.
Endelea kupinga ndoa mkuu, zalisha tu!!
Yule wa zanzibar amelelewa bila baba?hakuna cha malezi
kapenda mwenyewe mchezo wa kupumuliwa unasingizia wazazi ?
Kuna mstaafu flan ndugu yako kule milimani ni shoga tangu miaka hyo tukiwa primary ...Mkuu,
Nyakati ulizokulia na sasa ni tofauti sana, malezi yamekuwa magumu mno kwa watoto wetu, kama unapinga hilo ni sawa tu lakini makuzi kwa watoto wetu yanahitaji umakini zaidi ya kawaida, tofauti na nyakati sisi tunakuwa.
Zalisha tu, waachie mama zao walee wewe utakuwa unatuma matumizi na ada, then njoo later kwenye adolescence ya watoto wako. Ndio utasema kama ushoga ni tabia, makuzi au mazingira ya mtu.
Endelea kupinga ndoa mkuu, zalisha tu!!
hmmm, hata sijui kwa kweliYule wa zanzibar amelelewa bila baba?
Hakuna kanuni isiyokuwa na exceptions mkuu. Wapo waliolelewa na single parents na wanafanya vizuri, ila ni kizazi flani hivi cha zamani. Kizazi cha sasa kinafeli pakubwa sana kwenye kulea watoto, matokeo yake wala sio mwaka huu au ujao, miaka kumi huko ndio tutaona makubwa.Kuna mstaafu flan ndugu yako kule milimani ni shoga tangu miaka hyo tukiwa primary ...
Ana familia vizuri tu na amelelewa familia ya kichungaji
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume marijali, shoga na rafiki zako ndoa haiwahusu.KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KIJANA KATAA NDOA
Hii issue ya ushoga watu wanapenda kuitengenezea sana visabishi na excuse kibao wakati mashoga walikuwepo tangu zama hizo wakati malezi ya Kitanzania yalisemekana ni mazuri. Kama ilivyo sasa tunavyowasingizia wazungu kuleta ushoga wakati kwenye kumbi za taarabu those days walikuwa ndo maskani yao huku wamevaa kikeKuna mstaafu flan ndugu yako kule milimani ni shoga tangu miaka hyo tukiwa primary ...
Ana familia vizuri tu na amelelewa familia ya kichungaji
Mambo ya ndoa ni kipengere hakuna mjuaji.Mambo yakifikia hapo ni kuachana kwa amani tu hakuna namna.
Huyu baba ni wale born and raised in sabato na from a very strong family u could imagine....Hii issue ya ushoga watu wanapenda kuitengenezea sana visabishi na excuse kibao wakati mashoga walikuwepo tangu zama hizo wakati malezi ya Kitanzania yalisemekana ni mazuri. Kama ilivyo sasa tunavyowasingizia wazungu kuleta ushoga wakati kwenye kumbi za taarabu those days walikuwa ndo maskani yao huku wamevaa kike
Waliofungisha ndoa wanasemajeWakati hati ya madai ikionyesha kiini cha mgogoro huo ni ugomvi na utengano, Mahakama imevunja ndoa baina ya wawili hao huku ikitoa amri kwa mama kubaki na watoto na kila mzazi kuwa na wajibu wa kuchangia gharama za matunzo kwa asilimia 50.
Mpare mwenzio ni ndugu yakoHakuna kanuni isiyokuwa na exceptions mkuu. Wapo waliolelewa na single parents na wanafanya vizuri, ila ni kizazi flani hivi cha zamani. Kizazi cha sasa kinafeli pakubwa sana kwenye kulea watoto, matokeo yake wala sio mwaka huu au ujao, miaka kumi huko ndio tutaona makubwa.
Tuendelee kukataa ndoa, tuzidi kuzalisha wanawake, tutume ada na upkeep then matokeo yake yatakuja tu.
BTW mimi sina ndugu shoga wala msagaji, sinaaaa!!