Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

Itoshe kusema wewe Ni mjinga
 
Pesa mumemlipa? Sio kupayuka tuu kampuni iko hapo kufanya biashara sio kutoa Huduma.
 
Hawa washukuru Mungu Magufuli hayupo Angekuwepo Asingengekuwepo Maharage wala choroko.

Mama Wameshamjua udhaifu wake hivyo hawana cha kupoteza.

Magufuli Alitengeneza njia nzuri sana ya kujenga nidhamu ya kazi na sio kuleta mazoea kwenye utendaji.

Mama Akapuuza badala Angekazia pale pale kwenye kufurusha wazembe kazini.

Nature ya watanzania punda Aendi bila mjeledi. Sasa matunda ya kuchekeana na kubembelezana kazini ndio ugonjwa unao itafuna Awamu 6

Na Mama akizidi kuzubaa Atavuna Alichopanda maana huku mtaani watu Hawamuelewi kabisa.
 
Magufuli angeleta mvua? Mbona kipindi chake kwa Dar Mbezi na Kimara umeme ulikuwa unakatika sana? ilikuwaje?
 
Tupe ushahidi kuwa gharama za kuzalisha umeme ziko chini kuliko gharama za kuuza umeme. Acha kubwabwaja
Si ukasikilize na wewe alichoropoka kipindi chote kipo ITV social media uone huyo mkurugenzi wako alivyo kilaza ni maneno yake wanauza unit 33% less ya production costs.

Mie sijapata kuona mtu wa ovyo kama yule jamaa miezi michache nyuma wakati wanazima generator Kigoma walisema inawagharimu tsh 22.4 billion kwa mwaka kununua diesel, jana gharama zimebadilika kuwa tsh 6 billion kwa mwezi, worst yeye na timu yake hawajui hizo hela ni sawa tsh 200 kwa siku wanasema ni tsh 36 millioni kwa siku.

Kama alivyosema mwenyewe njia ya mtu muongo ni fupi. Hapo hapo anadai ya kuwa sio tu umeme wanauza chini ya production cost, bali ata meter gharama zake ni laki saba wao wanatoa kwa nusu bei na vijijini karibu bure.

Sasa jiulize kama umeme unapata hasara on unit cost, meter unatoa below buying price, serikali aikupi ruzuku; halafu unadai unapata faida, unajiuliza hiyo faida inatokana na income gani sasa.

Sijawahi kuona management ya watu wajinga kama wale jamaa TANESCO ni aibu tupu.
 
Hayo mambo unayo ulizia sio size yako, energy mix sio kukariri tu priority zake. Na hata kwenye kuchagua priority ya kwanza ni reliable sources and sustainability ya umeme wa uhakika kwanza kabla ya kufikiria vyanzo vya upuuzi.

Ni hivi hayo mambo strategies ni technical sio kujiropokea na uwezi kuiga wanachofanya wazungu na waafrica kuiga ni ujinga.

Sasa kukuelezea kila kitu how people reason inabidi uanze kuelewa Kyoto protocol inaruhusiwa kufanya nini kama third world country na kwanini ni upuuzi kuacha kutumia hizo fursa kama lengo ni sustainable energy supply kabla ya kukimbilia upuuzi wa renewable sources.
 
Uchambuzi bora wa siku, thanks a lot
 
Magufuli angeleta mvua? Mbona kipindi chake kwa Dar Mbezi na Kimara umeme ulikuwa unakatika sana? ilikuwaje?
Jifichieni kwenye hoja dhaifu,kipara kasingizia kila aina ya sababu na kaferi pakubwa,kubalini hamuwezi,mmeshindwa kumprove wrong hayati Magufuli
 
Watuachie Tanesco Yetu..., Badala ya Serikali liwe kweli Shirika la UMMA na sio KIbubu cha Serikali

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…