Si ndio apo sasaKwanini iwe Written? Ilitakiwa iwe Oral kila mtu asikie kile Jamhuri kinasema.
Si ndio apo sasaKwanini iwe Written? Ilitakiwa iwe Oral kila mtu asikie kile Jamhuri kinasema.
Kwanini lissu alikubali hili? Angekataa ilitakiwa wote iwe OralSi ndio apo sasa
Siku ya kwanza waliulizanaKwanini iwe Written? Ilitakiwa iwe Oral kila mtu asikie kile Jamhuri kinasema.
Kumbe maCCM ndio walisababisha Lissu ajitetee mwenyewe halafu wanakuja hapa kulialia bila sababu za msingi. Watulie awanyooshe ;wapuuzi wakubwa!Mkuu, unajua mpaka kufika maamuzi ya kujitetea mwenyewe.. mazingira yalikuwaje?
Mwanzoni kesi wakati inaanza Mawakili wengi walizuia kumuona, na wakimuona wakawa wameweka distance kubwa katikati ya Lissu na Mawakili wake.. wakaweka na kioo ..na tundu dogo sana la kuongea.. huku askari wanne wakisimamia maneno pamoja na watu wengine wa usalama..
Lissu akalalamika sana Kisutu.. Tena wakileta documents za kesi, zinapitishwa kwa mkuu wa gereza..wanazipiga copy na kuzituma kwa akina Katuga..ili kujua wamejipanga vipi
Lissu akiwa Kisutu akalalamika ..Mipango yetu na Mawakili wachache wanaoruhusiwa kuniona inasikilizwa na maaskari kinyume Cha Sheria...
Sasa ikabidi mbinu ibadilike..akajitetea mwenyewe.. na Mawakili wanapokuja na documents wanapewa muda kidogo sana.. Sasa wakaanza kuongea kwa codes na wakati mwingine kuonyeshana ishara kwa vidole..kuhusu vifungu vya Sheria na mambo mbalimbali.. hii ikawafanya wale Askari wasielewe mambo mengi... Huyo Kibatala alipigwa chini na Mkuu wa gereza Ukonga kumuona Lissu..maana alienda akawa anaongea lugha kama Kigiriki(deep English na codes za hatari) na Lissu anajibu na kuandika chini points.. askari walichanganyikiwa
Kwani hii kesi inahusu magari mkuu? Hivi huko Lumumba mnafundishwa elimu au ujinga. Hebu jaribu kuficha ujinga wako japo kidogo mkuu.aliyesema ana gari 2 kumbe anazo 5 ni mkweli? hii kesi hachomoki hata amwage machozi ndoo nzima
Hakuna binadamu aliye mkamilifu maswali aliyoulizwa Heche na majibu yake hayahusiani na uhaini wa Lisu. Wala uongo wake hauwezi kuchukuliwa kama kipimo cha shahidi ambaye haaminiki kwa sababu angeulizwa Brenda ,Aman , Mnyika na Heche kuwa Lissu ana miliki magari mangap halafu watofautiane idadi ingekua shida.ungefatilia vizuri ungegundua maeneo mengi sana ushahidi wao umepishana masawli mengi heche kasema hajui, brenda kasema kamsikia lissu akisema kukinukisha lkn heche kasema hajasikia.
Mahakama imejua kuwa heche ni muongo aliposema ana gari 2, kwahiyo majaji itawasaidia kwenye hukumu.
wewe ndio mjinga hujui maana ya cross examination.Kwani hii kesi inahusu magari mkuu? Hivi huko Lumumba mnafundishwa elimu au ujinga. Hebu jaribu kuficha ujinga wako japo kidogo mkuu.
huu ujinga wa hali ya juu, mtu akihukumiwa msivyopenda mje hapa kutupigia keleleHakuna binadamu aliye mkamilifu maswali aliyoulizwa Heche na majibu yake hayahusiani na uhaini wa Lisu. Wala uongo wake hauwezi kuchukuliwa kama kipimo cha shahidi ambaye haaminiki kwa sababu angeulizwa Brenda ,Aman , Mnyika na Heche kuwa Lissu ana miliki magari mangap halafu watofautiane idadi ingekua shida.
Lkn kuficha mali kwa shahidi hilo sio jambo lake
Hata Sasa hivi mazingira ya kumuona ni magumu..Kumbe maCCM ndio walisababisha Lissu ajitetee mwenyewe halafu wanakuja hapa kulialia bila sababu za msingi. Watulie awanyooshe ;wapuuzi wakubwa!
I didn't know I was replying to someone with such a low IQhuu ujinga wa hali ya juu, mtu akihukumiwa msivyopenda mje hapa kutupigia kelele
Hakuna mtu anayerusha live kwenye Uzi kama ilivyo kwa Lissu?Kwanini iwe Written? Ilitakiwa iwe Oral kila mtu asikie kile Jamhuri kinasema.
Nahisi hakuna anayerusha live, kwani Leo lissu hayuko mahakamani?Hakuna mtu anayerusha live kwenye Uzi kama ilivyo kwa Lissu?
Huoni kama inaweza kutoa mwanya kuongeza vitu?Siku ya kwanza waliulizana
LIsu aka opt kuwasilisha kwa oral na akasema kwa vile ni kesi nzito na kubwa anataka umma usikie akijetetea kwa njia ya mdomo na ana page 1,000.
Akina Katuga wao nadhani watawasilisha kwa maandishi baada ya Lissu kumaliza jana.
Hii ni kinyume na haki za binadamu. Ndugu wana haki ya kumtembelea mahabusu bila kuwekewa ukomo. MiCCM ni mijitu ya kichoko na kiquma sana.Hata Sasa hivi mazingira ya kumuona ni magumu..
Mawakili hawazidi 7.. Kuna orodha maalum
Ndugu hawazidi 8 ..wakiongezeka inapigwa simu kwa mkuu wa gereza kujua ni nani huyo amekuja..
Yupo mahakamaniNahisi hakuna anayerusha live, kwani Leo lissu hayuko mahakamani?
Mkuu upo kweli?MAHAKAMA INAENDA MAPUMZIKO TUNDU LISSU ANAJIBIZANA NA MAJAJI KIDOGO.
SEHEMU YA 13.
LISSU: Sasa, Waheshimiwa Majaji, nawaalikeni mtafakari yafuatayo.
Naomba niseme haya, halafu tubreak.
Tutamaliza, Waheshimiwa Majaji.
JAJI NDUNGURU: Ni wewe tu.
Mahakama inacheka.
JAJI NDUNGURU: Umekuwa ukisema unamaliza, unamaliza, unamaliza. Naona ndiyo kama unaanza submission.
LISSU: Ni kwa sababu kile kitabu kina kurasa zaidi ya 1,000, ndiyo maana lazima tuchambue na tujadili.
JAJI NDUNGURU: Lakini tumeandika yale mliyokuwa mnabishana nayo. Yametoka kichwani kwenu.
JAJI NDUNGURU: Mshtakiwa, tukirudi tutajua tumebakia na masaa mawili.
LISSU: Ninachosema leo nataka kumaliza. Sitaki kurudi kesho hapa.
Najaribu kuwaza, kesi ya Khatibu Ghandi ilikuwa na mashahidi 100+. Ilikuwaje?
JAJI NDUNGURU: Basi, tujitahidi zile shamrashamra kama za asubuhi zisiwepo.
Kuna mashauri yanaendelea.
LISSU: Ndiyo madhara ya kuzuiwa kuniona.
Wangeruhusiwa kuniona, yasingekuwa hivi.
JAJI NDUNGURU: Sawa, tutarejea saa 8 na nusu.
MAJAJI WANATOKA.
TUKUTANE SAA 8:30 MCHANA.
Sasa mbona hatuletewi updates? Kulikoni?Yupo mahakamani
Mawaikili wa Jamhuri ni waoga sana na wanapenda njia za kujificha ficha.Siku ya kwanza waliulizana
LIsu aka opt kuwasilisha kwa oral na akasema kwa vile ni kesi nzito na kubwa anataka umma usikie akijetetea kwa njia ya mdomo na ana page 1,000.
Akina Katuga wao nadhani watawasilisha kwa maandishi baada ya Lissu kumaliza jana.
Ina wakili akifanya cross examination hata katika jambo ambalo halipo kwenye hati ya mashataka, hilo jambo linaingizwa kwenye mashtaka mkuu?wewe ndio mjinga hujui maana ya cross examination.