Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?
Mbwa amebwekea dhulmaMBWA WAMEANZA KUBWEKA
Kwani Kesi ikon wapi ?
Mahakama gani imeendesha shauri hilo?
Mbona tunajidanganya kiasi hiki?
Kizazi hiki cha Karnes ya 21 kweli mnapelekesha mambo kijinga kiasi hiki?
Au ndyo kusema mbwa wameanza kutafuna mifupa?
Au ndo kutupumbaza?
Au ndo kusema Kuona Aibu tuipakae kama kesi?
Bado kuna maswali mengi........
Maasai wetu wanachotaka ni haki na haki tunayoitaka ni Raisi wa Tanzania Aseme yeye kwa mdomo wake mwenyewe kama alivoanzisha Mateso ya ndugu haetu hata kuwanyima huduma zote,
Awaambie nini? Cha kuwaambia ni kuhama na Samia hawezi kuja Kwa ishu ndogo kama hiyoISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?
Kana kiburi sana, atavimbisha kifua na kutokutii, kama tu hilo zuio sio sehemu ya maigizo yao.
Wanajifanya kushindwa, wanakata rufaa, wanashinda na hapo kujifanya kila kitu kimeenda kisheria.
Ilikuwa planned hiyo, we umeonea wapi kesi ifunguliwe juzi, isikilizwe jana na hukumu itoke Leo? Kwa mahakama zetu hizihizi!!Nakumbuka kauli ya Rostam Aziz kuhusu mahakama za Tanzania..
hapo kama siyo planned game..
basi sirikali ita kata rufaa..na watashinda
Kwani kwazi ya vyombo vya habari ni nini? Au umekurukupa hujataka kusikiliza clip ambayo ina taarifa zinazojitosheleza!Nenda mahakamani ukamuulize Jaji.
Sitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tuAwaambie nini? Cha kuwaambia ni kuhama na Samia hawezi kuja Kwa ishu ndogo kama hiyo
Waliotoka sio Masai? Mtatoka tuuSitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tu
Ngorongoro hatutoki...
Tutaishi vizazi na vizazi.
Ikibidi Damu zetu zitafunika Ardhi ya Ngorongoro hapo ndo mtaweza kutufuta kwenye Ramani ya Dunia na sio kutuhamisha.
Subiria uone
Aisée! Hata mm naanza kuamini hili, kwasabb hakuna jaji anaweza kufanya maamuzi yasiyompendeza "mwenye mbwa".Nasikia ni taarifa ya uongo hii
Sitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tu
Ngorongoro hatutoki...
Tutaishi vizazi na vizazi.
Ikibidi Damu zetu zitafunika Ardhi ya Ngorongoro hapo ndo mtaweza kutufuta kwenye Ramani ya Dunia na sio kutuhamisha.
Subiria uone
Weka ushahidi wa kanusho otherwise ni hisia zakoHuku habari jioni hii zikisema kwamba mkazi wa ngorongoro Isaya Ole Posi amepata zuio mahakamani la KUZUIA WAMASAI wasiondolewe ngorongoro mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa, mkazi huyo amekana kufungua kesi na pia amekana kumfahamu wakili Njau ambae ndie wakili aliefungua kesi hiyo. Isaya ameenda mbali na kusema atachukua HATUA kali kwakuwa jina lake limetumika bila idhini yake . Alipoulizwa haoni jambo hili ni jema sababu wameshinda na kupata zuio alisema haijalishi, hajafungua kesi yoyote na Hana kesi yoyote mahakamani.
Mapema wakili Peter Njau akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama kuu ya Arusha, alisema mteja wake alimwagiza kufungua kesi hiyo, na wakati wa kesi mawakili wa serikali walikuwepo na judge Mwenda alitoa amri hiyo mbele ya pande zote mbili. Kesi itakuja Tena mahakamani tarehe 26 September kusikiliza hoja za mkazi huyo Isaya Ole Posi ambae amekana kabisa kufungua kesi hiyo