Wewe si ulimtuma Lissu na amekimbilia kwa Amstwrdam?Mkuu ni maajabu sana yaani
Hawa maccm tumewatuma watuletee wenye hela duniani waje hapa kwa lazima au njia yeyote
Hatujawatuma wafukuze mtu yeyote muwekezaji wa aina yeyote hapa nchini,wao wanafanya vitu hatujawatuma
Wanaenda fukuza watu as if tumewatuma,yaani hawa mataahira ni ya kupiga risasi kabisa
Yanafanya kinyume na tulichowatuma kabisa
Kwahiyo wewe unaona hapo selikali inahusikaje?
Hivi nyie wote akili zenu zinafanana? Kitu gani cha ajabu kampuni kufilisika? Hii hoteli inayoitwa Dar es salaam Serena toka ijengwe imeuzwa mara ngapi? Unajua sababu? Dangote hawezi kuwa mjinga awekeze kiwanda cha multi million alafu afunge tu lwa kisingizio eti mazingira ya uwekezaji hapa Tz sio mzuri
Hivi unamuonaje huyu JPM?
Lengo hasa ni kuipeleka nchi wapi
Mi kila nkifikiria simuelewi
Akili zake anawaza nini sijui
CHADEMA inahusikaje hapo ndio shida ya kuwa katika kundi la mifugo By DR LwaitamaHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Eeh. hapo hapo Lumumba ndio homu..Eron musk ndio mzee baba, au anapatikana lumumba
Mkuu una maoni gani kuhusu hawa wafuasi wenzio wa Lisu mbona wanaonekana ni wajinga sana?
Hivi mmesoma vizuri hayo maelezo ama mnacoment tu? Au me ndo sielewi!! Dangote na NSK wamefunguliwa kesi na Standard Charted walipe deni, NSK kapeleka ombi la kiwanda kufungwa then Dangote kaenda kupetition kiwanda kisifungwe. Anafungasha how? He is the one wanting to stay.Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..
Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Hiyo chanjo ndio kaburi lakoAcha uongo, dawa ya COVID-19 imeshapatika na chanjo pia.