Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Mimi yalikua ya week 2 na msambaa mmoja wa Tegeta iyo siku nimetoka kumnyandua narud zangu mabibo niko kwny traffic ya mwenge akaanza kupga simu kipuuz me nikamwambia hiz calls hata ziwe nyingi vip haziwez kuungana kuwa wimbo tulia,ndo km tukakaushiana mazma, alikua mtamu sana anarotate kila upande,iyo cku nimempga akaona simwagi ikabid aanze blow job nikammwagia mdomoni nyieeee Tanga mapenz yapo sio hadithi za kusadikika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ah qu####ke[emoji1787]
 
juzi tu nimeomba namba nkapewa tukachat kidogo akasema my gas imeishaa hapa yani hata sielewi nafanyajee.... na mimi msg zikaishaaa ghafla na simu sikupokea tenaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hahahaaaaa!!! umesema gas imeisha na sijui nafanyaje hapa, umenikukumbusha kitu, hivi kwanini wadada wengi gas huwa inaisha na siku zao za kuzaliwa zinakuwa jmosi ijayo pale tu mkianza mahusiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nakumbuka kuna mdada mahusiano yetu yalidumu kwa dakika tatu tu tukaachana maana nilivyomwambia tu kwamba namtaka hapo hapo akaanza invoice nyingi mara anadaiwa kodi, simu yake mbovu, anataka elfu hamsini akasuke, nk.
Muda huo huo nilifuta namba yake nikapita hivi
 
Hatari sana, eti mume wangu then ulete chips na mishikaki bila kusahau soda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wiki Mbona ndefu Sana,

Niliwai kua na mahusiano na binti mmoja ndani ya usiku mmoja tu wa party ya harusi (saa 3 usiku mpk saa 7 usiku).

Kesho yake asbh saa 4 tunakusanya maturubai, yakafa rasmi
Heee πŸ˜‚ mlizinguana ama ndio makubaliano yenu yalivyokua?
 
Hahahah
 
Tumekutana kazini kwake
nikakasemesha kakasemeka, jioni nikaombwa zawadi nikapeleka,kesho nikuombwa bando nikaunga kesho nikaombwa 50,000 isiyo hata na maelezo.
Nikaona hapa kuna hesabu za kuzidisha tu nikatulia.
Hivi wanawake wanaomba omba at the beginning huwa wanafikiria nini ambacho wengine hatukijui labda??
 
yani gas ikiisha si unanunua mkaaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ fala mmoja tu nkamfutilia mbali kimuonekano nlijua anajielewaaa kumbe utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…