Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

Hiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Tunashangilia upumbavu unaofanywa na CCM mpaka wawekezaji wanakimbia . Mpaka mle panya ndio akili zitawakaa sawa.
 
Ndiyo maana simenti haikamatiki, wanyonge tutapata tabu sana...
 
Wewe umekuja kukanusha kama nani mfani? Polepole au kakuru bashiru
 
Kwa hiyo ukiwa muwekezaki ukawa na personal issues na wabia wako basi mzigo unakuwa ni wa serikari?
 
Tulishasema wafanyabiashara wababaishaji lazima waondoke mapema. No way ufisadi awamu hii hauruhusiwi la sivyo lazima kifungo kinamhusu!
Msiwe na midomo kama chuchunge, zalisha cement wananchi wanateseka.
 
Wapinzani walitucheleweshea sana maendeleo, JPM baada ya 10, tumpe 10 ya nyongeza iwez20 tuzisome number vizuri
 
Macho na masikio ni yetu hapa ni muda utazungumza kwenye hizi mbichi na mbivu!
 
weka link au document hapa kama uthibitisho wa bandiko lako, tofauti na hapo ni kama hadithi za kutunga
 
mtu unamsimanga ni beberu unategemea atawekeza kwako kweli...
 
Ukweli siku zote unachelewa , lakini kwa regime hii ya uwongo uwongo na uzandiki hakuna kitakachofichwa tusikijue.

Soon tutasikia, Mwekezaji alikuwa akiikosesha 'serekale' mapato , huku wakiwa wamekaza shingo.!
Ndio zao!! Halafu nyumbu fc, watakuja kuipongeza serikali kuwa ni uamuzi mzuri, kwani huyo ni beberu!! Anatuibia!!!
 
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshindaView attachment 1640919

Mbona sioni mahali ambapo serikali inahusika na kesi hii. Tujitahidi kutoongezea chumvi katika masuala ambayo serikali haihusiki vinginevyo umaarufu na ubora wa jamvi letu hili vitakuwa compromised. It's simply a commercial issue, period
 
Kwa akili ya kawaida tu mtu anaekudai 20 millioni anaweza kweli kwenda mahakamani kutaka uuze hoteli yenye thamani ya billioni tatu kisa deni lake.

Hiyo hela ukienda bank ukaweka 5% ya share equity ya hotel si bank wanakupa tsh 100 million dakika moja tu; unalipa na change inabaki.

Ni matumizi mabaya ya sheria na mahakama; yaani Dangote afunge biashara kwa deni la billioni 11 tsh.

I bet over 90% ya wachangiaji awajasoma ata hiyo habari yenyewe kuona ni namna gani huyo NSK alivyo mpuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…