masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Bad news, its not helping the investment image.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashangilia upumbavu unaofanywa na CCM mpaka wawekezaji wanakimbia . Mpaka mle panya ndio akili zitawakaa sawa.Hiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Kwa hiyo ukiwa muwekezaki ukawa na personal issues na wabia wako basi mzigo unakuwa ni wa serikari?👍 Kwanini Serikali ya CCM inawatesa investors?
Mkapa alijitahidi sana kuiamini have dunia kuwa Mambo ya Azimio la Arusha hayatajirudia tena, Kikwete akadumisha mahusiano mema sana na wawekezaji mbalimbali.
Sasa ngwe hii, tunajidanganya sana hatuthamini umuhimu wa uwekezaji.
Hala hatujali Ni watu wetu wangapi wanaoathirika kwa kukosa kazi mara tu wawekezaji wanapotimuliwa.
Endeleeni na tabia mbaya tutaona mwisho wake mwema
Msiwe na midomo kama chuchunge, zalisha cement wananchi wanateseka.Tulishasema wafanyabiashara wababaishaji lazima waondoke mapema. No way ufisadi awamu hii hauruhusiwi la sivyo lazima kifungo kinamhusu!
Aharibu Mh mungu uwaingize CHADEMAHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
We ni mmoja wao? Kama sio, umejuaje hisia zao katika hili?Hiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Amekanushwa au amewasaidia kuelewa kilichoandikwa?Wewe umekuja kukanusha kama nani mfani? Polepole au kakuru bashiru
Ndio zao!! Halafu nyumbu fc, watakuja kuipongeza serikali kuwa ni uamuzi mzuri, kwani huyo ni beberu!! Anatuibia!!!Ukweli siku zote unachelewa , lakini kwa regime hii ya uwongo uwongo na uzandiki hakuna kitakachofichwa tusikijue.
Soon tutasikia, Mwekezaji alikuwa akiikosesha 'serekale' mapato , huku wakiwa wamekaza shingo.!
Mambo ya wakubwa hayaHii NSK kwa nini inakimbilia winding up
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshindaView attachment 1640919
Ili kiuzwe wadeni walipweHii NSK kwa nini inakimbilia winding up