Kuomba na kupewa ni nature ya mwanamke, anaamini kupewa ni haki yake. So, lazima hata wewe unaomba!
Nampa za nini kama sijamuoa? Kwanza sitaki wanawake ombaomba toka ujanani!!We huwezi kumpa mpenzi wako pesa mpaka
Uombwe?
Sipo huko.
Manii ndo huwa zinawasumbua mwili. Sio lazma u sex au upige nyeto ndo uzitoe. Mwili huwa unatoa taka automatic, ukifika wakati wa kuzitoa, Mboo inazitema automatic wakati mwili umerelax, umepumzika au/ umelala.
Ni kweli , ila ukija kwenye kitabu cha mithali kinaongelea mwanamke mzalishaji wa mali , unapewa hiyo pesa na sio unaenda ichimbia kama yule liwali mjinga , unapaswa uwe kama yule liwali mwerefu , ukipewa talanta moja uzalishe ziwe talanta kumi.Sio kwa kumnyima pesa sasaπ
Sitaki kuamini leo nimeitwa chizi heh π₯²Samahani mkuu, nilikuwa namjibu huyo chizi Seran. π
Ni kwa nini hawataki mawazo mazuri kama haya na mtaji unampa?
Nina miaka nishaavuka huko, waambie hao madem zenu wanao hit sasa hiviπNyie nae punguzeni kuomba hela ndogo ndogo kama kama hela ya kusuka inakushinda nyoa low cutting flan.
Sitaki kuamini leo nimeitwa chizi heh π₯²
Hata wanawake mmewaongelea sana!l mbona sisi hatuwaongelei hivi?Hayo tumeshaongea sana, mafuta, magari, majumba, madili makubwa nk, kumuongelea mwanamke ni haikwepeki mkuu
We muoga eeh? Unamuomba nini na wewe mpaka akuombe? Mtu ambaye hujamua unamuomba mali ni ya kwako?Nampa za nini kama sijamuoa? Kwanza sitaki wanawake ombaomba toka ujanani!!
Wanataka kupewa kwa ajili ya kutumia, weka 500k kwa simu yake, aende mlimani city akafanye manunuzi ila sio kumuwezesha. Japo wapo wachache, ila wengi wanataka wapewe tu throughout. Bahati mbaya dunia ya kibepari inamtaka hata mwanamke akatoe jasho.Ni akili tuu mbovu za wanawake siku hizi. Hata mimi nilishajiuliza sana hilo suala. Kuwahudumia kiuhalia hawataki, kujengewa uwezo pia hawataki.
Hawa viumbe ni ajabu sana mkuu.
ndio mie haipo ya kuwapa, ninayo hela ya kunitosha mwenyeweSema huna wewe sio kusemea nafsi za waume wenzio!
Well! Well.. wewe tunaongea lugha moja!Ni kweli , ila ukija kwenye kitabu cha mithali kinaongelea mwanamke mzalishaji wa mali , unapewa hiyo pesa na sio unaenda ichimbia kama yule liwali mjinga , unapaswa uwe kama yule liwali mwerefu , ukipewa talanta moja uzalishe ziwe talanta kumi.
Mwezi uliipita nilikuwa mbezi kikazi nililala lodge wiki tatu. Sasa wikiend ya kwanza tu nikasema niende lubumbash maana sijawahi kufika nimepasikia tu kwa miaka mingi sana. Nikamwambia bodaboda atangulie mimi namfuata nyuma.Ni kweli, hata mimi kununua hapana, ile ya direct hapana. Ila nawaelewa vijana, kijana anaendesha boda, kila siku anapeleka 12k kwa bosi, mafuta ya boda kila siku, ale na watu wake, then akutane na fish mwenye njaa, hatoboi mkuu.
Walau akanunue, siku akiwa na upwiru aweke 10k mezani akapunguze uzito, hapo Tegeta na Mbezi wanaenda sana kupunguza uzito.
Aah hapanaa.. kwanini nikutoe lakini?Unataka kunitoa kwenye mada eeh?π
Ulitaka hiyo 500k akafanyie nini?Wanataka kupewa kwa ajili ya kutumia, weka 500k kwa simu yake, aende mlimani city akafanye manunuzi ila sio kumuwezesha. Japo wapo wachache, ila wengi wanataka wapewe tu throughout. Bahati mbaya dunia ya kibepari inamtaka hata mwanamke akatoe jasho.
Kumpata huyo ambaye sio mchonyo wa pussy ndio kazi ilipo,,mimi kwenye kutoa hela sinaga shida,ila wanawake kupanua migui duhh ni kazi kwelikweliUnatafuta asiye mchoyo wa π±