Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

aliyesema ana gari 2 kumbe anazo 5 ni mkweli? hii kesi hachomoki hata amwage machozi ndoo nzima

..uongo wa Heche hauna mahusiano na hati ya mashtaka, ushahidi, au kielelezo chochote, kilichokuwa mahakamani.

..kama taarifa za miamala za Heche zingepelekwa mahakamani kupitia taratibu rasmi za kimahakama halafu Heche akasema uongo hapo ndipo kungekuwa na tatizo.

..ushahidi wa Heche unasomana na wa Mnyika, Brenda Rupia, na Amani Golugwa, na hicho ndicho kitu cha kutilia maanani.
 
Acha uongo mzee ! shaidi ukikutwa muongo ushaidi wako unakuwa hauna nguvu ..maana yake unatetea uongo pia kwa maslahi yako tu
 
CAN A STRANGER TO A SUIT BECOME A PLAINTIFF IN A COUNTERCLAIM?

A counterclaim is not a separate claim that anybody can simply join.

Take an Imagination here:
when A sues B,B may use the same proceedings to bring his own claim against A. But a stranger to the original suit cannot simply enter the counterclaim and become a plaintiff.
A counterclaim must follow the procedure created by law.
Under Order VIII Rule 10 of the Civil Procedure Code,Chapter.33 , a defendant may,in appropriate circumstances,bring another person into the counterclaim as a person against whom the counterclaim is made.
The law therefore does not give a stranger to the original suit an independent right to become a plaintiff in that counterclaim.
Although Order I Rule 9 generally provides that a suit should not fail merely because of misjoinder or non joinder of parties,that rule cannot be used to cure a defect that makes the counterclaim itself incompetent.

In Village Amani Limited & Another vs Wheat Company Limited & Others (Civil Appeal No. 325 of 2024) [2026] TZCA 1159 (17 September 2026)
The 2nd appellant was not a party to the original suit,but was introduced as a plaintiff in the counterclaim.
The appellants argued that this was merely misjoinder and that the court should simply remove the wrongly joined person.
The Court of Appeal disagreed and It held that the problem was not merely the presence of a wrong party. The problem was that a stranger to the original suit had been made a plaintiff in the counterclaim, contrary to the law governing counterclaims.
Therefore, the counterclaim was incompetent, and the Court upheld its striking out

SWAHILI TRANSLATION ⚖️

Mgeni wa shauri hawezi kuwa mdai kwenye dai la kumpinga mdai wa kwanza (counterclaim). Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Madai (Order VIII Rule 10), mtu mgeni anaweza tu kuongezwa kama mdaiwa, si mdai. Mahakama ya Rufani ilithibitisha kuwa kumwingiza kama mdai kunalifanya dai hilo kuwa batili kisheria, na mahakama italifuta badala ya kusahihisha tu makosa ya uunganishaji.

#Custodes Legis ⚖️⚖️

Jiunge nasi kwenye Channel yetu ya WhatsApp
 
Jaji anamsikiliza maana hamkawii kusema anaonewa, anaachwa amalize aridhike hukumu awaachie majaji, juzi jaji alimwambia jielekeze kwenye yale ya msingi na alikuwa anamhimiza amalize lkn lissu anadhani kuongea sana ndio kushinda kesi.
Lissu sio Babu Tale. Ukiulizwa katika hayo mengi aliyoongea hoja ipi sio ya msingi utaishia kuweweseka tu.
 
Huyo jamaa nilishaachana nae mda, sijuagi kwann huwa mnamjibu ujinga wake. Sijui kwann mko nae ..wanini yani!
Inabidi wajifunze kutumia hii button ya ignore. Inasaidia sana kupunguza kukutana na shudu za Lumumba. Bado mmoja nifikishe 100.
Screenshot_20260929-011026_Chrome.jpg
 
Inabidi wajifunze kutumia hii button ya ignore. Inasaidia sana kupunguza kukutana na shudu za Lumumba. Bado mmoja nifikishe 100.
View attachment 3680007
Mkuu, mi si mtu wa siasa sana ila hao jamaa wanapost/ kukomenti kitu kinafikirisha kwamba ni kusudi kuvuruga si kwamba hawajielewi/hawaelewi wanachokifanya, nilifatilia nikaona kumbe hufanya kwa makusudi na sababu ndo maana nikawaignore...ni vile wakomenti wafikiriavyo kuharibu mjadala. Baadae husema Chadema mnamatusi huku wakijua si wote humu tunakomenti Tuko Chadema. Ni kama mwanamke anaekuropokea makusudi ili ukimzibua aseme we mwanaume mkorofi but aliitafuta hasira yako!
 
Hello Broo man,

-Unapigania nini ?
-Unapigania akina nani ?
-For what in return ?

Nikuambie kitu, Wewe ni msomi na Smart and deep down you know what ur doing here.

Lakn hauoni unafika mbali kufanya dhihaka kwa mtu anae pambania uhai wake ?. Mtu alipigwa risasi 16, leo hii anatembea kwa kuburuta mguu, Don’t you feel sorry for him ?.

Uhai na maisha ya mtu leo mbele ya unachopambania hauna maana kabisa ?

I don’t know how to express,, lakin jaribu kua na utu acha utani na uhai wa mtu.. So please 🙏🏾.
Huyo kala miti 16 sasa
 
Hafu wanasema serikali imetishiwa. Imetishiwa bila viombo hivyo vyote kupewa taarifa??
Sio tu kupewa taarifa lakini pia vyombo vyote vilivyoitwa watoe ushahidi vimekula unyoya, Kesi ya Uhaini ni kubwa kuliko kesi yoyote vimeshindwa vipi kutoa ushahidi kama kweli Uhaini umefanyika hii ni sehemu Tundu Lissu kapata point 3
 
Lissu sio Babu Tale. Ukiulizwa katika hayo mengi aliyoongea hoja ipi sio ya msingi utaishia kuweweseka tu.
mengi ni porojo yaliyo nje ya kesi, anaposema ameshtakiwa kwasababu ya siasa kwann hataji sheria inayosema mwanasiasa akifanya kosa asishtakiwe.
 
Kumbe unayo akili hafifu kiasi hiki?
Kwa hiyo Tundu Lissu atapatikana na hatia ya uhaini kwa vile Heche kadanganya kuwa anayo magari mawili?
kumbe ni mjinga kiasi hicho, unajua maana ya shahidi kuangaliwa kuaminika kwake kwenye kesi?
 
..uongo wa Heche hauna mahusiano na hati ya mashtaka, ushahidi, au kielelezo chochote, kilichokuwa mahakamani.

..kama taarifa za miamala za Heche zingepelekwa mahakamani kupitia taratibu rasmi za kimahakama halafu Heche akasema uongo hapo ndipo kungekuwa na tatizo.

..ushahidi wa Heche unasomana na wa Mnyika, Brenda Rupia, na Amani Golugwa, na hicho ndicho kitu cha kutilia maanani.
ungefatilia vizuri ungegundua maeneo mengi sana ushahidi wao umepishana masawli mengi heche kasema hajui, brenda kasema kamsikia lissu akisema kukinukisha lkn heche kasema hajasikia.

Mahakama imejua kuwa heche ni muongo aliposema ana gari 2, kwahiyo majaji itawasaidia kwenye hukumu.
 
MAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANABISHANA KIDOGO NA MAJAJI KISHA ANAENDELEA.

SEHEMU YA 1. TAREHE 28.9.2026.

MAHAKAMA INAANZA HAPA

Ameingia Lissu, kisha wakafuatia Majaji kwa pamoja.

Karani wa Mahakama: Anaanza kusoma Criminal Session, Kesi Na. 19605 ya mwaka 2025, Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.

Anasimama Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga.

Nassoro Katuga: Iwapendeze Mahakama hii Tukufu, Waheshimiwa Majaji wa Mahakama hii Kuu. Naitwa Nassoro Katuga, Wakili wa Serikali Mkuu. Nipo pamoja na:

1. Job Mrema, Wakili wa Serikali Mkuu
2. Ignas Mwinuka, Wakili wa Serikali Mkuu
3. Tawabu Issa, Wakili Mwandamizi
4. Cuthbert Mbilinyi, Wakili wa Serikali
5. Winniwa Kasara, Wakili wa Serikali

Waheshimiwa, jopo la mawakili sita linaiwakilisha Jamhuri, na mshtakiwa yupo kizimbani.

Shauri limekuja kwa ajili ya mawasilisho ya mshtakiwa.

Sisi upande wa Jamhuri tupo tayari. Sijui mwenzetu.

Jaji Ndunguru: Mshtakiwa?

Lissu: Nipo tayari, Mheshimiwa Jaji.

Jaji Ndunguru: Tuendelee.

Unakumbuka Ijumaa wakati tunahairisha ulikuwa umemaliza hoja ya saba. Tuanze ya nane.

Lissu: Waheshimiwa Majaji, nawashukuru sana.

Waheshimiwa Majaji, kabla sijazungumza ya leo, naomba niseme yafuatayo.

Na haya nayazungumza kwa sababu leo namaliza hoja yangu ya mawasilisho.

Jaji Ndunguru: Katika session hii ya asubuhi?

Lissu: Hilo siwezi kusema.

Kwa sababu leo namalizia kuwasilisha, kuna maneno ambayo naweza nisiyazungumze tena.

Naomba sasa kusema mbele ya Majaji yale ambayo nilitaka kusema.

Jaji Ndunguru: Kwanini usiyaweke mwisho, tukupe muda ili twende kwa mtiririko?

Lissu: Hilo nalo ni gumu. Kwa kweli, naomba muda niweze kusema.

Lissu: Hoja ya nane inauliza kama, kwa kuzingatia majibu ya hoja saba zilizotangulia, upande wa mashitaka umethibitisha mashitaka yake kwa kiwango cha uthibitisho kinachotakiwa na sheria.

Kiwango cha uthibitisho kinachotakiwa na sheria katika kesi ya jinai kama hii ni uthibitisho usioacha shaka yoyote ya msingi — Proof Beyond Reasonable Doubt.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Hivi final submission ya akina Katuga ya kwao ni written sio maana Lissu alisema yake ni orally
 
Back
Top Bottom