ISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?

Mama Samiah alishatoa maamuzi ya kuifuta wilaya ya ngorongoro , mahakama imezuia kwa muda utekelezaji wake. Mpaka kesi ya msingi isikilizwe
 
Hii nchi kwa sasa inajiendea tu kama gari bovu lenye abiria waliochoka, huku likiwa halina dereva.
 

Unataka Rais aseme mara ngapi?. Waziri kashatoa Amri ya serikali ndio inabishaniwa mahakamani.
 
ISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?
Awaambie nini? Cha kuwaambia ni kuhama na Samia hawezi kuja Kwa ishu ndogo kama hiyo
 
Wanajitekenya na kucheka wenyewe.


Kana kiburi sana, atavimbisha kifua na kutokutii, kama tu hilo zuio sio sehemu ya maigizo yao.

Wanajifanya kushindwa, wanakata rufaa, wanashinda na hapo kujifanya kila kitu kimeenda kisheria.
 
Il
Nakumbuka kauli ya Rostam Aziz kuhusu mahakama za Tanzania..

hapo kama siyo planned game..
basi sirikali ita kata rufaa..na watashinda
Ilikuwa planned hiyo, we umeonea wapi kesi ifunguliwe juzi, isikilizwe jana na hukumu itoke Leo? Kwa mahakama zetu hizihizi!!

Nadhani issue ilikuwa kukwepa aibu ya mawakili waliofungua kwa jina la tls.
 
Awaambie nini? Cha kuwaambia ni kuhama na Samia hawezi kuja Kwa ishu ndogo kama hiyo
Sitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tu
Ngorongoro hatutoki...
Tutaishi vizazi na vizazi.
Ikibidi Damu zetu zitafunika Ardhi ya Ngorongoro hapo ndo mtaweza kutufuta kwenye Ramani ya Dunia na sio kutuhamisha.
Subiria uone
 
Ngoja KUKUCHE......kariakoo saa sita mchana unasema watu HAWANIONI
 
Weka ushahidi wa kanusho otherwise ni hisia zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…