Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Bora umetupatia somo
Hope wamekusikia
Aliyewatia somo mwenyewe kashatoa boko hapo juu anapanda mabasi mabovu ya kuharibika njian kufika usiku wa manane.Af analala gest badala ya Hotel 😂😂😂
 
Wanawake wa hivi hawapo. Haya ndiyo mapenzi. Mapenzi maana yake ni upendo wa kushare hisia na vitu.
Unakuwa na mwanamke ambaye hawezi kukusupport hata kimawazo tu. mkikutana yeye anawaza atakavyokupiga mzinga.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha aling'ang'ana kwenda kwaya me nkamwambia asiende namhitaj mda huo. Nlijua kabisa ataenda ...aliporudi akakutana na kibuti saaafii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mbona ni kama ulikuwa unamtafutia sababu ya kibuti Naka?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Si mseme mnauza ili tujue moja.
Nimekutongoza umekubali, ndani ya saa 1 unaanza kuniambia umeme umeisha, gesi sijui unadaiwa n.k
Huwa inakata stimu sana. Utakuta mwanamke anakuomba 50K unamwambia hauna anakasirika wakati yeye hana hiyo hela.
[emoji23][emoji23][emoji23] poleni
 
800k? Hatari mno. Wewe ulipotoa ile 20k ya umeme akaona yes nshapata pa kuchota hela.
 
kama una hela ukiombwa laki n ammekutana leo unatumaa tuu
Utatuma mara moja tu. Raha ya kumtumia hela mwanamke ni na wewe uwe na uwezo wa kumtumia. Kwamba unaweza ukamwambia njoo muda wowote akaja ukamla. Sasa mie niko Dar mwanamke yuko Singida eti niwe natuma hela si ufala huo. Bora niwe nimezaa naye hapo sawa.
 
🤣 ila wanaume na hiyo kauli yenu ya sitofanya kitu kabisa huwa inaniacha hoi
Warembo mnapenda kudanganywa bwana sijui ni kwanini. yaani mwanaume ukiwa mkweli basi jiandae kungoja sana hata mwaka unaweza ukawa umewekwa kwenye foleni tu unaabiwa unafikiriwa ombi lako.

Kumla mwanamke papo kwa papo ni lazima umdanganye. kama Nyoka alivyofanya kwa Eva pale Eden.
 
Usiku mmoja
Nilitongozwa nkatumiwa kanyimbo ka dedication
Usiku huo huo akaniombe kesho niende kwake akanigegede
Bado sijamjibu namtafutia jibu kenge yule…
 
Nimi hàta dakika haikusha maana aliniuliza kama nimesajili laini kwa alama za vidole nikaona yaisha alijuwa anaitwa sikudhani 🤣🤣🤣🤣
 
Walaaa nilimkataza kwakua nilitaka kumuacha... yalikuwa mahusiano ya kikanisa tunda mpaka ndoa...
Ni kama wewe mwanamke akwambie usiende kazini bika sababu ya msingi.
Mm nilidhani wanawake Wote mnapenda wanaume ambao kwenye mahusiano hawataki sex hadi ndoa, kumbe Nakadori
 
Nilishawahi kuwa kwenye mahusiano, sijui yana husiana na nini.

STAMINA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…