Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

Waziri Tax kajibu vizuri maswali yote aliyoulizwa na yuko sahihi kukatisha mahojiano ya kijinga yaliyojaa tuhuma. Diplomasia ya uongo uongo na unafiki wapi na wapi bwana!.....Big up Stergomena Tax! 👍 👍 👍 👍
 
Hili linahitaji uzoefu kiongozi....sio kila mtu anamudu.

Unakumbuka mahojiano ya Ben..Mkapa (Rip) kule Bbc hard talk, enzi hizo akiwa Rais (top diplomat) ?
Na juzi juzi Paul Kagame
 
asisahau kuwa alianza kazi kama secretary
Mkuu njinjo, unless kama ni yeye mwenyewe ameweka kwenye CV yake vinginevyo huku ni kuingilia the right to privacy za watu!.
Mimi kuna Mhe. Mbunge mmoja mdada na RC mmoja, enzi za ujana walijihusisha na ile biashara na mimi nilikuwa mteja wao, sasa ni waheshimiwa sithubutu kusema walianzia wapi, vitu vingine kama wenyewe hawakasema usiviseme!.
P
 
I think she handled herself well, these reporters know our stand on the issue, but they just like to stick it to us. The minister was basically telling her to keep that energy away.
 

Huyo mbunge viti maalum?kaskazini au Dar au Tabora??
 
Hata angemuuliza hadi asubuhi? We unaweza katisha kazi zako ukahojiana na mtu for the whole day?

Ingekua kwenye kipindi maalum tungekubali lakini si kwa mkurupuko kama huo.
Angesema kwa sasa inatosha, nina majukumu mengine, karibu tena wakati mwingine. Asante sana.
 
Mimi nimeangalia conlusion ya maongezi, na madiplomat huwa hawamalizi kwa namna hiyo kwa kuzingatia hadhira ni dunia nzima.
Mimi pia nimepitia masuala haya ya diplomasia hivyo hata mtu akitumia lugha gani kuna namna ya kuendeleza mazungumzo.
Hivi huonagi hao madiplomasia wanavyo walk out kwenye UNGA pale anapokuja kuongea mtu wasiye mpenda?
 
Nadhan Mhe. Tax ni mzoefu sana kwenye platforms za kimataifa. Atakuwa alinusa maswali yanayofuaya... Kama Upunga..akaamua kukwit
Teyari msimamo wa Tanzania kuhusu hii agenda uko wazi. Kwanza ilikuwa kwa mama mwenyewe, kuna siku alisema, (na-paraphrase) 'siyo yote ya ulaya ya kuiga, haya kama suti tunavaa tunapendeza sawa, yale mengine tuyaache'.

Akaja Makamu naye akasema yake majuzi, akaibuka Mwakwembe naye akaongea. Sasa huyu waziri akaona asichoshwe na mambo ya kijinga.
 
Siyo lazima diplomat awe mnafiki, hiyo ni hulka tuu ya mtu. Moja ya top diplomat duniani ni Sergey Lavrov (FM wa Urusi toka 2004), huyu huwa harembi. Mwingine ni Subrahmanyam Jaishankar wa India, huyu amekuwa diplomat toka 1977, yeye hana kabisa tabia za JK za kinafiki anakupa za chembe bila kupepesa macho.
 
I think she handled herself well, these reporters know our stand on the issue, but they just like to stick it to us. The minister was basically telling her to keep that energy away.
Remember she is a chief diplomat
 
Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:

View attachment 2571442

Ama kwa hakika shughuli ipo.

Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.

Ya CAG nani hajayasikia?
Hawa ndio wanawake walio pewa nchi!!!!
Wamasai wana akili sana kutokulitambua hili kundi kukataa kulikabidhi hata familia
 
Absolutely, and as a top diplomat she thanked the reporter and ended a conversation with no hard feelings.
She didn't end conversations, she cut the interviewer on air.. that's reprehensible.
 
Hivi huonagi hao madiplomasia wanavyo walk out kwenye UNGA pale anapokuja kuongea mtu wasiye mpenda?
Zile walkouts ni katika vikao vya UN hivyo Korea Kaskazini au Russia balozi akitoka ile ni protest.

Hapa twazungumzia interview na mwandishi wa habari kupitia simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…