Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #61
umma (people) ya CHADEMA na umma ya Katuga (Public) ni mambo mawili tofauti.kwahiyo mnavyosema nguvu ya umma huwa mnamaanisha watu wote? hii hamchomoki aisee
TuliaJamani huyu mtu wa CCM amepagawa au nini kimemfika huko mahakamani?😳🥹🤯
ok,Wewe ndio huna unachokijua, ukipewa buku 8 ukawekewa bundle kwa tablet bas unahisi umemaliza mwenyewee, full kudemka.
Mxxxiiieeew.
Lengo ni afungiwe kufanya siasa..Hapa katuga analenga nini
Mbona kama anamfanyia Lissu mitigating factor
Dizain fulan wanataka akutwe na hatia then adhabu asipewe ya kunyongwa apewe punishment nyingine
“Public” ina maana pana zaidi ya watu pekee.umma (people) ya CHADEMA na umma ya Katuga (Public) ni mambo mawili tofauti.
| Expression | Meaning |
|---|---|
| Public people | Watu wa umma |
| Public property | Mali ya umma |
| Public service | Huduma ya umma |
| Public information | Taarifa za umma |
| Public meeting | Mkutano wa wazi kwa umma |
| Public interest | Maslahi ya umma |
| Public sector | Sekta ya umma |
Ni kama alijua nia Yao😀😆😃Sasa Jana Lissu alisema Uhaini ni kifo ama kuachiwa huru
😂😂😂 kwa kweli.Nani amnunulie Tablet? Vivo na Infinix za bure kutoka kwa kina Jeetu Patel na Seth.
Kwanza huyo Katuga anachokisema hata mtoto wa 4m 1 hawezi kukubali wala kukielewa. Ni uongo wa wazi kabisaa huu.umma (people) ya CHADEMA na umma ya Katuga (Public) ni mambo mawili tofauti.
Changia kulingana na nilichomjibu mleta hoja.“Public” ina maana pana zaidi ya watu pekee.
Kumbe upande wa serikali shida yao siyo kumnyonga Lisu bali wanataka Lisu afungwe jela miaka kdhaa wao wamalizie mambo yao uraiani.SEHEMU YA 5.
Nassoro Katuga anaendelea:
Kazi ya hati ya mashitaka ni kutoa reasonable information.
Kutoa taarifa kosa gani limepatikana, kosa gani kalitenda.
Sentensi hizi zimekamilika; hazihitaji ku-clarify ili kuleta maana.
Waheshimiwa Majaji, kwa kuelekeza kwa kirefu sana kwa sababu ni shitaka kubwa, naomba niguse kidogo kwenye adhabu.
Waheshimiwa Majaji, kifungu hiki cha 39(2)(d) kinasema mshtakiwa akikutwa na hatia basi atakuwa “liable”.
Underline neno “shall be liable”, if not to bold.
Inamaanisha adhabu katika shitaka hili ni kuanzia sifuri (condition) up to death penalty.
Neno “shall be liable”, ambalo linaipa Mahakama hii discretion, siyo maneno yangu. Naomba niwape:
Bahati John vs Jamhuri, Criminal Appeal No. 114 ya mwaka 2019, TanzLII 2022, katika ukurasa wa sita.
Mahakama ya Rufaa ilirejea kesi ya Opoya vs Uganda (1967) 752, Court of Appeal for East Africa.
Ilisema kwamba “they are not mandatory but provide the sentence...”
Inamaanisha Mahakama, kwa utashi wake, inaweza ku-impose penalty.
Kwa maana nyingine ya kisheria, haipo under maximum.
Inaipa Mahakama yetu utashi wa hukumu in case kuna hatia.
Siyo tu kwenye hiyo case, bali kuna Sentence Guidelines za CJ za mwaka 2023.
Maneno yanamaanisha Mahakama kuwa na utashi.
Aya ya kwanza, aya ndogo ya 6(1).
Hii Guidelines imeelezea maneno gani yakitumika kwenye sheria, Mahakama inapewa discretion ya kutoa adhabu.
Na neno “liable” ni moja wapo ya maneno ambayo yanatoa discretion kwa Mahakama.
Naomba sasa twende kwenye hoja ya msingi — jukumu la Jamhuri ambalo tunaambiwa ni kuthibitisha.
Waheshimiwa Majaji, tupo aware kwamba jukumu hili kwa Jamhuri tumepewa katika kifungu cha 3(2) cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6, Urekebu wa 2023.
Kwa kuanza, Waheshimiwa Majaji, kwa tafsiri ya kifungu cha 39(2)(d) na kwa ushahidi uliotolewa,
it’s our submission kwamba jukumu la kuthibitisha kwa mujibu wa kifungu cha 3(2)(a) limetimilishwa.
Lakini pia, mbali na upande wa Jamhuri kuthibitisha, tunajua ni sheria kuzingatia ushahidi wa defence wakati wanaamua.
Waheshimiwa, mtaona upande wa utetezi hawajauteteresha hata kidogo, zaidi ya “sijui”, “sikumbuki” kuwa nyingi.
Waheshimiwa Majaji, kifungu ambacho tumekirejea cha 3(2)(a) kinataka kuthibitisha beyond reasonable doubt.
Waheshimiwa, ku-prove beyond reasonable doubt haimaanishi kuthibitisha pasipo kuacha kivuli.
Hiyo siyo tafsiri sahihi ya kifungu cha 3.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Cha muhimu elimu nimekupatiaChangia kulingana na nilichomjibu mleta hoja.
Inawezekana... Ila Kuna watu walimfuata huko Ukonga usiku na kumpa option...Ni kama alijua nia Yao😀😆😃
Mashahidi kusema sikumbuki,sijui inategemea umewauliza nini na swali lako linalenga kitu gani.Anataka pia kupendekeza vijiadhabu vidogo vidogo ili tu kumuondolea TAL credibility kwenye kugombea madaraka ya umma. Yeye alishasema hakuna hiyo! Ni ama umnyonge au umuachie huru. Katuga asilete Ukatuga (Ukilaza) wake kuturubuni hapa
Mashahidi wa utetezi huwezi kuwateteresha hata kidogo sio jukumu lao hilo ni jukumu lako kuwateteresha, Lisu alifanya kazi yake ya kuwateteresha mashahidi wa serikali ndo maana wakawa na ndimi mbili.SEHEMU YA 5.
Nassoro Katuga anaendelea:
Kazi ya hati ya mashitaka ni kutoa reasonable information.
Kutoa taarifa kosa gani limepatikana, kosa gani kalitenda.
Sentensi hizi zimekamilika; hazihitaji ku-clarify ili kuleta maana.
Waheshimiwa Majaji, kwa kuelekeza kwa kirefu sana kwa sababu ni shitaka kubwa, naomba niguse kidogo kwenye adhabu.
Waheshimiwa Majaji, kifungu hiki cha 39(2)(d) kinasema mshtakiwa akikutwa na hatia basi atakuwa “liable”.
Underline neno “shall be liable”, if not to bold.
Inamaanisha adhabu katika shitaka hili ni kuanzia sifuri (condition) up to death penalty.
Neno “shall be liable”, ambalo linaipa Mahakama hii discretion, siyo maneno yangu. Naomba niwape:
Bahati John vs Jamhuri, Criminal Appeal No. 114 ya mwaka 2019, TanzLII 2022, katika ukurasa wa sita.
Mahakama ya Rufaa ilirejea kesi ya Opoya vs Uganda (1967) 752, Court of Appeal for East Africa.
Ilisema kwamba “they are not mandatory but provide the sentence...”
Inamaanisha Mahakama, kwa utashi wake, inaweza ku-impose penalty.
Kwa maana nyingine ya kisheria, haipo under maximum.
Inaipa Mahakama yetu utashi wa hukumu in case kuna hatia.
Siyo tu kwenye hiyo case, bali kuna Sentence Guidelines za CJ za mwaka 2023.
Maneno yanamaanisha Mahakama kuwa na utashi.
Aya ya kwanza, aya ndogo ya 6(1).
Hii Guidelines imeelezea maneno gani yakitumika kwenye sheria, Mahakama inapewa discretion ya kutoa adhabu.
Na neno “liable” ni moja wapo ya maneno ambayo yanatoa discretion kwa Mahakama.
Naomba sasa twende kwenye hoja ya msingi — jukumu la Jamhuri ambalo tunaambiwa ni kuthibitisha.
Waheshimiwa Majaji, tupo aware kwamba jukumu hili kwa Jamhuri tumepewa katika kifungu cha 3(2) cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6, Urekebu wa 2023.
Kwa kuanza, Waheshimiwa Majaji, kwa tafsiri ya kifungu cha 39(2)(d) na kwa ushahidi uliotolewa,
it’s our submission kwamba jukumu la kuthibitisha kwa mujibu wa kifungu cha 3(2)(a) limetimilishwa.
Lakini pia, mbali na upande wa Jamhuri kuthibitisha, tunajua ni sheria kuzingatia ushahidi wa defence wakati wanaamua.
Waheshimiwa, mtaona upande wa utetezi hawajauteteresha hata kidogo, zaidi ya “sijui”, “sikumbuki” kuwa nyingi.
Waheshimiwa Majaji, kifungu ambacho tumekirejea cha 3(2)(a) kinataka kuthibitisha beyond reasonable doubt.
Waheshimiwa, ku-prove beyond reasonable doubt haimaanishi kuthibitisha pasipo kuacha kivuli.
Hiyo siyo tafsiri sahihi ya kifungu cha 3.
Ya kula majongoo kama wachina?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Cha muhimu elimu nimekupatia
AmenHawa Mawakili wa Selikali hamnazo kabisa.
Ndio maana
1.wanaingia Mikataba ya Hovyo.
2.lKila Kesi wanashindwa mahakamani.
3.Wanabambikia watu kesi za uongo.
NA WALAANIWE VIONGOZI WA NCHI WASIOTENDA HAKI WANAONEA WATU WAKE.
Yaani anaiachia mahakama badala yeye aliyetumwa na CCM kuthibitisha hayo makosa mbele ya mahakama? Ama kweli hawa majaji wa CCM wanabebeshwa mzigo mzito sana!Kwa ridhaa yenu, tunaiomba Mahakama yenu ijiulize maswali yafuatayo:
1. Kwa mujibu wa mashitaka haya, iangalie kama Mshtakiwa ana utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2. Tunaiomba Mahakama hii ijiulize kama Mshtakiwa alitengeneza nia kwa ajili ya kuitishia Jamhuri.
3. Tunaomba Mahakama yenu ijiulize kama Mshtakiwa alidhihirisha nia yake ya kuitishia Serikali kwa kutoa na kusambaza maneno.
Haya ndiyo tunaomba Mahakama ijiulize.
Hakuna lesser offence kwenye uhainLengo ni afungiwe kufanya siasa..
Sasa Jana Lissu alisema Uhaini ni kifo ama kuachiwa huru
Vyovyote muhimu elimu imesambaa kwa ummaYa kula majongoo kama wachina?