Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Tanzania nasi tutaikumbuka CHADEMA na viongozi wake wote waliopitia katika ukandamizaji wa serikali haramu ya CCM kupitia TLR [Tanzania Law Reports] reports ikiwemo kesi ya Freeman Mbowe ugaidi, kesi ya Tundu Lissu ugaidi, kesi kibao za viongozi makada wa CHADEMA katika mapambano struggle, rebellion kudai mabadiliko

TLR in Tanzania law stands for the Tanzania Law Reports, an official and authoritative publication series containing judgments, rulings, and legal opinions from superior courts in the country.

TOKA MAKTABA:

ANC ya Mandela ilivyoweza kubakia ktk kumbukumbu za kupingana na sheria za kibaguzi za Afrika ya kusini chini ya utawala wa kigandamizi na sheria zake haramu

quotebkgd_left.jpg
It is said that no one truly knows a nation until one has been inside its jails.
A nation should not be judged by how it treats its highest citizens, but its lowest ones.
quotebkgd_right.jpg
- Nelson Mandela

Nelson Mandela Rules​

Nelson Mandela spent 27 years in prison in the course of his struggle. Throughout his life he advocated for the fair and humane treatment of all, including prisoners.

In December 2015, following a revision process of more than five years, the UN General Assembly unanimously adopted the United Nations Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners. It also approved that the rules should be known as the "Nelson Mandela Rules" in order to honour the legacy of the late President of South Africa.

The General Assembly also decided to extend the scope of Nelson Mandela International Day to be utilized in order to promote humane conditions of imprisonment, raise awareness about prisoners being a continuous part of society, and to value the work of prison staff as a social service of particular importance.

As custodian of the Nelson Mandela Rules, each year the United Nations Office on Drugs and Crime undertakes a global awareness raising campaign on the theme #PrisonersMatter.


#PrisonersMatter: raise your voice for the Nelson Mandela Rules​

The treatment of prisoners matters. It matters because it impacts all of us – but above all it matters because prisoners are human beings. On Nelson Mandela International Day, join the United Nations Office on Drugs and Crime to call for the universal practical application of the Nelson Mandela Rules – because prisoners matter. Take part in the campaign.


What are the Nelson Mandela Rules?​

The Nelson Mandela Rules represent the universally acknowledged blueprint for prison management in the 21st century. They outline minimum prison conditions, provide guidance, and set clear benchmarks for prison staff on how to uphold safety, security and human dignity. Find out more.


1955​

The Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners (PDF
PDF document
), originally adopted by the First UN Congress on the Prevention of Crime and the Treatment of Offenders in 1955, constitute the universally acknowledged minimum standards for the management of prison facilities and the treatment of prisoners, and have been of tremendous value and influence in the development of prison laws, policies and practices in Member States all over the world.

2011​

In recognition of the advances in international law and correctional science since 1955, however, the General Assembly decided, in 2011, to establish an open-ended intergovernmental Expert Group to review and possibly revise the rules. Relevant UN bodies, other international and regional organisations, as well as civil society were invited to contribute to the process. As the custodian of the Standard Minimum Rules, the United Nations Office on Drugs and Crime (UNODC) closely accompanied the revision process by serving as its Secretariat.


2015​

At its fourth meeting held in Cape Town, South Africa, in March 2015, the Expert Group reached consensus on all of the rules opened for revision. In May 2015, the Commission on Crime Prevention and Criminal Justice (CCPCJ) endorsed the revised rules and submitted the entire set of the revised SMRs for approval by the Economic and Social Council (ECOSOC) and subsequent adoption by the General Assembly.

2015​

In December 2015, the UN General Assembly adopted the revised rules as the “United Nations Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners”. As per the recommendation of the Expert Group, the revised rules are to be known as "the Nelson Mandela Rules" to honour the legacy of the late President of South Africa, Nelson Rolihlahla Mandela, who spent 27 years in prison in the course of his struggle for global human rights, equality, democracy and the promotion of a culture of peace
 
Umechambua vizuri sana lakini kwa upande wa mashtaka wanasema kauli ile ya Tundu Lissu imeitisha Serikali lakini hapo hapo Lissu akawauliza Serikali ni pana Kuna Raisi, Mawaziri, TISS na wengine wengi lakini hao alipowahitaji waje watoe ushahidi wamekataa kutoa ili waoneshe wametishikaje so hata kwenye hiyo hoja pia amewabana
Pia hoja na kigezo chao kingine na ambacho ni kikubwa kwamba "Serikali ndio inayosimamia sheria", hivyo basi kuzuia uchaguzi ni kuigishia serikali maana sheria ya uchaguzi ni sehemu ya sheria ambazo serikali inazisimamia.

Hoja yao hii inapaswa kujibiwa kwa Vielelezo sio kwa maneno ya jumla jumla, yaani.
• Je, Sheria ya uchaguzi imeweka kosa linaloitwa Kuzuia Uchaguzi.?
• Je, Serikali inasimamia sheria zote za nchi, au kuna mipaka kwa baadhi ya sheria za nchi.?, Yaani Serikali inasimamia sheria ya mahakama, Kanuni za kudumu za bunge na Nyinginezo.

Mimi nadhani Kesi hii si ya lissu peke yake bali ni ya watanzania wote, maana kuna mambo mengi hayapo kisheria lakini yanaonekana ya kisheria.
 
Wangeenda mbali zaidi ya hapo. Yule kibatala ni mtu sana.
Mkuu, unajua mpaka kufika maamuzi ya kujitetea mwenyewe.. mazingira yalikuwaje?

Mwanzoni kesi wakati inaanza Mawakili wengi walizuia kumuona, na wakimuona wakawa wameweka distance kubwa katikati ya Lissu na Mawakili wake.. wakaweka na kioo ..na tundu dogo sana la kuongea.. huku askari wanne wakisimamia maneno pamoja na watu wengine wa usalama..

Lissu akalalamika sana Kisutu.. Tena wakileta documents za kesi, zinapitishwa kwa mkuu wa gereza..wanazipiga copy na kuzituma kwa akina Katuga..ili kujua wamejipanga vipi

Lissu akiwa Kisutu akalalamika ..Mipango yetu na Mawakili wachache wanaoruhusiwa kuniona inasikilizwa na maaskari kinyume Cha Sheria...

Sasa ikabidi mbinu ibadilike..akajitetea mwenyewe.. na Mawakili wanapokuja na documents wanapewa muda kidogo sana.. Sasa wakaanza kuongea kwa codes na wakati mwingine kuonyeshana ishara kwa vidole..kuhusu vifungu vya Sheria na mambo mbalimbali.. hii ikawafanya wale Askari wasielewe mambo mengi... Huyo Kibatala alipigwa chini na Mkuu wa gereza Ukonga kumuona Lissu..maana alienda akawa anaongea lugha kama Kigiriki(deep English na codes za hatari) na Lissu anajibu na kuandika chini points.. askari walichanganyikiwa
 
Imetumika mbinu ya kumchafua ili asije kugombea tena Urais lakini pia ni mbinu ya kumpokonya Chama

Maana atakosa sifa pia 🙌

Siasa ya Tanzania ni ya hovyo sana
Lissu si sawa na dr. Lissu anaweza kufanya kazi popote duniani bila intaviu, je, ni mwanaccm gani anayeweza kufanya kazi Kenya tu bila au na intaviu, labda Wassira!
Lissu hajawahi kuwania urais na hauhitaji kwani utamzuia kuwatumikia wanaoonewa.
 
Lissu si sawa na dr. Lissu anaweza kufanya kazi popote duniani bila intaviu, je, ni mwanaccm gani anayeweza kufanya kazi Kenya tu bila au na intaviu, labda Wassira!
Lissu haja wahi kuwania urais na hauhitaji kwani utamzuia kuwatumikia wanaoonewa.
Yule ni mwanaharakati wa kuzaliwa, hakuna kitu hapendi kama uonevu

Ndiyo maana pamoja na kuwa Chama tofauti, bado aliweza kuwaulizia waliopo Humphrey Polepole na juzi hapa Balozi Emmanuel Nchimbi
 
Hitimisho safi kabisa, mtu asiye na kisasi na yeyote pamoja na kuona figisu zote za kesi hii

Ni fahari kusoma hitimisho lake, proceedings za kesi hii zitabaki hapa JF hata baada ya sisi wote kuondoka Duniani

Amewafundisha akina Katuga sheria kwa mara nyingine baada ya kutoka Law school 🙏🙏
Natamani sana akina kabuti kalamaganda na akina Asha Migiro wangepata mtiririko mzima wa hii kesi.

Kama kuna mtu anayejuwa njia rahisi ya kuwafikishia taarifa yote ya kesi hii, mimi nitaiweka pamoja kama pacckage na kuwawasilishia.
 
Imetumika mbinu ya kumchafua ili asije kugombea tena Urais lakini pia ni mbinu ya kumpokonya Chama

Maana atakosa sifa pia 🙌

Siasa ya Tanzania ni ya hovyo sana
Hivi mkuu, unafikiri hata akihukumiwa Maisha, Mahakama ya Rufaa haiwezi kukubali hiyo hukumu iwe rejea..

Maana watu wengi watafungwa kwa Uhaini... kwenye kampeni ukikosea ukasema Uchaguzi huu haufai.. Uchaguzi huu wa hovyo wananchi tuukatae.. umekwenda na maji..unafungwa

Yaani Uchaguzi Tanzania na Sheria zake zitafungamana na baadhi ya Sheria za Uhaini...na Polisi watafungua kesi nyingi sana kwa watu
 
Natamani sana akina kabuti kalamaganda na akina Asha Migiro wangepata mtiririko mzima wa hii kesi.

Kama kuna mtu anayejuwa njia rahisi ya kuwafikishia taarifa yote ya kesi hii, mimi nitaiweka pamoja kama pacckage na kuwawasilishia.
Kuna haja itengenezewe kitabu kabisa ili watu wajifunze Uhaini wa maneno unavyofanya kazi Tanzania
 
Hivi mkuu, unafikiri hata akihukumiwa Maisha, Mahakama ya Rufaa haiwezi kukubali hiyo hukumu iwe rejea..

Maana watu wengi watafungwa kwa Uhaini... kwenye kampeni ukikosea ukasema Uchaguzi huu haufai.. Uchaguzi huu wa hovyo wananchi tuukatae.. umekwenda na maji..unafungwa

Yaani Uchaguzi Tanzania na Sheria zake zitafungamana na baadhi ya Sheria za Uhaini...na Polisi watafungua kesi nyingi sana kwa watu
Ndiyo njia ya kuwanyamazisha wapinzani waliyochagua Serikali, kutoka kushindana kwa hoja hadi kutumia Uhaini 🙌
 
Jaji anamsikiliza maana hamkawii kusema anaonewa, anaachwa amalize aridhike hukumu awaachie majaji, juzi jaji alimwambia jielekeze kwenye yale ya msingi na alikuwa anamhimiza amalize lkn lissu anadhani kuongea sana ndio kushinda kesi.
Wewe ndio ulitukanwa na Nyani Ngabu mpaka Hance Mtanashati
Akafungua thread? Au nyie ni mtu mmoja?
 
Kwa maoni yangu: PW5 nae ni shaidi wa mchongo.
Sijawai kuona mtu aneweza kuikana dini yake, yani hata uniamshe usingizini nitasema dini yangu ni fulani tu, hata iweje siwezi kujiingiza kwenye sehemu isiyo yangu. Huyu ni shaidi muongo
Hao mashahidi wamefanya kwa makusudi labisa. Hakuna bahati mbaya. Wameamua kbs kuburuga vuruga tu.
 
Kwa maoni yangu: PW5 nae ni shaidi wa mchongo.
Sijawai kuona mtu aneweza kuikana dini yake, yani hata uniamshe usingizini nitasema dini yangu ni fulani tu, hata iweje siwezi kujiingiza kwenye sehemu isiyo yangu. Huyu ni shaidi muongo
aliyesema ana gari 2 kumbe anazo 5 ni mkweli? hii kesi hachomoki hata amwage machozi ndoo nzima
 
Back
Top Bottom