Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

👍 Kwanini Serikali ya CCM inawatesa investors?
Mkapa alijitahidi sana kuiamini have dunia kuwa Mambo ya Azimio la Arusha hayatajirudia tena, Kikwete akadumisha mahusiano mema sana na wawekezaji mbalimbali.
Sasa ngwe hii, tunajidanganya sana hatuthamini umuhimu wa uwekezaji.
Hala hatujali Ni watu wetu wangapi wanaoathirika kwa kukosa kazi mara tu wawekezaji wanapotimuliwa.
Endeleeni na tabia mbaya tutaona mwisho wake mwema
kweli chadema ni mzigo, sasa hapa umeandika nn?
 
Pamoja na uwepo wa mada inayohusu kufungwa kwa kampuni ya Dangote hapa nchini iliyoletwa na Mkuu Return Of Undertaker, naomba Moderators muuache Uzi huu kwa maslahi ya mjadala na uelewa.

Kichwa pamoja na maudhui ya uzi wa mtajwa hapo juu ni kuleta habari na kutaka kuaminisha umma kuwa Dangote anataka kufunga kampuni yake kule Mtwara na kuondoa uwekezaji wake hapa Tanzania. Katika kuonesha ukweli huo kumeambatishwa habari ya gazeti la the Citizen la leo.

Kwa msomaji makini ataona na kujua kuwa Dangote ndiye anayepinga kufungwa kwa kampuni yake hapa nchini. Hivyobasi, hana nia ya kuifunga na kuondoka. Yeye ndiye aliyepinga na kufanikiwa kuzuia shauri la kufungwa kwa kampuni yake.

Iko hivi kwenye habari hiyo: Kampuni ya Dangote, kama kampuni nyinginezo, iliingia mkataba wa kuletewa fuel na kampuni ya NSK. Katika kufanikisha hilo, kampuni ya NSK ikachukua mkopo kama mtaji kutoka benki ya Standard Chartered wa bilioni 11.1.

Baada ya kushindikana kulipwa kwa mkopo huo, Standard Chartered ikawashtaki NSK na Dangote. Kufuatia shauri hilo, na katika hali ya kujitetea, NSK akapeleka shauri la kufungwa (winding up) kwa kampuni ya Dangote kwa kushindwa kulipa deni lake kwa kampuni hiyo.

Naye Dangote akawasilisha Mahakamani hapohapo Ombi dogo la kusitisha kwa muda shauri la kufungwa kwa kampuni yake. Ombi lake dogo Dangote ndilo lililotolewa uamuzi kwa kusitisha shauri la kufungwa kwa kampuni yake. Ndiyo kusema, Dangote amefanikiwa kwenye maombi yake.

Kwa kifupi, Dangote ndiye anayepinga kufungwa kwa kampuni yake pamoja na deni linalodaiwa kuwepo dhidi ya kampuni ya NSK. Kwenye mashauri hayo yaliyoripotiwa na the Citizen hakuna mahali Dangote na kampuni yake wameonyesha nia ya kufungwa kwa kampuni hiyo na kuondoka nchini.

Ni vyema kusoma habari kwa makini kabla ya kuandika uelewa ambao wakati mwingine waweza kubeba picha ya kupotosha umma. Dangote ndiye aliyepinga kwa nguvu zake zote kufungwa kwa kampuni yake kwenye mashauri matatu yaliyopo Mahakama Kuu yakihusika kampuni yake, kampuni ya NSK na benki ya Standard Chartered.

Sasa kampuni kubwa kama Dangote ni ya kushindwa kulipa deni la karibia 20b? Tunashukuru kwa ufafanuzi wako, lakini hapo kuna jambo kubwa la kuangalia.
 
Kuna watu kazi yao imebaki moja tu ya kutamani na kuliombea taifa letu lipate kila aina ya shida. That’s the new meaning of opposition politics in Tanzania!
 
Sasa kampuni kubwa kama Dangote ni ya kushindwa kulipa deni la karibia 20b? Tunashukuru kwa ufafanuzi wako, lakini hapo kuna jambo kubwa la kuangalia.
Mkuu una maoni gani kuhusu hawa wafuasi wenzio wa Lisu mbona wanaonekana ni wajinga sana?
 
Huwezi mwita bnadamu mbwa,punguza upunguwan we nguchiro
Acha kusambaza uongo mbwa wewe, dangote cement wanakamilisha station ya CNG ambayo ni kubwa kuliko hata inazotarajiwa kujengwa hapo udsm, dangote cement inakuwa full CNG powered plant,
 
Nasikia mtaa wa ufipa muda huu yanashushwa mabox ya konyagi na k.vant [emoji16][emoji23]
Badohujasema ww unafikili watakaomia ni wanachema tu yn wataumia mpaka waleambao hawana chama watu wakisema siasa nimaisha nyinyi mnawahadaa tu watanzania endeleeni kutengeneza sera mbovu tu
 
Safi sana wakifunge kabisa. Hadi kila mtu awe na kadi ya ccm ndipo kifunguliwe. Na kile cha rhino RC wa Pwani anapiga bit kisihamishwe utadhani anahisa kati ya wamiliki. Kampuni binafsi mnampangia cha kufanya. Hata akitaka kuhamishia Malawi mwacheni maana ni hela yake
 
Tusifurahie haya kila Sikh ñasema hapa watakao umia ni sisi walala hoi pangu pakavu tutashindwa ata kujenga vibanda
Tusifurahie kabisa
 
Mkuu washangilie kwa lipi we unaona habari nzuri hizo
Wote CCM na CHADEMA sote tuna ndugu na pengne tunanufaika na hicho kiwanda
Mfano tu mmoja bila dangote cement
Twigwa na mwenzie mbeya na tanga walikuwa wanajipandishia bei wanavyotaka lkn DANGOTE akaleta ushindani bei ikawa inatulia

Sasa ushangilie kwa kitu kinachoenda kutuumiza

Swali nani wa kulaumiwa ni chadema au mbowe ndo kamkimbiza DANGOTE

hakuna uchumi wa kati wakati Biashara zinafungwa kila uchwao
Huo uchumi una faida gani mafuta yanapanda bei cement haionekani hotel zinageuzwa hosteri viwanda vinafungwa
Halafu unataka tushangilie wakati nchi yetu inadidimia na tunaoathirika sisi wananchi wakawaida
Daah ni kweli kabisa
 
Da unaushahidi mkuu mkiminywa mnasema mnaonewa uliona akiua
Why not, kama Bichwa kubwa lenu mambo yanamshinda kwanini tusishangilie?

Jitu badala lidili na mambo ya msingi ya kuongoza nchi linahangaika na ngono, kuua raia na kufilisi biashara za watu, pumbavu kabisa
 
Hili jambo litakuwa linamsikitisha hata JK, mwaka 2013 au 2014 JK alikwenda Nigeria, Aliko Dangote akamtembeza kwenye kiwanda chake ambacho ni moja ya viwanda vikubwa vya saruji duniani. Baadaye Dangote ndio akaja kujenga hiki kiwanda Tanzania. Dangote aliletwa Tanzania na JK, baada ya JK kuondoka ndio Dangote akaanza kupata misukosuko. Wakati hiki kiwanda kinajengwa, Aliko Dangote alikuwa anakuja na ndege yake binafsi anatua moja kwa moja Mtwara anaangalia ujenzi unavyoendelea kisha anapaa siku hiyo hiyo anarudi Nigeria. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
 
Kwahiyo wewe unaona hapo selikali inahusikaje?
 
Afunge tu afugie kuku asubirie awamu pendwa ipite. Ajae atakuwa vizuri.
 
Why not, kama Bichwa kubwa lenu mambo yanamshinda kwanini tusishangilie?

Jitu badala lidili na mambo ya msingi ya kuongoza nchi linahangaika na ngono, kuua raia na kufilisi biashara za watu, pumbavu kabisa
Ukibanwa kwenye tumbuou hapo utatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Hata Mdude alikuwa kilaza kama wewe saa hii nadhani atakuwa kapata akili
 
Back
Top Bottom