Yaweza kuwa drama zao , mara nyingi serikali bunge na mahakama ni kitu kimoja.
 
Ngoja inyeshe sasa , tuone matobo
 
Fedheha kabisa

Pamoja na serikali kuu kuwa na rasilimali kubwa ya wasomi wizara ya sheria, Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali na fedha za walipa kodi lakini inashindwa kutafsiri sheria kwa usahihi siyo bure kesi nyingi kimataifa serikali inapigwa mweleka na kudaiwa dola za Kimarekani kibao na wawekezaji wa nje walioanzisha miradi Tanzania ...
 
Ebu toka zako bwana, uwekezaji kila siku imekua kama wimbo hasa nyie machawa , tangu nchi hii umekuwepo uwekezaji nini faida ya kujivunia taifa limepata, acheni unafiki ,mtakuja kufa midomo wazi
 
Kumbe Machadema wanakubaliana kwamba mahakama sio za ccm Wala Serikali na ziko huru na zinatenda Haki si ndio?
 
God Bless Tanganyika
 
Mbona kupitia hiyo video clip mwenye kesi kaikana hata hamfahamu huyo mwanasheria? Au ndio mambo ya drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…