Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Waliuwa Askari walioshambulia watu kwa silaha au kwa ukatili mkubwa.
They acted in self defense, you could say.
kwahiyo walivyokuwa wanachoma masanduku ya kura ulitaka wapakwe mafuta?

kati ya vurugu na risasi za moto kipi kilianza?
 
Hata Yesu kristo alionekana Muhaini sembuse Lissu apa Duniani tunapita Ukweli wote wananchi tunaujua Lissu sio Muhaini na mmeshindwa kuthibitisha hoja zenu mahakamani viongozi ndio wamekimbia kabisa mahakamani.
 
kwahiyo walivyokuwa wanachoma masanduku ya kura ulitaka wapakwe mafuta?

kati ya vurugu na risasi za moto kipi kilianza?
Zile vurugu zina adhabu yake. Hutafsiriwa na kutolewa na mahakama siyo cold blood murder.
Not arbitrary murder executions, not extrajudicial killing.
Watu hawakuwa na silaha za moto. Tunao askari polisi waliofundishwa riot control (FFU).
Kwanini wasiwatulize na kuwakamata kisha kuwafungulia kesi?
Basi wangewapa kesi ya uhaini wakawauwe kisheria angalau ndugu wajue nani mkosaji nani siyo.
Maiti yake inazikwa na Jamhuri baada ya kunyongwa deathrow. Siyo arbitrary killing na maiti zingine hazijulikani zilikuwa disposed wapi. Very inhumane, barbaric!
 
unaona rahisi kwasababu umekaa na simu yako hapo unabonyeza tu.

kama ni hivyo kwann askari wanapewa risasi kwann wasipewe kalamu kama makarani?

wewe uliziona hizo maiti au mnaokota mataarifa feki ya cnn

walitulizwa lkn hawakusikia muda huo walikuwa wanaambiwa nendeni msiogope wakati huo maria yuko nje

unasema hawakuwa na silaha za moto watu wanachoma mabasi, sheli, stendi, ofisi unasema hawakuwa na silaha za moto?

hivi ww unaona polisi wajinga sana hukuona nepal na madascar wamewachekea mwisho kilitokea nn
 
kwahiyo walivyokuwa wanachoma masanduku ya kura ulitaka wapakwe mafuta?

kati ya vurugu na risasi za moto kipi kilianza?
Na walivyokuwa wanaingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura ulitaka wapakwe mafuta?Kati ya vurugu na uchaguzi feki kipi kilianza?
 
Na walivyokuwa wanaingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura ulitaka wapakwe mafuta?Kati ya vurugu na uchaguzi feki kipi kilianza?
nyie mlikataa kupiga kura hizo feki zimetoka wapi ikiwa ccm walienda kupiga kura kwa mtu wao, hata ikiwa kulikuwa na kura feki sheria inakwambiaje
 
nyie mlikataa kupiga kura hizo feki zimetoka wapi ikiwa ccm walienda kupiga kura kwa mtu wao, hata ikiwa kulikuwa na kura feki sheria inakwambiaje
Ninyi mlikataa maridhiano halali ya kuwa tume huru ya uchaguzi na mkawazuia chadema na Mpina kushiriki uchaguzi ili ccm mpite kwa kura za kubumba na kutuletea viongozi vilaza wasiokubalika na jamii ya Watanzania mlitegemea nini pumbavu?
 
Hawa jamaa ni wazi kuna chuki hivi dhidi TAL na kuna jambo wanatamani litokee kabisa la kutuumiza wa
"Polisi mpelelezi kumuandikia maelezo mtu anayemuhoji" wanasema mtu eti kwa maana hiyo wao sio watu hakuna sababu kuwahoji..!!
 
Sawa kabisa... Lakini je, Serikali ilithibitisha KUTISHIKA?
 
Lissu anawajua hao PP wanavyofanya kazi zao.
Dhamiri ya ndani kabisa, inanisukuma niamini kwamba, hata hao waendesha mashitaka, baadhi Yao kama siyo wote, hawakubaliani na kesi ya Lissu, "inawezekana wanampenyezea baadhi ya mbinu.
To work under corrupt Government is a heavy burden
 
Yaani hii ni sawasawa na Ile watahini wa MITIHANI wanakwambia... Kuna alama mbili TU zinazotambulika na maana au thamani zake yaani ✔️ au ❌ hakunaga katikati...
Anachotaka kufosi katuga, ndo kama wale Walimu wanaweka tick na kukata mkia wake... Eti hujakosa sana Wala kupata sana..😂😂😂
 
Ninyi mlikataa maridhiano halali ya kuwa tume huru ya uchaguzi na mkawazuia chadema na Mpina kushiriki uchaguzi ili ccm mpite kwa kura za kubumba na kutuletea viongozi vilaza wasiokubalika na jamii ya Watanzania mlitegemea nini pumbavu?
mpina aliwekewa pingamizi na mtu wa chama chake akidai katiba ya chama chao ilikanyagwa unapodai ccm iliwazuia unaongea uongo kwa maslahi ya nani, chadema walikataa wenyewe kushiriki uchaguzi hawakuzuiwa na mtu na uhuru wao wala hawalaumiwi ujinga wa kudhani wao wanasauti pekee nchi hii waache waseme mawazo yao yakipita sawa yasipopita watembee, yani kweli ccm kwa ukubwa wake ihangaike na mpina? hizo porojo kiongozi gani hakubaliki na jamii na umetumia kipimo gani, yani heche na mange ndio jamii unayokusudia? halafu aliyekwambia kiongozi anakubalika na watu wote nani? hii mbinu ya chadema kuwakataa marais walianza kumkataa kikwete awamu ya pili, wakaja kumkataa magufuli hadi bungeni walitoka walikataa kumsikiliza kwahiyo hilo sio jipya ni haki yao kikatiba, kwahiyo wakisema hawamtaki samia ni sawa maana hata samia anaweza kusema hawataki chadema na hamtaki mpina hakuna anayelazimishwa kumpenda mtu sio katika dini wala serikalini, au uliwahi kusikia samia anampenda heche? hivi kweli kwa akili yako unataka chadema waipende ccm ili iwe nn, mbona hilo tunalijua toka zamani.
 
Kwa hiyo, public inapomaanisha watu kwa ujumla, si sawa moja kwa moja na a group of people wala any person.
Cc. Chatgpt.
Hapa tushajua katunga ni mshenzi
Kama public means a person or a group of people hakukuwa na maana ya kutenganisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…