Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

Ndugu mdau umefafanua vyema sana na umegusia maeneo mbali mbali kwenye hii mada iliyopo mezani asante sana kwa maoni mazuri na karibu tena🐒
 
Hii ndio kusema ukweli na uhakika
Hongera sana ni wachache wanaweza hivyo

Watoto wengi hasa wa kike wanapata mimba za utotoni ,pamoja na sababu nyinginezo lakini sababu kuu ni wazazi kutozungumza na watoto wao.

Mtoto anajikuta tu Kila kitu kimebadilika katika mwili wake na haelewi chochote zaidi ya aibu matokeo yake akiparamiwa tu na manyang'au maisha yake yoote yanabadilikia hapo hapo.

Mabinti zangu nishawaambia ukikubali kuparamiwa na manyang'au huko ukatumdikwa mimba utajijua mwenyewe na maisha yako.

Kadhalika kwa vijana wangu, ukimtandika ujauzito Binti wa watu huko pasipo utaratibu kazi kwako
Aisee mtu apewe okay
Mpe mumeo , fyonza kibubu chake kunako korodani hadi akiwa kazini kwake huko awe anakukumbuka tu ww mkewe 😆
Asante sana mzee japo nasoma huku nacheka 🤣🤣🤣🥹
😄😄 Unacheka nin saasa?
 
Ndugu mdau umefafanua vyema sana na umegusia maeneo mbali mbali kwenye hii mada iliyopo mezani asante sana kwa maoni mazuri na karibu tena🐒
asanti sana ndugu mdau,
na mimi nipo tu hapa,
tena nipo chonjo kweli nafuatilia kwa karibu sana wadau wa heshima sana wa jf wanavyoeleza uzoefu wao kulingana na hoja mahususi mezani.

well done
 
Upo sahihi mtoto aambiwe ukweli bila kupepesa ajue which is which
Mpe mumeo , fyonza kibubu chake kunako korodani hadi akiwa kazini kwake huko awe anakukumbuka tu ww mkewe 😆
Sawa nitafyonza 🤣🤣🙌
😄😄 Unacheka nin saasa?
Aloo hata wewe ungekua mimi ungecheka tu
 
Kwa mantiki hiyo inaonyesha ushakua na wengi, bado hujapata sahihi tuu 🤔
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanawafurahisha wanaume wao kimwili huku wao wakiishia kuchafuka bila kupata haha yoyote ile
Nilikaa grocery moja pale Arusha akaja dada mmoja rafiki na yule dada wa grocery, anahadithia namna alivyoenda kugongwa na bwana mmoja waliyekutana naye Jana yake palepale grocery wakakubaliana kwenda kubanjuana.

Anasema....aseee shoga yangu nilikuwa najiuliza~ga wanawake wanasema wakit*****mbwa huwa wanakojoa , leo ndio nimejua kumbe kukojoa ndio vileeee!!!!! Huyo rafiki yake akawa anamhoji eeenheeeee hebu niambie shoga yangu umekojoleahwa? Unakojoaje jamani mbona me sijui inakuwaje? Ni nini hasa kinakuwa kinatokea......tuliokuwepo pale tulicheka sana
 
Hapa sikuamini kwamba wanaongea kwa sauti mambo hayo mbele yenu🤣🤣
 
Mahusiano ya mpya ya mara kwa mara ni umalaya kama unaingia kwenye mahusiano kwa tamaa ya ngono au pesa na kama unaigia kwenye mahusiano mpya kila mara kisa unamtafta mtu sahih inakuwa siyo sahh mie siwez kuoa mwanamke ambaye ameigia kwenye mahusiano mara 16 kisa alikuwa anamtafuta mtu sahih mpaka akanipata mm
 
Sawa mkuu na asante kwa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…