Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

Mahusiano yana possibility kubwa ya kukurudisha nyuma kuliko faida twakimu zenyewe zinaonesha n maafa meng yamesababishwa na mahusiano case study yangu ni (Arusha, njombe, I think mbeya, mwanza, Daslam) haya maeneo yenye kesi maarufu za kimasuhiano
 
Swala la Hamna 50 kwa 50 limenirudisha myama kimaendeleo. Et kwamba mshahara wa mwanamke n wake sio wa familia. Na anapokea 1.2M mimi 800K

Mwenye connection ya mshangazi yeyte mwenye Pesa anipe fursa. CV na makaratasi yangu yapo vizuri😂
 
Naulizia kwenu wana JF hali kwenu ipoje kuhusu hii kauli ya Ukiingia kwenye ndoa milango ya baraka hufunguka.
Mimi haijafunguka huu mwaka wa 10
Ila tangu nijiingize kwa mishangazi sijakosea kabisa mambo yamejipa
 
Swala la Hamna 50 kwa 50 limenirudisha myama kimaendeleo. Et kwamba mshahara wa mwanamke n wake sio wa familia. Na anapokea 1.2M mimi 800K

Mwenye connection ya mshangazi yeyte mwenye Pesa anipe fursa. CV na makaratasi yangu yapo vizuri😂
Rejea wimbo wa msondo ngoma hajali(ukizaliwa mwanaume we ujue Kila kitu kwako itakua ni tabu)
 
Atakae ona Tangazo la ajira kua Mshangazi unatafta serengeti Boys anishitue. Vijana wasihangaike kwenye mahusiano😂
 
Namshukuru sana Mungu kwa kunipatia mke mwema na sahihi kabisa 100%
FAIDA
1)NDOA-ndoa takatifu
2)TENDO LA NDOA na kuacha dhambi ya zinaa,mana bila kufunga ndoa mkiwa pamoja kinyumba huo ni uzinzi.
Hata ukisali sala inakuwa ina swihi.
3)HESHIMA-mana ambao hawajaoa wanaitwa WAHUNI
4)UCHUMI umepanda kutoka chini sana mpaka sasa angalau si haba ,Mungu tunamshukuru
5)FAMILIA -neema ya kupata watoto ambao tunaishi nao pamoja na kuwalea pamoja,sio single father au single mother .
6)AMANI /UTULIVU nyumbani na familia,
Hizi ni chache tu baadhi na kwa kifupi
 
Pongezi kwako, wapo wengine wanalia mpaka leo, wamezurumiwa mpaka watoto.
Ni uzezeta wao tu, ukidhurumiwa watoto unazaa wengine, ukiachana na mwanamke sababu hamuelewani unaoa mwingine na maisha yanaendelea

KIKUBWA uzima, kama nipo hai basi bado naweza kufanya chochote nipendacho

Hakuna mipaka
 
In life we either win or learn... You learned so it's OK.
Na naamini you are now better than before... Much love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…