The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Sawa,Basi kaa chini,unatuzuwia sisi tuliopo nyuma kuona.Tumewasili mkuu kuona watesi wanasemaje leo.

Mwanzo wa kesi alikua akienda kizimbani na kiporo cha ubwabwa na maharagwe, wafuasi wake wakamcheka na kumwambia aache njaa kali, kiporo husababisha changamoto za minyoo ndio akaacha,Drinking enough water each day is crucial for many reasons: to regulate body temperature, keep joints lubricated, prevent infections lastly makes him hard as energizer when ***’n with akina Katuga
Mkuu,kwani nini maana ya kazi?We bwege saa ngapi unafanya kazi? Ndiyo uje ulalamike serikali ya CCM imekufanya maskini? We ni hasara kwa mamako na kwa Taifa
😂😂😂Sawa,Basi kaa chini,unatuzuwia sisi tuliopo nyuma kuona.
Mimi sina kundi, hua sipo kabisa kwenye hayo mambo ya siasa mkuu,😂😂😂
Kwanza iambie mahakama we uko kundi gani? La watesi, Wateswaji au we ni refa?
😂😂😂 Wewe bwana wewe! Haya ipo siku yako. Kwanza nilikukamata unachit sijakusemea hadi sasa, itabidi unipe chochote kitu.Labda tuanzishe kundi letu mimi na wewe tu.
mapigwa miti yamechanganyikiwa na bado mpaka maji muite mmahuenda leo akanywa lita 30 za maji, kabla hajaanza kusinzia akiwa kasimama anajieleza kizimbani na kisha kuwaomba poo majaji as last time 🐒
Narrated by SDP Updates PART video 1 :"On 7th april 2025 in the morning i instructed Assistant Inspector of pol8ce - ASP . Michael to Open two diffrent case files. One for the treason and the second for publication of false infirmation. That order complied with. Treason case opened with no.....
; I formed Investigation team and then communicated with DCP Ng'anzi and informed him about opening the treason file and he told me that he add deputy commissioner of police - DCP Amin Mahamba as part of the investigating team.
The National [Tanzanian] Prosecution Act where the offence involve death penalty the director of Public Prosecution - DPP's office must be informed.
The NPS Act provide that the DPP must be informed on the investigation of the offence
Narrated by SDP Updates PART 2 video :“I testified after watching the video clip, I was satsified that the accused formed an intention to overthrow the goverment
the protected witnesses [annonymous] were in deed arrested by the police kwasababu walikuwa wanapanga kufanya fujo na kushawishiana. It is true that upon their arrest they admitted they have been planing to engage in those violence and that they recorded statement in that respect.
These act constituted criminal offences. When they were brought before the Court they admitted the charges.
"The chief investigator deputy commissioner of police - DCP Amin Mahamba was the one who reported to the DPP by the time I opened the file I did not report officially to DPP
Nguza Viking alias Babu Seya case : page 25 a conviction in criminal cases is not based on contradiction of the defence evidence rather on the evidence adduced by the prosecution witnesses. Burden of proof lies on the prosecution side and not on the defence and the standard is beyond reasonable doubt.
Discrepancies from the defence may assist the court to determine the prosecution has proved the case beyond reasonable doubt
comparing the 2 testimonies side by side one could not believe these two Senior Police Officer they were talking about the same case.
“I testified after watching the video clip, I was satsified that the accused formed an intention to overthrow the goverment.
He did not involve or report to any other government authority about the open up of the treason file
Elpsis ........
I did not involve [TISS] Regional Security Officer - RSO of Dar es salaam, Director of Tanzanian Intelligence Security Services TISS or any officer in the investigation.
These act constituted criminal offences. When they were brought before the Court they admitted the charges.
Narrated by SDP Updates : Video part 3 :It is true that upon their arrest they admitted they have been planing to engage in those violence and that they recorded statement in that respect.
Honourable judges , facts are very sturbon things
Tundu Lissu tells the panel of Judges of The High Court of Tanzania during his Final Submisdion that : Prosecution by manipulation of a charge sheet and deliberately omitting core evidence and selectively picks words to escalate a charge to something as severe as treason, it undermines the right to a fair trial.
Kazi nzuri kaka ake!TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 5.
Lissu: Na alipogundua kwamba hili la kutowashirikisha wanasheria ni jambo baya, akala matapishi yake katika ukurasa wa 169, akasema:
PW1: “The Chief Investigator, Amini Mahamba, was the one who communicated to DPP.”
“The DPP and his officers knew because all communication was online.”
Hapa anakula matapishi yake kwamba DPP alikuwa anajua kupitia Amini Mahamba na maafisa wake online.
That is a contradiction, Waheshimiwa Majaji.
Na, in any case, hakuna ushahidi wowote kwamba DPP alijulishwa na Bagyemu au Mahamba.
Waheshimiwa Majaji, jambo la tano ni kwamba PW1 hakuhusisha wala kutoa taarifa kwa mamlaka nyingine ya kiuchunguzi wala ya Serikali kuhusu hilo faili la uhaini.
Waheshimiwa Majaji, sitochoka kuwakumbusheni: faili linalozungumziwa ni la kosa la uhaini, siyo kesi ya wizi wa maembe.
Hakuhusisha wala kushirikisha mamlaka nyingine yoyote ya kiuchunguzi au ya Serikali.
Ushahidi unasema nini? Ukurasa wa 170, Waheshimiwa Majaji.
Jaji Ndunguru: Hii ni hoja ya tano au ya nne? Sisi tunaona ni ya nne.
Lissu: Nafikiri ni ya nne, Waheshimiwa Majaji.
PW1: “Treason is a highly profiled case.”
Anakubali kwamba kesi ya uhaini ni kesi kubwa na inahusu usalama.
Baadaye anasema hajawasiliana na Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Mkoa wala Mkurugenzi wa Usalama na Ujasusi kwa sababu siyo kazi yake.
Kesi inayohusu uhaini, anasema kwamba hajawasiliana na wanaohusika na usalama wa Taifa.
Huo ndiyo ushahidi, Waheshimiwa Majaji, ambao mnatakiwa mtoe hukumu ya kifo.
Hayo niliyoyasema kuhusu ushahidi wa PW1 hayakuwa reclassified.
Hakuna hata mmoja aliyeomba shahidi clarify hii damaging information, ukurasa wa 176.
Wakakubali kila kitu kwamba hakutoa taarifa kwa yeyote, halafu wanategemea Mahakama itoe hukumu ya kifo.
Huo ndiyo ushahidi wa PW1.
Vipi kuhusu ushahidi wa PW16, Amini Mahamba?
Waheshimiwa Majaji, kuhusu ushahidi wa msingi wa PW16:
Ni PW16 kuhusu kumeza hadithi ya PW1; alikubali kula kitu alichoambiwa na PW1.
Kitu cha pili, Waheshimiwa Majaji, nilisema wiki iliyopita juu ya confusion and contradiction.
PW16 anatofautiana kuhusu nani waliokuwa wapelelezi. Lugha inagongana.
Ukurasa wa 460, PW16 anasema hivi kuhusu Investigation Team ilikuwa na:
“SSP George Bagyemu, one officer from Office of DPP Dodoma.”
Maana yake ni kwamba anasema kulikuwa na ofisa kutoka Ofisi ya DPP ambaye hakutajwa jina.
PW1 anasema hakuwa na mwanasheria.
PW16 anasema kulikuwa na mtu kutoka Dodoma.
Kwa muda ambao PW16 anasema palikuwa na mwanasheria kutoka Ofisi ya DPP, ni kama kujaribu kuokoa jahazi.
Ndiyo maana nilipomuuliza, “Ofisa wa DPP anaitwa nani?” akasema hakumbuki, ana jina moja hivi la Kibantu.
Katika ukurasa wa 460, anasema ni kweli George Bagyemu anasema hakukuwa na mwanasheria, lakini Mahakama ikubali ushahidi wangu kwamba palikuwa na mwanasheria.
Sasa, kama Mahakama ikikubali ushahidi wa PW16, maana yake PW1 ni mwongo.
Sasa, ni Mahakama gani itakubali kunyonga kwa ushahidi huu?
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Nyundo 🔨 anazopiga Lissu zinauaTUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

Hello Broo man,Mwanzo wa kesi alikua akienda kizimbani na kiporo cha ubwabwa na maharagwe, wafuasi wake wakamcheka na kumwambia aache njaa kali, kiporo husababisha changamoto za minyoo ndio akaacha,
Baada ya,
heche,amani na brenda kumkaanga na kumsagia kunguni mahakamani, na kuona kabisa kitanzi hiki hapa,
sasa anajikuta ana kiu mbaya sana,
usingizi kama wote,
.Si unajua tena last moments za mja wa Allah akiwa anaelekea ku r.i.p?🐒
Unafikir haelewi?Hello Broo man,
-Unapigania nini ?
-Unapigania akina nani ?
-For what in return ?
Nikuambie kitu, Wewe ni msomi na Smart and deep down you know what ur doing here.
Lakn hauoni unafika mbali kufanya dhihaka kwa mtu anae pambania uhai wake ?. Mtu alipigwa risasi 16, leo hii anatembea kwa kuburuta mguu, Don’t you feel sorry for him ?.
Uhai na maisha ya mtu leo mbele ya unachopambania hauna maana kabisa ?
I don’t know how to express,, lakin jaribu kua na utu acha utani na uhai wa mtu.. So please 🙏🏾.
Kila polisi anatakiwa awe na copy ya PGO na KATIBA ata kwa mfumo wa soft copy/apps kwenye simu. Iwasaidie kufanya reference kwa haraka maana daaah 🤦🏾♂️😁. Wanalivua jeshi lao nguo kabisaTUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 5.
Lissu: Na alipogundua kwamba hili la kutowashirikisha wanasheria ni jambo baya, akala matapishi yake katika ukurasa wa 169, akasema:
PW1: “The Chief Investigator, Amini Mahamba, was the one who communicated to DPP.”
“The DPP and his officers knew because all communication was online.”
Hapa anakula matapishi yake kwamba DPP alikuwa anajua kupitia Amini Mahamba na maafisa wake online.
That is a contradiction, Waheshimiwa Majaji.
Na, in any case, hakuna ushahidi wowote kwamba DPP alijulishwa na Bagyemu au Mahamba.
Waheshimiwa Majaji, jambo la tano ni kwamba PW1 hakuhusisha wala kutoa taarifa kwa mamlaka nyingine ya kiuchunguzi wala ya Serikali kuhusu hilo faili la uhaini.
Waheshimiwa Majaji, sitochoka kuwakumbusheni: faili linalozungumziwa ni la kosa la uhaini, siyo kesi ya wizi wa maembe.
Hakuhusisha wala kushirikisha mamlaka nyingine yoyote ya kiuchunguzi au ya Serikali.
Ushahidi unasema nini? Ukurasa wa 170, Waheshimiwa Majaji.
Jaji Ndunguru: Hii ni hoja ya tano au ya nne? Sisi tunaona ni ya nne.
Lissu: Nafikiri ni ya nne, Waheshimiwa Majaji.
PW1: “Treason is a highly profiled case.”
Anakubali kwamba kesi ya uhaini ni kesi kubwa na inahusu usalama.
Baadaye anasema hajawasiliana na Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Mkoa wala Mkurugenzi wa Usalama na Ujasusi kwa sababu siyo kazi yake.
Kesi inayohusu uhaini, anasema kwamba hajawasiliana na wanaohusika na usalama wa Taifa.
Huo ndiyo ushahidi, Waheshimiwa Majaji, ambao mnatakiwa mtoe hukumu ya kifo.
Hayo niliyoyasema kuhusu ushahidi wa PW1 hayakuwa reclassified.
Hakuna hata mmoja aliyeomba shahidi clarify hii damaging information, ukurasa wa 176.
Wakakubali kila kitu kwamba hakutoa taarifa kwa yeyote, halafu wanategemea Mahakama itoe hukumu ya kifo.
Huo ndiyo ushahidi wa PW1.
Vipi kuhusu ushahidi wa PW16, Amini Mahamba?
Waheshimiwa Majaji, kuhusu ushahidi wa msingi wa PW16:
Ni PW16 kuhusu kumeza hadithi ya PW1; alikubali kula kitu alichoambiwa na PW1.
Kitu cha pili, Waheshimiwa Majaji, nilisema wiki iliyopita juu ya confusion and contradiction.
PW16 anatofautiana kuhusu nani waliokuwa wapelelezi. Lugha inagongana.
Ukurasa wa 460, PW16 anasema hivi kuhusu Investigation Team ilikuwa na:
“SSP George Bagyemu, one officer from Office of DPP Dodoma.”
Maana yake ni kwamba anasema kulikuwa na ofisa kutoka Ofisi ya DPP ambaye hakutajwa jina.
PW1 anasema hakuwa na mwanasheria.
PW16 anasema kulikuwa na mtu kutoka Dodoma.
Kwa muda ambao PW16 anasema palikuwa na mwanasheria kutoka Ofisi ya DPP, ni kama kujaribu kuokoa jahazi.
Ndiyo maana nilipomuuliza, “Ofisa wa DPP anaitwa nani?” akasema hakumbuki, ana jina moja hivi la Kibantu.
Katika ukurasa wa 460, anasema ni kweli George Bagyemu anasema hakukuwa na mwanasheria, lakini Mahakama ikubali ushahidi wangu kwamba palikuwa na mwanasheria.
Sasa, kama Mahakama ikikubali ushahidi wa PW16, maana yake PW1 ni mwongo.
Sasa, ni Mahakama gani itakubali kunyonga kwa ushahidi huu?
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Hello. Kukaa kimya ni busara. Yes atahukumiwa kunyingwa hadi kufa. Tumeshakusikia na tumekubaliana na wewe. Sasa unaweza kukaa kimya ili tufuatilie kesi kwa mtiririko mzuri. Wengine hapa tunataka kujifunza na tunajifunza sio mambo ya ushabiki wa kijinga jinga tu.Mwanzo wa kesi alikua akienda kizimbani na kiporo cha ubwabwa na maharagwe, wafuasi wake wakamcheka na kumwambia aache njaa kali, kiporo husababisha changamoto za minyoo ndio akaacha,
Baada ya,
heche,amani na brenda kumkaanga na kumsagia kunguni mahakamani, na kuona kabisa kitanzi hiki hapa,
sasa anajikuta ana kiu mbaya sana,
usingizi kama wote,
.Si unajua tena last moments za mja wa Allah akiwa anaelekea ku r.i.p?🐒
Case Closed.“Hakumtaarifu RSO wa Dar es Salaam, sikumtaarifu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Ujasusi. Sikumtaarifu Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam. Sikuwataarifu afisa yeyote wa Idara ya Usalama wa Taifa. Sikuijulisha Ikulu, sikuijulisha Ofisi ya Makamu wa Rais, sikuijulisha Ofisi ya Waziri Mkuu.”