Eti aipuliwe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahahahaha

Ogopa sana Fitna za kazini!

wakikupania kukung'oa lazima ung'oke

Hata vyuoni wahadhiri wakizidi ujuaji na unoko lazima watengenezwe waathirika feki wa unyanyasaji wa kijinsia

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio ๐Ÿ˜•
 
Ushahidi wa hizi tuhuma unaweza kuuweka hadharani?, au ni mwendo ule ule wa watanzania wa kupenda kuchukia watu bila ya sababu za msingi?.
 
Hahahahaha

Ogopa sana Fitna za kazini!

wakikupania kukung'oa lazima ung'oke

Hata vyuoni wahadhiri wakizidi ujuaji na unoko lazima watengenezwe waathirika feki wa unyanyasaji wa kijinsia

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Tanzania imejaa watu wana roho mbaya sana, Wanao uwezo mkubwa wa kubuni hadithi kutoka vichwani mwao na kutengeneza sinema nzima yenye kujaa chuki!.

Hapo wanaowachukia kina Makamba unaweza kukuta ni jamaa zake Kalemani wanaosumbuliwa na hasira baada ya kutolewa pale wizarani mapema sana.
 
Mimi kwa hakika nakumbuka. Hata Prof.Issa Shviji hakukubaliana na Bodi.
 
Dk Abbas na Msigwa nawakubali sana kwenye tasinia ya usemaji wa Serikali.Walikuwa wanakosha sana.
 
Bora hata ungesemea P kuliko Mwashamba wa shamba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi kwa hakika nakumbuka. Hata Prof.Issa Shviji hakukubaliana na Bodi.
Watu waliongea wakaonekana wanawaonea wivu sasa miaka miwili na nusu imepita tumeshuhudia failure ya hali ya juu mpaka imepelekea Mkurugenzi na Mwenyekiti wa bodi kutolewa.

Tatizo waliingia kimajungu haiwezekani uingie sehemu ubadilishe uongozi wote na bodi uvunje mwisho wa siku utakwama tu na ndio mana januari kafeli kakimbizwa huku nchi ikiwa gizani
 
Maharage hana uzoefu wowote na masuala ya Nishati. Maharage amebobea kwenye Telecommunications
Naafiki na mtazamo wako, hatahivyo, tukubaliane, kwamba Cheo alichokua nacho ilikuwa ni ile ya usimamizi wa Juu kabisa na majukumu yake ni tafauti kabisa na majukumu ya Lets say Mhandisi ambayo yanaweza kuhitaji kuwa na Uzoefu. Ni vizuri kuwa na uzoefu, lakini sio lazima, kwani huwa hashiki nyaya za umeme per se.

Yaliyotokea, uhamisho wake, ni dhahiri sio suala la kutokuwa na uwezo, au ukosefu wa ufanisi au kutofuata mahitaji ya mamlaka yake aliyopewa. Yaani His Mandates ambayo Naamini, yalikuwa ya kimkakati. Vilevile naamini Bodi ya Uongozi lazima walikuwa wakifuatilia, Je mahitaji yaliyowekwa yametimizwa? Kumbuka katika haya mazoezi ya kukatika umeme na mengine mengi yaliyotokea, huwa kuna Data sets, zinakusanywa na kufanyiwa tathmini, hii ni pamoja na makelele yetu huku mitandaoni n.k basically public feedback n.k

je ni maboresho gani yanaweza kuongeza thamani au kushusha kama ambavyo naona ndio kinachofanyika TANESCO?
..... Sasa ikiwa viashiria vilivyofafanuliwa vinaonyesha ufanisi wa mfumo, basi TANESCO inaweza kuwa imeiva kupanguliwa panguliwa na hatimaye kuuzwa au kuingia ubia na private sector. Sasa nikirudi kwenye siasa, ni kugawiwa kwenda kwa Wajomba! Ni Ufisdai ni Hujuma. Lakini kimkakati katika Shirika, inawezekana wamefika walipotaka kufika.
 
Walimuona chuma JPM chizi sasa wanarudi kwenye ramani zake. Mwenyekiti bodi ya Tanesco kapelekwa Meja Jenerali! Hii nchi ukichekacheka utashtuka hata wewe umeuzwa.
Kweli kabisa mkuu,
Shirika Kama tanesco linahitaji enforcement na sio kubembelezana.

Kalemani isingekua ukanda na ujiwe mwingin, aliimudu Sana tanesco[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Amepelekwa kwenye fan yake..... Utajuwa hujuwi....๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค
 
Mtwara moshi sijui mweusi au mweupe umewapitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ