Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Kumbe ni involuntary petition for liquidation by creditors.Aondoke tu SUMA JKT keni duu beta dhani himu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni involuntary petition for liquidation by creditors.Aondoke tu SUMA JKT keni duu beta dhani himu.
Mzee wa MIGA unafurukuta na ushoga wakoWhy not, kama Bichwa kubwa lenu mambo yanamshinda kwanini tusishangilie?
Jitu badala lidili na mambo ya msingi ya kuongoza nchi linahangaika na ngono, kuua raia na kufilisi biashara za watu, pumbavu kabisa
Dangote kesha sepa zake, wekezeni majungu yenu mliozoeaDangote to test US$90 power plant for Mtwara cement factory
17 October 2020
Dangote Cement will test run a new US$90m gas-fired power plant in Mtwara, Tanzania, later this month. The plant has been delayed with the outbreak of COVID-19, but it will supply the Mtwara cement plant and reduce Dangote Cement's reliance on coal imports.
The new power plant is due to be fully commissioned in November. The Mtwara plant has not operated at full capacity during 2020, but the new power plant should help energy efficiencies. "We have had mechanical failures of some main equipment in the first four months of the year, and our maintenance to sustain reliability delayed because of the late delivery of material needed for the maintenance of our kiln," said Mr Corcos, Dangote Tanzania country manager.
Published under Cement News11/10
Tagged Under: Dangote Cement Power Plant Tanzania COVID-19 coronavirus East Africa
Tulishasema wafanyabiashara wababaishaji lazima waondoke mapema. No way ufisadi awamu hii hauruhusiwi la sivyo lazima kifungo kinamhusu!
Ulitegemea...TAGA...aandike nini hapo?Habari yako ni ya october na leo ni december
Hata Mabebelu wa kiwanda Cha Tumbaku pale Morogoro wamehamia Zimbabwe.Zimbabwe hiyoooooo varandani
Mkuu mbona ubapotezea kuniua ba uliahidi humu utaniua kwa kuwaibia Tv 1988. Liiza kisasi Aisee chalii yanguTell mabeberu mitano Tena we are on the right track
Mkuu Ngurdoto kuwa hostel nini tena kimetokea?Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..
Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Hana uwezo wakuongoza kama kuna mahali alikuwa anaonekana anafanyakazi basi alikuwa kwenye usimamizi mkali sana.Hivi unamuonaje huyu jpm?
Lengo hasa ni kuipeleka nchi wapi
Mi kila nkifikiria simuelewi
Akili zake anawaza nini sijui
Dangote alipunguza sana bei yaHii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..
Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa. B
Asante kwa ufafanuzi murua.Pamoja na uwepo wa mada inayohusu kufungwa kwa kampuni ya Dangote hapa nchini iliyoletwa na Mkuu Return Of Undertaker, naomba Moderators muuache Uzi huu kwa maslahi ya mjadala na uelewa.
Kichwa pamoja na maudhui ya uzi wa mtajwa hapo juu ni kuleta habari na kutaka kuaminisha umma kuwa Dangote anataka kufunga kampuni yake kule Mtwara na kuondoa uwekezaji wake hapa Tanzania. Katika kuonesha ukweli huo kumeambatishwa habari ya gazeti la the Citizen la leo.
Kwa msomaji makini ataona na kujua kuwa Dangote ndiye anayepinga kufungwa kwa kampuni yake hapa nchini. Hivyobasi, hana nia ya kuifunga na kuondoka. Yeye ndiye aliyepinga na kufanikiwa kuzuia shauri la kufungwa kwa kampuni yake.
Iko hivi kwenye habari hiyo: Kampuni ya Dangote, kama kampuni nyinginezo, iliingia mkataba wa kuletewa fuel na kampuni ya NSK. Katika kufanikisha hilo, kampuni ya NSK ikachukua mkopo kama mtaji kutoka benki ya Standard Chartered wa bilioni 11.1.
Baada ya kushindikana kulipwa kwa mkopo huo, Standard Chartered ikawashtaki NSK na Dangote. Kufuatia shauri hilo, na katika hali ya kujitetea, NSK akapeleka shauri la kufungwa (winding up) kwa kampuni ya Dangote kwa kushindwa kulipa deni lake kwa kampuni hiyo.
Naye Dangote akawasilisha Mahakamani hapohapo Ombi dogo la kusitisha kwa muda shauri la kufungwa kwa kampuni yake. Ombi lake dogo Dangote ndilo lililotolewa uamuzi kwa kusitisha shauri la kufungwa kwa kampuni yake. Ndiyo kusema, Dangote amefanikiwa kwenye maombi yake.
Kwa kifupi, Dangote ndiye anayepinga kufungwa kwa kampuni yake pamoja na deni linalodaiwa kuwepo dhidi ya kampuni ya NSK. Kwenye mashauri hayo yaliyoripotiwa na the Citizen hakuna mahali Dangote na kampuni yake wameonyesha nia ya kufungwa kwa kampuni hiyo na kuondoka nchini.
Ni vyema kusoma habari kwa makini kabla ya kuandika uelewa ambao wakati mwingine waweza kubeba picha ya kupotosha umma. Dangote ndiye aliyepinga kwa nguvu zake zote kufungwa kwa kampuni yake kwenye mashauri matatu yaliyopo Mahakama Kuu yakihusika kampuni yake, kampuni ya NSK na benki ya Standard Chartered.
Kubali hoja ya msingi kwanza ya Wakili Msomi Mselewa, hayo maswali mengine yakupasa kuuliza uongozi wa Dangote.Sawa, ila yatupasa tujiulize sababu ya Dangote kushindwa kulipa madeni ni matokeo ya biashara hiyo kuwa sio nzuri hapa nchini au ni matatizo binafsi ya muwekezaji mwenyewe?
Huu unabii/ufunuo umeupata wapi?Siyo huyo tu atakaye fungasha vilago Kwa kushindwa kufanya biashara
Hii inaitwa ni Anguko la kibiashara Duniani na kujengwa upya Kwa Uchumi wa Dunia Kwa mfumo mpya na mashariti mapya ya World Bank,
Miradi mingi ya Serikari itasimama na kote Duniani ispokuwa kwenye Baadhi ya nchi zilizoandaa na kuuleta huo mfumo Duniani,
Hutauza Wala kununua, hii ni Kwa wasomaji wa Biblia pekee,
Wakati Dunia inajiandaa Kwa maambukizi mapya ya Corona ambayo yatakuwa ni tishio na yaliyoongezwa nguvu mara dufu, nchi zote zitalazimishwa Ku lock down nchi zao na msukumo wa kufanya hivyo, utatolewa na WB na usipofanya hivyo Ka nchi kenu kanatemgwa na hakatasaidiwa Kwa chochote, na hutafanya biashara mahali popote
Duniani kote kwenye swala la ajira litazidi kutesa watu na itafikia mahali ofsi nyingi zitafungwa, na maisha haya magumu si hapa Tu Tz Bali ni Dunia kote, tunazidiana kidogo tu kutokana na namna ya chumi zilivyokuwa kabla ya Corona
Mwenye sikio na asikie. Dunia lazima ifikie tamati yake
Mkuu bavicha akili zao kakimbia nazo Lisu kwenda ubelgiji kwa Amsterdam.Bavicha bana sijui akili yenu mnaitumiaje! Hivi umeielewa hii habari kabla ya kukurupuka kufungua uzi?
Muda sana, tokea CORONA ilipoanza hadi leo chenga tuMzava komefungwa hapana sitaki kuamini
Utasubiri sana dogo, kama kusubiri Lissu awe RaisDangote kesha sepa zake ,wekezeni majungu yenu mlio zoea