Hana tuhumu yoyote ni katika kuboresha safu mpya chini ya Waziri mpya. Tatizo la umeme kwa nchi yetu lina mjadala mrefu sana sio la kiuongozi wa Taasisi bali ni kimfumo wa kiserikali.

Jiulize leo yale maneno kuhusu gesi ya Mtwara yameishia wapi. Ukikua utaelewa
 
Tulisema ni vigumu shamba boy (Dotto) Naibu Waziri Mkuu akae na Mtoto wa Mjini (Maharage). Ilikuwa lazima mmoja apishe na Kwa mazingira ya Sasa , Mtoto wa Mjini alikuwa lazimaa aende. TAIFA linapangwa upya
Kabisa mzee Niliona hakuna Chemistry ila tunaimani kubwa na Dotto pamoja na huo Ushamba boy ila atafanya kitu Nishati Apo
 
Niko paleee Nasubiria umeme uwake View attachment 2759152
Huyu ana akili kweli hapa?

Matatizo yote duniani na kwa hiyo yote hapa nchini kwetu yanasababishwa na watu wasio na akili, maarifa wala ufahamu wa nini kinachotakiwa kufanywa iwapo litatokea hili au lile...

Na hapa ninaposema watu, basically ninamaanisha wale wenye dhamana ya mamlaka na maamuzi (yaani viongozi) kwa manufaa ya jamii au umma wote kwa ujumla wake..

Mtu anaweza kusingizia kuwa tatizo la umeme hapa nchini ni kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa na hivyo kuleta upungufu wa mvua and consequently kupungua kwa maji ktk mabwawa ya kuzalisha umeme..

Ni sawa kabisa.

Na pengine ukiisikia hiyo kwenye masikio yako, inaonekana ni kama sababu ya kweli vile. Lakini the truth is not, bali tatizo ni la kiuongozi..!!

Kwa sababu kama mtu ni kiongozi mwenye dhamana ya sekta fulani ama nchi kwa ujumla wake na una kila aina ya rasrimali za kukufanya utekeleze majukumu yako ni kwanini usifikiri kuwa hilo linaweza kutokea na ukawa na njia mbadala..?

Majibu ya maswali haya yote ni rahisi tu, kuwa, tuna viongozi maboya, wabinafsi na wanaofikiri kuiba kwa ajili ya matumbo yao na watoto wao..!

Kwa hiyo wao ndio tatizo na kamwe tatizo sio uhaba wa umeme au maji...!!
 
Kikeke akienda magogoni asijichanganye kwenye siasa ataharibu.
 
Ukweli ni huu,lakini wañaukwepa:
1.Wanasiasa kwa kushirikiana na wafanyabiashara wanaumiza shirika.
2.Mikataba mibovu iliyoshinikizwa kwa maelekezo ya wanasiasa inainyonya shirika.
3.Kuwepo makampuni yanayouza umeme wa jenereta kwa Tanesco ni mtihani ambao haujapatiwa majibu mpaka leo!
4.Mahitaji ya umeme yanajulikana iweje upungufu usifanyiwe kazi mapema kuondoa adha ya mgao wa umeme.
5.Miradi ya uzalishaji umeme isiyoisha,ni njama ya kufanikisha biashara wauzaji umeme wa dhatura wamajenereta kwa Tanesco.
6.Mkakati wa kubaini hujuma,kukabiliana na upungufu unaosemwa kila siku upo wapi?
 
Wewe ulitaka kelele moja tu amtoe ? ulitaka ukipiga kelele tu asijiridhishe kwa namna yake?, kama ulitaka Rais wa kukurupuka kwa namna hiyo basi vuta subira …sio Samia Suluhu Hassan

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kelele za miaka 2 ni kukurupuka?
 
Haaaaa. Afadhali wapigaji waanza kupunguzwa. Ila Maharagande na Makamba wanastahihi kufungwa
Sasa mbona wamehamishwa badala ya kufutwa kazi mazima, kwamba Rais kahamisha matatizo kuyatoa Nishati kuyapeleka Mambo ya Nje na TTCL?!.
Hivi nchi yetu imekosa watu smart kabisa hadi kung'ang'ania hao hao walioshindwa?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…