Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

kweli chadema ni mzigo, sasa hapa umeandika nn?
 

Sasa kampuni kubwa kama Dangote ni ya kushindwa kulipa deni la karibia 20b? Tunashukuru kwa ufafanuzi wako, lakini hapo kuna jambo kubwa la kuangalia.
 

Kuna watu kazi yao imebaki moja tu ya kutamani na kuliombea taifa letu lipate kila aina ya shida. That’s the new meaning of opposition politics in Tanzania!
 
Sasa kampuni kubwa kama Dangote ni ya kushindwa kulipa deni la karibia 20b? Tunashukuru kwa ufafanuzi wako, lakini hapo kuna jambo kubwa la kuangalia.
Mkuu una maoni gani kuhusu hawa wafuasi wenzio wa Lisu mbona wanaonekana ni wajinga sana?
 
Huwezi mwita bnadamu mbwa,punguza upunguwan we nguchiro
Acha kusambaza uongo mbwa wewe, dangote cement wanakamilisha station ya CNG ambayo ni kubwa kuliko hata inazotarajiwa kujengwa hapo udsm, dangote cement inakuwa full CNG powered plant,
 
Nasikia mtaa wa ufipa muda huu yanashushwa mabox ya konyagi na k.vant [emoji16][emoji23]
Badohujasema ww unafikili watakaomia ni wanachema tu yn wataumia mpaka waleambao hawana chama watu wakisema siasa nimaisha nyinyi mnawahadaa tu watanzania endeleeni kutengeneza sera mbovu tu
 
Safi sana wakifunge kabisa. Hadi kila mtu awe na kadi ya ccm ndipo kifunguliwe. Na kile cha rhino RC wa Pwani anapiga bit kisihamishwe utadhani anahisa kati ya wamiliki. Kampuni binafsi mnampangia cha kufanya. Hata akitaka kuhamishia Malawi mwacheni maana ni hela yake
 
Tusifurahie haya kila Sikh ñasema hapa watakao umia ni sisi walala hoi pangu pakavu tutashindwa ata kujenga vibanda
Tusifurahie kabisa
 
Daah ni kweli kabisa
 
Da unaushahidi mkuu mkiminywa mnasema mnaonewa uliona akiua
Why not, kama Bichwa kubwa lenu mambo yanamshinda kwanini tusishangilie?

Jitu badala lidili na mambo ya msingi ya kuongoza nchi linahangaika na ngono, kuua raia na kufilisi biashara za watu, pumbavu kabisa
 
Hili jambo litakuwa linamsikitisha hata JK, mwaka 2013 au 2014 JK alikwenda Nigeria, Aliko Dangote akamtembeza kwenye kiwanda chake ambacho ni moja ya viwanda vikubwa vya saruji duniani. Baadaye Dangote ndio akaja kujenga hiki kiwanda Tanzania. Dangote aliletwa Tanzania na JK, baada ya JK kuondoka ndio Dangote akaanza kupata misukosuko. Wakati hiki kiwanda kinajengwa, Aliko Dangote alikuwa anakuja na ndege yake binafsi anatua moja kwa moja Mtwara anaangalia ujenzi unavyoendelea kisha anapaa siku hiyo hiyo anarudi Nigeria. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
 
Kwahiyo wewe unaona hapo selikali inahusikaje?
 
Afunge tu afugie kuku asubirie awamu pendwa ipite. Ajae atakuwa vizuri.
 
Why not, kama Bichwa kubwa lenu mambo yanamshinda kwanini tusishangilie?

Jitu badala lidili na mambo ya msingi ya kuongoza nchi linahangaika na ngono, kuua raia na kufilisi biashara za watu, pumbavu kabisa
Ukibanwa kwenye tumbuou hapo utatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango.

Hata Mdude alikuwa kilaza kama wewe saa hii nadhani atakuwa kapata akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…