Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Mkuu, mi si mtu wa siasa sana ila hao jamaa wanapost/ kukomenti kitu kinafikirisha kwamba ni kusudi kuvuruga si kwamba hawajielewi/hawaelewi wanachokifanya, nilifatilia nikaona kumbe hufanya kwa makusudi na sababu ndo maana nikawaignore...ni vile wakomenti wafikiriavyo kuharibu mjadala. Baadae husema Chadema mnamatusi huku wakijua si wote humu tunakomenti Tuko Chadema. Ni kama mwanamke anaekuropokea makusudi ili ukimzibua aseme we mwanaume mkorofi but aliitafuta hasira yako!
Utasikia "nipige kama wewe mwanaume"
😂
 
Acha uongo mzee ! shaidi ukikutwa muongo ushaidi wako unakuwa hauna nguvu ..maana yake unatetea uongo pia kwa maslahi yako tu
Na hiyo ndiyo inakuwa sababu ya mtu kunyongwa.
Na yule aliyedanganya hadi dini yake naye atasababisha kitu gani, unaweza kutueleza wewe?

Lakini muhimu zaidi, hata hukumbuki kabisa Samia kujitangaza kuwa mshindi wa uchaguzi ambao haukuwepo kabisa.Sasa tuseme kweli nyinyi watu mnazo akili vichwani mwenu?
 
ungefatilia vizuri ungegundua maeneo mengi sana ushahidi wao umepishana masawli mengi heche kasema hajui, brenda kasema kamsikia lissu akisema kukinukisha lkn heche kasema hajasikia.

Mahakama imejua kuwa heche ni muongo aliposema ana gari 2, kwahiyo majaji itawasaidia kwenye hukumu.
Tundu Lissu hawezi kuhukumiwa kwa Heche kuwa na gari mbili. Naona unawekeza kila kitu chako kwenye upuuzi huu.
 
Na hiyo ndiyo inakuwa sababu ya mtu kunyongwa.
Na yule aliyedanganya hadi dini yake naye atasababisha kitu gani, unaweza kutueleza wewe?

Lakini muhimu zaidi, hata hukumbuki kabisa Samia kujitangaza kuwa mshindi wa uchaguzi ambao haukuwepo kabisa.Sasa tuseme kweli nyinyi watu mnazo akili vichwani mwenu?
Eneo langu lote tulitoka na kupiga kura mimi mwenyewe shaidi sasa sijui huu uongo kuwa alijitangaza mnatoa wapi?
CCM wana nyumba 10 10 nchi nzima na mjumbe anahakikisha members wake wote wanapiga kura sasa fanya hesabu Mama alipata kura ngapi?
Acheni harakati fanyeni siasa tujenge nchi
 
Lisu Case Vs Nchimbi hideaway ......kuna connection hapa....nasubiri movie hapa.....nchimbi kuibukia CDM.....kazi iendeleee amina
 
Eneo langu lote tulitoka na kupiga kura mimi mwenyewe shaidi sasa sijui huu uongo kuwa alijitangaza mnatoa wapi?
CCM wana nyumba 10 10 nchi nzima na mjumbe anahakikisha members wake wote wanapiga kura sasa fanya hesabu Mama alipata kura ngapi?
Acheni harakati fanyeni siasa tujenge nchi
Huwezi ukasema mlitoka wote eneo lenu,at least sema mimi na familia yangu tulitoka/hatukutoka.
Mimi mjumbe wangu alijifungia hadi tarehe za mwanzoni mwa November huyu mtoe nahisi hata kura hakupiga😀
 
Eneo langu lote tulitoka na kupiga kura mimi mwenyewe shaidi sasa sijui huu uongo kuwa alijitangaza mnatoa wapi?
CCM wana nyumba 10 10 nchi nzima na mjumbe anahakikisha members wake wote wanapiga kura sasa fanya hesabu Mama alipata kura ngapi?
Acheni harakati fanyeni siasa tujenge nchi
Hizo siyo stori anazoeleza Samia mwenyewe? Nyinyi ndio milioni 31 ya waTanzania waliopiga kura, na mkampa asili mia 97 za kura zenu?
Hata kama akili yako ingekuwa sawa yna ya pweza usingeweza kuandika upumbavu kama huu.
 
muunganishe na polepole
Na yote haya mwisho wa siku huyo mfugaji wako Samia itabidi ayajibu, na wewe hutakuwepo kumsaidia kujibu; kwa sababu utakuwa ni mzoga unaoozea mitaani tayari wakati huo.
 
Porojo
 
Ungetumia muda huu kumsaidia namna ya kutoroka nchi kabla hajawekwa mikononi mwa wananchi na kuwajibishwa kwa maouvu yak; badala yake unapoteza muda hapa huku ukiendelea kupata shibe ya makombo anayokutupia chini uyale.
 
hata wakati wa uchaguzi mlisema kakimbia mkatuma na picha ya ndege, hili sio geni jijini
 
Back
Top Bottom