Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

Halafu nilikua nikimwambia sina hela au ntakuchangia kidogo ana mind kishenzi ananuna siku nzima
 
Mama ulimchukua bila kupepesa macho?
Nilimchunguza miaka mitatu ambapo miwili kati ya hiyo nilikuwa namfuatilia pasipo yeye mwenyewe kujua, mwaka mmoja nilimfuatilia akiwa tumeshafahamiana.

Lakini kubwa zaidi nilianza kwanza kumfuatilia na kumchunguza mama yake mzazi (baba yake nilikuwa namfahamu vizuri).

Tabia za binti kwa kiasi kikubwa sana hulandana na za yule aliyemlea na kumkuza, yaweza kuwa ni mama yake au ndugu yake.

Yote kwa yote ili ndoa iweze kudumu ni sharti mke amuamini, kumheshimh na kumtii mumewe, wakati huo mume amsikilize mkewe
 
Aisee hongera myaka mitatu mtoto anazaliwa na anatembe kabisa
Hongera sana
Yote kwa yote ili ndoa iweze kudumu ni sharti mke amuamini, kumheshimh na kumtii mumewe, wakati huo mume amsikilize mkewe
MashaAllah 🤗
 
Hii mia kwa mia Mkuu. Umenena ukweli mtupu na nimeshaandika sana humu. Mwanamke akilelewa na Mama yake peke yake hutaka kuleta zile tabia za Mama yake kwenye mahusiano yake pia. Na kuna vitu lazima atavirithi labda Mama aliolewa akaachika na akalelewa na Mama tu na Yeye I lazima hii atacopy tu. Mwepesi kukuvulia nguo halafu anakuwa ana sheria zake ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…