Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa
ISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?

Mama Samiah alishatoa maamuzi ya kuifuta wilaya ya ngorongoro , mahakama imezuia kwa muda utekelezaji wake. Mpaka kesi ya msingi isikilizwe
 
Hii nchi kwa sasa inajiendea tu kama gari bovu lenye abiria waliochoka, huku likiwa halina dereva.
 
Kwani Kesi ikon wapi ?
Mahakama gani imeendesha shauri hilo?
Mbona tunajidanganya kiasi hiki?
Kizazi hiki cha Karnes ya 21 kweli mnapelekesha mambo kijinga kiasi hiki?
Au ndyo kusema mbwa wameanza kutafuna mifupa?
Au ndo kutupumbaza?
Au ndo kusema Kuona Aibu tuipakae kama kesi?
Bado kuna maswali mengi........
Maasai wetu wanachotaka ni haki na haki tunayoitaka ni Raisi wa Tanzania Aseme yeye kwa mdomo wake mwenyewe kama alivoanzisha Mateso ya ndugu haetu hata kuwanyima huduma zote,

Unataka Rais aseme mara ngapi?. Waziri kashatoa Amri ya serikali ndio inabishaniwa mahakamani.
 
ISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?
Awaambie nini? Cha kuwaambia ni kuhama na Samia hawezi kuja Kwa ishu ndogo kama hiyo
 
Wanajitekenya na kucheka wenyewe.


Kana kiburi sana, atavimbisha kifua na kutokutii, kama tu hilo zuio sio sehemu ya maigizo yao.

Wanajifanya kushindwa, wanakata rufaa, wanashinda na hapo kujifanya kila kitu kimeenda kisheria.
 
Il
Nakumbuka kauli ya Rostam Aziz kuhusu mahakama za Tanzania..

hapo kama siyo planned game..
basi sirikali ita kata rufaa..na watashinda
Ilikuwa planned hiyo, we umeonea wapi kesi ifunguliwe juzi, isikilizwe jana na hukumu itoke Leo? Kwa mahakama zetu hizihizi!!

Nadhani issue ilikuwa kukwepa aibu ya mawakili waliofungua kwa jina la tls.
 
Awaambie nini? Cha kuwaambia ni kuhama na Samia hawezi kuja Kwa ishu ndogo kama hiyo
Sitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tu
Ngorongoro hatutoki...
Tutaishi vizazi na vizazi.
Ikibidi Damu zetu zitafunika Ardhi ya Ngorongoro hapo ndo mtaweza kutufuta kwenye Ramani ya Dunia na sio kutuhamisha.
Subiria uone
 
20240819_132155.jpg


Watalegea mtashangaa wenyewe..
 
Huku habari jioni hii zikisema kwamba mkazi wa ngorongoro Isaya Ole Posi amepata zuio mahakamani la KUZUIA WAMASAI wasiondolewe ngorongoro mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa, mkazi huyo amekana kufungua kesi na pia amekana kumfahamu wakili Njau ambae ndie wakili aliefungua kesi hiyo. Isaya ameenda mbali na kusema atachukua HATUA kali kwakuwa jina lake limetumika bila idhini yake . Alipoulizwa haoni jambo hili ni jema sababu wameshinda na kupata zuio alisema haijalishi, hajafungua kesi yoyote na Hana kesi yoyote mahakamani.

Mapema wakili Peter Njau akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama kuu ya Arusha, alisema mteja wake alimwagiza kufungua kesi hiyo, na wakati wa kesi mawakili wa serikali walikuwepo na judge Mwenda alitoa amri hiyo mbele ya pande zote mbili. Kesi itakuja Tena mahakamani tarehe 26 September kusikiliza hoja za mkazi huyo Isaya Ole Posi ambae amekana kabisa kufungua kesi hiyo
Weka ushahidi wa kanusho otherwise ni hisia zako
 
Back
Top Bottom