Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Inaendelea........6
.............................
Pale nilipokua nafanya kazi nikaja kuacha kazi baadae,niliacha kazi maana nilipata ajira serikalini ila ktk mji ule ule nilokua naishi,.

Kwa elimu Yangu na uzoefu nilokua nao nashukuru Mungu niliajiriwa serikalini na kupata nafasi nzuri tu,nafasi ambayo nilikua Nina watu wa chini yangu wengi ambao waliniona kama bosi wao japo sikua bosi mkubwa ila niliwaongoza na kuwapangia majukumu wengi nilowakuta pale,nilifanya kazi vizuri na kujifunza mengi zaidi na nilikua na ushirikiano mzuri baina ya walio chini yangu na juu yangu pia.

Nakumbuka baada ya miezi sita nilipata mteja ofisini kwangu ambae alikua mdada amezaliwa mwaka 1989,Huyu aliitwa Hawa,Hawa alikua binti mzuri,mrefu,mweupe,ana umbo kubwa kiasi,amefungasha mzigo sio wa kitoto,pamoja na kuwa alikuja amevaa gauni LA kitenge lakini umbo lake na msambwanda vilionekana vizuri,baadae nilikuja kumtambua kuwa ni mzaliwa wa mkoa wa Dodoma,alijifunga ushungi wake mzuri.

Nilimkaribisha nae alikuja kwangu kulalamika kuwa mtendaji wa chini yangu anamzungusha kila cku anapokuja na hashughulikii tatizo lake,tatizo lake lilihitaji MTU afike kwake na kuangalia eneo lake kisha kutoa maamuzi,tatizo hilo lilihitaji mtaalamu wa mambo ya afya maana alikua anasumbuana na majirani waliokua wanatiririsha maji machafu kuja upande wa kiwanja chake,Alisha sumbuana sana na afisa mtendaji wa mtaa wake lkn inavyonyesha mtendaji wake hakuweza kumsaidia hivyo akaamua kuja ofisini napo akakutana na MTU anamzungusha tu bila kuchukua hatua,..Mimi sikua MTU wa idara ya afya ila Nilikua na uwezo wa kumuamrisha MTU wa afya akacheki tatizo kwa huyu Dada,.
Nilimsikiliza tatizo lake kisha nikamwomba nilishughulikie,akaniomba namba zangu kisha akaondoka.

Cku ya tatu toka afike ofisini akanipigia kuuliza km nimeweza kufanya chochote,kiukweli sikufanya chochote ila nikamwomba aje ofisini cku inayofuata asubuhi.Nilivutiwa na umbo lake japo ckutamani kuanzisha mahusiano ila tu nilitaka nimwone tena uzuri wake,.Cku inayofuata SAA tatu kamili Hawa huyu hapa ofisini kwangu,tukasalimiana kisha nikamwambia tutaondoka wote kwenda kwenye eneo lake,alifurahi kwakweli.,nikapiga cm kwa kijana mmoja afisa afya nikamwita ofisini akaja,nikamwambia tutaondoka Mimi na yeye na Hawa kwenda kucheki tatizo kwenye eneo lake,nikampigia simu afisa mtendaji wa mtaa wake na kumwambia kuwa tunampitia ofisini kwake kuna mwanachi wake kaleta malalamiko ofisini kwa mkurugenzi.

Tukatoka ofisini kwa kutumia gari ya ofisi hadi ofisini kwa mtendaji wa mtaa wake Hawa,tukaondoka hadi nyumbani kwake,ilikua mtaani tu uswahilini kwenye kanyumba flani kadogo kadogo kamechakaa sana,hata umeme hakana,....
Tulivyofika akaeleza tatizo lake pale,na mtendaji akakiri kuwa analifahamu hilo tatizo ila bado alikua analifanyia kazi,mtendaji akasema kwa kuwa wote na afisa afya wako pale Leo basi watashughulika na kutoa maamuzi,..

Tukaenda kwa wale majirani wa Hawa na afisa afya na mtendaji wakapiga mkwara mzito kuwa kufika Leo SAA Tisa pale pawe pakavu na wakikuta maji machafu bado yanatiririkia kule kwa jirani yao watarudi kupiga faini kubwa kwa uchafuzi wa mazingira.Hawa alishukuru sana na kutaka kutoa sh 40,000 kama shukrani ili tukanywe supu akimaanisha elfu kumi kwa kila mmoja,(Mimi,mtendaji,afisa afya na dereva wetu).

Nikamkatalia na kumwambia ile ni kazi yetu na hapaswi kutulipa,akajaribu kunishawishi lkn nikagoma,na wakati huo akinambia alikua ananitext kwenye cm yangu ili wale wengine wasishtukie.Baadae tulimwacha pale na kumwambia kama kuna lolote basi awasiliane na mtendaji wake na asipomsikiliza anicheki mimi.Ishu ya Hawa ikawa imeishia hapo nasi tukarudi kuendelea na mambo mengine.

Baada ya cku 2 Hawa akanipigia cm kunishukuru sana kwa msaada niliompa,ila kuna kitu nilijiuliza,binti mzuri kama yule anakaaje kwenye kale kanyumba kabovu vile?,kapo uswahilini,choo kibovu hakijapauliwa wala hakina mlango,na hata umeme na maji hakuna,binti mwenyewe mzuri,anajipenda na anaonekana anafanya kazi zuri tu.

Ikabidi nimuulize kama ana nafasi aje ofisini,nae akakubali akijua ni masuala ya kule kwake.

Alipofika baada ya kusalimiana na maongezi mawili matatu nikamuuliza pale tulipokwenda ni nyumbani kwake?..Akajibu kuwa ile ni nyumba ya urithi wa mama yake,baba yàke alifariki muda mrefu yeye akiwa shule ya msingi na mama yake amefariki mwaka uliopita,akasema yeye ni mtoto pekee na hana Dada wala kaka wala wadogo zake wa kuzaliwa tumbo moja,na baada ya mama yake kufariki basi nyumba ile ya mama yake yeye ndio anaimiliki na aliamua kuweka mpangaji maana yeye haishi pale bali amepanga mahali pengine.Akafunguka zaidi kuwa sasa anafanya kazi kwenye shirika moja pale mjini ila sipendi kulitaja hapa.Akanikaribisha kwake jioni nikitoka kazini maana nimemsaidia sana.
Jioni kweli nilipotoka kazini akanielekeza kwake nikafika na ka Toyota Porte kangu,.Nikaingia hadi ndani..

Kwake palikua pazuri sana tu,na alipanga chumba na sebule.
Kitu cha kwanza nikauliza hapa unaishi na nani?.....
Wanawake bwana?.....Mungu anawaona,
Akajibu pale anaishi mwenyewe,...akadai kuwa aliolewa na jamaa ila wakaachana muda mfupi tu na sasa anaishi mwenyewe,Nikapenda sana jinsi anavyoishi,kwenye TV kaweka channel ya dini panasomwa quran,mezani nikaona msahafu wa tafsiri akasema huwa anasoma akiwa hana kazi nyingi jioni.Tukaongea sana hadi SAA mbili ucku,nikamweleza kuwa Mimi Nina mke.
Akapika nyama na ugali tukala,nikajiachia kama baba mwenye nyumba.Baadae nikaaga na kuondoka kwenye SAA mbili na nusu.

Basi tukaendelea kuwasiliana Mara kwa Mara na tukazoeana sana.Akanikaribisha tena kwake jioni nyingine nije nimpe kampani maana anadai yupo bored sana,nikaenda kweli.
Tukapiga stories nyingi,akapika nikala,huku akinisifia kuwa mkewangu anafaidi sana,hapo ndio akapandisha mashetani yangu ya NGOno.nikajikuta narusha mistari Mara kabla cjafika mbali akaja karibu yangu na kunipapasa paja huku akiniambia nisiendelee kusema mengi,yeye akadai alishavutiwa nami tangu pale nilipoonyesha busara na kumsaidia kwenye suala lake,tukaacha maongezi na kuanza kudendeka Mara tunatoana nguo pale pale sebuleni Mara akakamata koni na kuinyonya vizuri,Mara kidogo akaikalia...

Aloo tulikulana kavu kavu cku ile na Hawa maana ckujiandaa kwenda kula MTU na hivyo sikua na zana(Nashukuru Mungu alikua mzima maana nilikuja kupima miezi ya mbele),Kiukweli Hawa anajua mapenzi bwana,mtoto chuchu hazijanyonywa na mtoto bado,mtoto yupo tight hatari,nikajikuta SAA tano inanikuta pale ikabidi niage na kuondoka.nikafika home na kuleta uongo wangu bahati mzuri nikaeleweka............
........itaendelea soon
 
Inaendelea 7..........
...................
Bac kutoka cku hio nikawa nimezama jumla kwa Hawa,mtt akaniingia hatari,ikafikia wakati nalala nje ya ndoa yangu hadi asubh nikisingizia nipo safari ya kikazi kumbe nipo hapo hapo mjini nimelala na hawa,...wife akaanza kuhisi kuna tatizo ila alishindwa kupata jibu maana kwenye cm nilikua makini sana,na cm haina password wala pattern,

Nikikaribia kufika home napiga cm kwa hawa na kumuaga kabisa kuwa naingia home sasa,baada ya hapo hakuna kupiga ,kupigiwa wala hakuna kuchart na hawa tena,hadi nimtafute kesho yake nikiwa ofisini.Penzi na hawa likanoga kweli kweli,mtt nae akawa hasikii wala haoni juu yangu,mtt anataka ligi krb Mara 4 kwa wiki,.....

Miezi ikapita kama mitatu tukiwa tumekolea hatari,....ikafika cku niko nae chumbani tunaongea mawili matatu,nikamwambia nataka tufunge ndoa kabisa,awe mke wangu wa pili,nikamwambia mke wangu wa nyumbani hatakua na shida kwenye hilo maana ni jambo linaloruhusiwa na dini,na kwakua wife dini imemkolea vzr akisikia tu jambo lolote ambalo ni LA kheri na limeruhusiwa kidini basi hawezi kukataa,na pia wife mwenyewe ashaniambiaga Mara nyingi sana kuwa kuliko nimsaliti kwa kuzini basi ni bora km siridhiki kwake niongeze mke wa pili ila sharti lake hapo kwenye mke wa pili anasema ni lazima nimshirikishe kuanzia mwanzo ili ajiridhishe km mke huyo atakua mwema kwetu sote yani Mimi na yy mke mkubwa,wife hakuishia hapo akawa ananambia kuwa endapo nitaona inafaa basi nimuachie yeye anitafutie mke mdogo,mke mwenye dini na hofu ya Mungu,ambae wataishi na mke mkubwa vizuri na kuelewana kama MTU na Dada yake.

Bac nikawa namshawishi hawa akubali nimwoe mke wa pili lakini cha ajabu hawa akagoma,nilipombananisha vizuri akaniomba kuwa nimpe muda na atanijibu,nikambananisha zaidi nikamwambia kuwa km haiwezekani kutoa jibu sasa HV Bac mahusiano yetu yanaishia hapo hapo.Nilikasirika vibaya sana nikanyanyuka na kuanza kuvaa nguo zangu huku nazidi kumwaga nyongo,nikamwambia wenzake wanalilia ndoa yy anajivuta vuta,nilidhani atafurahi kuingia kwenye ndoa kumbe mwenzangu anafurahia zaidi zinaa.

Hawa akaniomba nimsikilize anambie kitu wakati huo nimesha vaa nguo zangu na viatu tayari kwa kuondoka.Hawa akasema,.,.....najua nimekuudhi lakini naomba nisamehe na pia naomba nisikilize nikueleze,....akaendelea kusema eti kuna kitu hakunambia tokea mwanzo wakati tunaanza mahusiano na alinidanganya kuwa hana mahusiano na mwanaume yyt tangu aachane na mume wake wa nyuma.

Akanambia kuwa alinidanganya maana alivutiwa na ukarimu wangu lkn ukweli ni kuwa anae mchumba ambae anajulikana hadi kwao kwa babu na bibi zake ila ndoa bado.akaniambia kuwa anatafuta njia nzur ya kumuacha taratibu maana jamaa mwenyewe huwa anampiga sana.Akaniomba nimpe muda na atamuacha jamaa ila hawezi kumuacha ghafla maana anajulikana hadi kwao.
Nilichoka mwili na akili.

Kwa hasira nikatoka na kumuacha pale ndani akiwa hajavaa hata nguo moja.
Lodge tulokuwepo ni mbali sana na mji na mm nikawasha gari nikamuacha ilhali hawezi kupata usafiri wa kurudi kwa muda huo,nikiwa njiani akawa ananipigia cm sikupokea,akatuma msg kuwa nimemuacha pale atarudije nyumbani kwake ucku ule na kesho anahitajika kazn asbh,mm wala ckujali na zaidi ya yote kwa hasira nikamblock namba zake zote ucku ule ule na kufuta namba zake..nikafika home SAA tatu ucku.

Kumbe nyuma alichukua boda na kufika kwake SAA NNE ucku.kimbembe alipofika akamkuta jamaa yake mlangoni anamsubiri na jamaa hakutaka kumpigia cm ili aone atarudi muda gani.Alipofika tu jamaa akachukua cm yake na kuipekua,akakuta msg zangu na cm zangu zikiwa zimepigwa na kumpigia sana.jamaa akamzibua vibaya sana ucku ule ule.na mm wakati Niko home nikaona namba ngeni inanipigia muda wa SAA tano.nikapokea na kusikia sauti ya mwanaume akasema,.....najua ulikua na mke wangu mnatombn,ila nakuomba uachane na mke wangu kuanzia sasa.nikamjibu mke wako ni nani?.....akajibi Hawa.

Nikashangaa kuwa jamaa anasema ni mke wake na mm nikamjibu kwa jeuri kuwa simfahamu,nikakata cm.jamaa hakuendelea kupiga.
Cku ya pili asbh nikiwa ofcn akapiga tena na akaongea kwa ustaarabu sana,akasema Jana ucku nilikua na hawa mke wake nami nikamkubalia ni kweli nilikua na hawa lakini hajawahi kunambia kuwa ameolewa.jamaa akasisitiza kuwa hawa ni mke wake wa ndoa na akaniomba kiustaarabu sana kuwa niachane nae.nikamwambia sawa.nikamkubalia kwa kuwa amesema ni mume halali Bac mm nimeshamuachia mke wake.....................
........................
Naendelea soon
 
Inaendelea 8.............

Nikajilaumu sana kwa kutokuwa makini maana nilishachoka kuwa na mahusiano na wake za watu,nikajiona ni mjinga nisiokuwa makini,lkn nikajiuliza tena,hata kama Hawa alinidanganya mbona kwa muda wote huu nimekuwa nae na tumekuwa tunajivinjari tu bila woga?

…...ni miezi kadhaa sasa imepita Niko nae kwenye mahusiano na cjawahi kuona dalili yyt ya yy kuolewa,nyumbani kwake naingia hadi chumbani na kulala nalala,natoka bafuni kifua wazi na taulo nimejifunga,nakaa sebuleni kwake kifua wazi na taulo pekee na muda mwingine tunatinduana mlango ukiwa wazi bila wasiwasi wowote,je angekua ameolewa si angekuwa na hofu ya kukutwa na mume wake?,inakuwaje ajiachie huru kiasi kile?.....
Nilijiuliza maswali mengi sana lkn ckupata majibu na ukizingatia hawa alishaniingia vzr hadi kwenye mishipa ya fahamu,nilikosa raha KBS kuachana nae,nilitamani yule jamaa awe anasema uongo ili niendelee lkn nilishaingiza uoga kwa mke wa mtu.

Unakumbuka niliwaeleza kuwa cku ile namuacha lodge ucku wkt narudi niliblock namba zake zote na kuzifuta nikazifuta?....
Bac kumbe yule jamaa akaamua kunitega km nitapiga cm,kuanzia cku hio ucku akakaa na cm ya hawa,akamnyanganya cm Hawa, akakaa nayo yy,na akamzuia kutoka ndani kwa cku 3,wako wote ndani hakuna kutoka,na cm anayo yy jamaa kuangalia km nitapiga,kzn hawa akaombewa ruhusa kuwa anaumwa,na kweli alikua anaumwa kwa kipondo alichopokea kutoka kwa jamaa.cku ya kwanza ikapita ckupiga cm,cku ya pili ckupiga,ya tatu ckupigà,cku ya NNE jamaa akatuma msg ya kunitega eti bby mambo?....,...msg nikaiona ckuijibu nikaifuta.akajaribu kupiga(kwa maelezo ya hawa ),cm ikawa inakata tu na jamaa akaelewa kwamba nimeiblock,at least akawa na amani,akamrudishia cm mkewe nae akasepa.

Kuondoka tu hawa akaanza kunitafuta kwa cm na haikumchukua muda mrefu kutambua kuwa nimemblock,akaanza kutuma msg ndefu kama magazeti akiomba nimsamehe kwa yote na hapo hapo akinisifu kwa kumpiga block na kutojibu SMS za nyuma,hapo ndio akaniweka wazi kuwa kwa cku 3 mfululizo hio cm ilikua na jamaa yake na Leo cku ya NNE ndio kamrudishia baada ya kuona hakuna ushirikiano toka kwangu,...Nikawa nasoma msj zake kisha nafuta na kujisemea kimoyo moyo kuwa nae vile vile ctamjibu km ambavyo ckumjibu huyo jamaa yake.ckutaka kuendelea kujiweka ktk hatari.

Cku zikaisha Mara wiki,wiki ya pili inaanza Mara hawa akanitafuta kwa namba nyingine,akaamua kusajili kabisa namba mpya maana zile za awali hawezi kunipata sababu ya block alokula.akapiga nikapokea,akasalimia vzr sana nami nikasikia sauti yake na kuitambua vzr.saut yake naijua sana.nilipohakikisha ni yy nikakata cm na kuiblock ile namba aliotumia.

Cku inayofuata SAA tano asbh Mara MTU huyu hapa ofcn kwangu,nilichoka,.,kumfukuza nashindwa,akaingia akanisalimu na kusimama hapo mbele ya meza yangu huku akiniangalia kwa tambasamu pana,hajuagi kununa huyu mtt wa kike,na tabasamu lake huku anajiuma midomo mwanangu huchomoki.basi mwanaume nikajifanya simuoni na kukodolea macho desktop yangu huku nikiwa wala sina cha maana ninachofanya hapo kwenye desktop, nilishaona dalili ya kuukubali msamaha maana aliingia akiwa kapendeza hatari huku chumba kizima kikinukia unyunyu aloingia nao,na midomo anajiuma huku akinitabasamulia na kisauti chake kidogo km cha wema sepetu nikajua Leo nikichomoka salama naenda kutoa sadaka msikitini.

Mtt akaanza kujielezea kwa marefu na mapana🤣,
Hakunificha kitu chochote,akakubali kuwa ni kweli ameolewa na huyo jamaa mwaka mmoja uliopita,ila hampendi huyo jamaa maana anampiga Mara kwa Mara na pia hana msaada nae ndio maana hataki kumzalia mtt,pia akasema jamaa àlikua mkristo akabadili dini kuwa mwislam ili amuoe baada ya ndoa jamaa amerudi kuendelea na ibada zake za kanisani akimaanisha jamaa alitaka ndoa tu,pia akanambia jamaa ana mke mwingine na watt wilaya ya jirani na wao familia yote ni wakristo,pia akanambia ndio maana huwa tunapata muda mwingi wa kujiachia bila kuwaza maana wakati huo jamaa ana kuwa wilayani kwa mke mkubwa,...

Ebwana ndugu zangu nilizidi kuchanganyikiwa kabisa,nikamuuliza ni kwa nn amenidanganya Mara mbili?,kwanza mwanzo alinambia hana mume wala hana MTU,na baadae nilipombana tuoane akanidanganya tena kuwa ana mchumba anajulikana hadi kwa babu yake.Akanijibu kuwa tangu nilipomsaidia kwenye ishu yake alinipenda kwa busara zangu na akatamani ningekuwa mume wake,akaniomba nimpe muda maana yupo kwenye hatua za kuachana na huyo jamaa maana anamnyanyasa sana,hii Mara ya pili naambiwa nimpe muda eti wataachana tu🤣,(mara ya kwanza ilikua ni mchumba ake),akaniomba nisimuache na tuwe japo tunasalimiana ktk kipindi hiki ambacho anafanya utaratibu wa kupewa talaka kisha tuowane,...

Shetani ni shetani tu,nikajikuta naingia kingi kiulaini baada ya kubembelezwa na kijisauti chake,nikakubali kumsamehe na kum unblock namba zake ila nikamwambia awe makini kufuta kila kitu kuhusu Mimi hadi atakapo kuwa huru.nilivyo mwehu eti sasa naanza kusubiria kwa hàmu watu waachane ili mm nimiliki nikiamini kuwa wataachana tu🤣.
Taratibu taratibu tukaanza kurudisha mawasiliano Mara mawasiliano yakakolea kama kawa,Mara tukaendelea kubanjuana kama zamani,tena safari hii tukizidisha zaidi...

Cku zikaenda Mara wife wangu akazipata habari,kuwa Niko na mahusiano na mwanamke wa haja,akamtafuta hadi akamjua,...
Wife akanambia nikaruka futi mia,nikasema cmjui huyo hawa na cjawahi kuwa na mahusiano na MTU huyo.maskini wife akajikausha ila akanambia kuwa naskia huyo Dada ni mke wa MTU,kama ni kweli nakuombea kwa Mungu ucje pata madhara makubwa kwa kutembea na mke wa MTU,moyoni nikawa namjibu kuwa mm cjaanz kutembea na wake za watu Leo,mm ni mzoefu wa wake za watu,najua kucheza na hio sekta na huyu ni wa nne ss utaniambia nini?.....

Maskini ckujua kwamba hiki cha safari hii ni kisanga.....
........inaendelea......
........
 
Haya mambo haya acha tu.. kisa chako cha kwanza kinafanana kabisa na changu japo ww jamaa umekubuhu maana hukutaka kuacha hata baada ya kufumwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli nilikubuhu
 
Kwenye kupata BIKIRA hapo nimefata nyayo mkuu.
Any way sijaju huyo mkewe baadae alizingua au lah.

Narudia tena kwa wanaume wenzangu ukibahatika kupata Bikira Oa kabisa narudia tena Oa
Tena anahofu ya Allah
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaaa
emoji39.png


Kuna mtu ataniuliza Kush umepata Bikira
emoji23.png


Ye

Kwenye kupata BIKIRA hapo nimefata nyayo mkuu.
Any way sijaju huyo mkewe baadae alizingua au lah.

Narudia tena kwa wanaume wenzangu ukibahatika kupata Bikira Oa kabisa narudia tena Oa
Tena anahofu ya Allah
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaaa
[emoji39]

Kuna mtu ataniuliza Kush umepata Bikira[emoji23]

Yec
Mkuu napenda kukujulisha kuwa mke wangu huyu anafaa kumfanya darasa tosha kwa baadhi ya wanaume wenye tabia mbovu km mm nilivyo,na pia kwa wadada wenye tabia mbovu anafaa kuwa kiigizo chao,ktk umalaya wangu wote huyu bidada hakuwahi kubadilika hadi Leo,cjui nyuma ya pazia maana ni binaadamu na yy,ila nakuhakikishia ckuwahi kumuona na chembe ya usaliti,
 
Back
Top Bottom