Huyu nilichukua tu namba yake na tangu nichukue namba yake ilikuwa hapa imepita siku 3 tu issue hapo sio kuomba nyama nikudanganya ilikujipatia hela ndio wanawake wengi wa sasa wapo hivyo hapo yupo nyumbani kwa wazazi wake na wako vizuri anakudanga eti kala pilau bila nyama eti nimtumie hela ale nyama nilivyombana ndio kasema ukweli sasa unajiuliza kama hili dogo tu tena la kipuuzi anakudanganya ili ale hela yako kivyovyote vile atakudanganya mangapi? Ndio sample ya wanawake wengi wa Sasa wako hivyoHuyo ni binti hajajitambua na bado tegemezi mpaka nyama hawezi nunua, unamuota mwanamke kivipi?
Kuwa na nyege sio shida ni nature ya binadamu lakini kuendeshwa na nyege kwenye maamuzi yako ndio shida yenyewe hiyo ndio inawacost wanaume wengi ndio inasababisha wanawake wapate nguvu dhidi yao.Unakabia juu sana mkuu! Sio lazima kuwa na nyege lakini🤣
Kuwa na nyege sio shida ni nature ya binadamu lakini kuendeshwa na nyege kwenye maamuzi yako ndio shida yenyewe hiyo ndio inawacost wanaume wengi ndio inasababisha wanawake wapate nguvu dhidi yao. MwUnakabia juu sana mkuu! Sio lazima kuwa na nyege lakini🤣
Somo hapo ni kuangalia aina ya mwanamke unayetaka kujenga nae maisha mwanamke ambaye anaua mpaka ndugu zake ili apate pesa zako eti utasikia Leo mjomba yupo mahututi sijui baba kameza kijiko mara sijui nani kafanya hivi alafu utegemee eti anaweza kuwa make Bora kwakoSijaelewa somo hapo ni lipi? Nafikiri mshauriane kutulizana au muoe! Hii ya kujiokoteza mabinti mkitaka mjipigie tu kama mnapiga mpunga haipendezi! Unapotaka kupita na mabinti za watu bila kuwajibika ujitafakari sana!
Bro hv ukikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi wanasema kuna madhara je ni kwel, na vp kuhusu kuwa na mtoto umri gn mzur w kuwa n mtoto usivuke umri huo?Hivi kwani hamuwezagi kutuliza mboo zenu????? mbona inawezekana, hivi ukituliza mboo ni nani atakuomba hela????
Binafsi nimeweza kukaa bila mpenzi na Sina mpenzi na siwezi toa hela kisa Ku....ma za wanawake.
Na maisha yanaenda vzr na Nina songa mbele
Duhh! Kasheshe!Huyu nilichukua tu namba yake na tangu nichukue namba yake ilikuwa hapa imepita siku 3 tu issue hapo sio kuomba nyama nikudanganya ilikujipatia hela ndio wanawake wengi wa sasa wapo hivyo hapo yupo nyumbani kwa wazazi wake na wako vizuri anakudanga eti kala pilau bila nyama eti nimtumie hela ale nyama nilivyombana ndio kasema ukweli sasa unajiuliza kama hili dogo tu tena la kipuuzi anakudanganya ili ale hela yako kivyovyote vile atakudanganya mangapi? Ndio sample ya wanawake wengi wa Sasa wako hivyo
Basi huyo sio mke unayemtaka wewe mpuuze tafuta mwingine!Somo hapo ni kuangalia aina ya mwanamke unayetaka kujenga nae maisha mwanamke ambaye anaua mpaka ndugu zake ili apate pesa zako eti utasikia Leo mjomba yupo mahututi sijui baba kameza kijiko mara sijui nani kafanya hivi alafu utegemee eti anaweza kuwa make Bora kwako
Ndio maana wanawake wengi wanatumika ila kwangu Mimi ukiwa tu mbabaishaji simpi nafasi kabisa mwanamkeBasi huyo sio mke unayemtaka wewe mpuuze tafuta mwingine!
Wanaume wengi wanaokuja kwake wababaishaji vilevile akajua nawe mmoja wao! Kwanini mnajisahaulisha hiyo michezo mnaanzisha wenyewe! Ukute kachoka kukopwa kaona ajiombeshe mambo ya ela ya nyama😅Ndio maana wanawake wengi wanatumika ila kwangu Mimi ukiwa tu mbabaishaji simpi nafasi kabisa mwanamke
Hakuna madhara yoyote Bali Kuna faida za kuimarika kiafya, kiakili na kiuchumi,Bro hv ukikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi wanasema kuna madhara je ni kwel, na vp kuhusu kuwa na mtoto umri gn mzur w kuwa n mtoto usivuke umri huo?
Hapo Hziyech22 haukua na mtu kwa kweli, dada seran njoo ona aina ya wanawake ambao sahivi wamejaa kwenye dating pool, ndo inabidi wanaume tuchague wa kuwaoa kati ya hao makoroma SeranKuna mmoja siku ya sikukuu ananiambia nyumbani wamepika pilau bila nyama ananiomba basi nitumie hela ale nyama na kwao wako vizuri tu nikamwambia mbona unanidanganya pilau gani likapikwa bila nyama wakati kwenu mpo vizuri ndio akabadilika akasema naomba nimtumie ale chips na kuku, mkuu hizi ndio sample za wanawake wa dar pale wanaume tukiamua kuacha kunyenyekea **** hawa wanawake wasingetupanda kichwani
Tuliza mboo haya yote hayatakupata Wala huta ombwa ombwa.Kuna mmoja siku ya sikukuu ananiambia nyumbani wamepika pilau bila nyama ananiomba basi nitumie hela ale nyama na kwao wako vizuri tu nikamwambia mbona unanidanganya pilau gani likapikwa bila nyama wakati kwenu mpo vizuri ndio akabadilika akasema naomba nimtumie ale chips na kuku, mkuu hizi ndio sample za wanawake wa dar pale wanaume tukiamua kuacha kunyenyekea **** hawa wanawake wasingetupanda kichwani
Hapo umeongea vitu viwili.Mkuu unataka wanawake tuwe tunapanua tu miguu kama vichaa? Tafuta mwanamke wako mmoja tongoza akikaa kwenye laini atakupanulia mpaka utamchoka mwenyew! Kama unaenda kama unanunua inakuwa ngumu lazima upigwe vzr tu!
Kama anahisi kila mwanaume nimpita njia basi atasubiri sanaWanaume wengi wanaokuja kwake wababaishaji vilevile akajua nawe mmoja wao! Kwanini mnajisahaulisha hiyo michezo mnaanzisha wenyewe! Ukute kachoka kukopwa kaona ajiombeshe mambo ya ela ya nyama😅
Huyo nilichukua tu namba na hapa ilikuwa imepita siku 3 tangu nichukue namba yake. Kwangu Mimi mpaka nimekupa nafasi ya kuwa kwenye mahusiano ni lazima nijiridhishe Kwanza unafaa na kama ulipretend na ikanikuta upo kwenye mahusiano huwa sisiti kukuacha
Vyovyote vile inategemea umempata mtu wa aina gani na mna makubaliano yapi sasa! Wanaume bana, unakuta unamuomba mdada namba asubuhi jioni unataka uipige, kisa tu umeona anakufaa akw amatumizi! Humuoneshi interest yoyote tofauti na kumla unategemea matokeo yapi? Mkikutana kimjini mjini mnamalizana kimjinimjini! Or else ukutane na mtu loyal akuweke wazi kila mtu apite hivi! Na bado utakuja kulalamika hujampa pesa ndiomaana kakataa🫢Hapo umeongea vitu viwili.
1.cha kwanza umesema naenda kama nanunua ,kumbe itabidi nikiwa natongoza mwanamke mpaka namlala itabidi nisitoe hela yoyote ili isionekane kama nimeenda kununua sio?
Ndio, mimi ukishanieletea habari za oesa tangu mwanzo najua nia yako ni nini, kwahivyo ukianza na mtaji unamaliza na mtaji! Simple..2.La pili nililokuelewa ni kwamba nitafute mwanamke nimtongoze mpaka akae laini bila kuonesha nataka kumnunua,hivyo nisimpe hela.
Inategemea unawatoa wapi ss, mfano vyuoni mabinti wanatoka kwao na tania tofauti tofauti ila wakifika huko wanaanz akuiganq! Matokeo yake ndio kama hayo unayoyaona mitaani! Mwingine hata hana cha kuofanyia pesa ila anaforce tu! Pia mitandao inatuharibu sana, ile pressure ya mitandaoni inaaffect sana zero brain girls!Ila nikwambie asilimia 95% ya wanawake mtaani hawako kama hivyo unavyosema,labda hawa wa under 20,
Ila 21 and obove are money mongers
Yaani demu uwe na namba yake alafu eti usiombwe hela ni nadra sanaHapo umeongea vitu viwili.
1.cha kwanza umesema naenda kama nanunua ,kumbe itabidi nikiwa natongoza mwanamke mpaka namlala itabidi nisitoe hela yoyote ili isionekane kama nimeenda kununua sio?
2.La pili nililokuelewa ni kwamba nitafute mwanamke nimtongoze mpaka akae laini bila kuonesha nataka kumnunua,hivyo nisimpe hela.
Ila nikwambie asilimia 95% ya wanawake mtaani hawako kama hivyo unavyosema,labda hawa wa under 20,
Ila 21 and obove are money mongers
Na kama akihisi kila mwanaume ni mkaaji atat**bwa sana!Kama anahisi kila mwanaume nimpita njia basi atasubiri sana
Sio kila mwanaume anaonesha uhitaji wa kingono yeye kama mwanamke anatakiwa amsome Kwanza huyo mwanaume Kwanza kabla ajaanza kulialia shida zake hapa ndipo wanawake wanapofeli. Sisi wanaume tunajua kusoma Kwanza akili ya mwanamke ndio tunajua namna gani tutaenda sambambaNa kama akihisi kila mwanaume ni mkaaji atat**bwa sana!
Sio kila mtu anasomeka, ila kwa akili za huyo wako mara kuomba nyama, sidhani kama anaweza kugundua mkaaji!Sio kila mwanaume anaonesha uhitaji wa kingono yeye kama mwanamke anatakiwa amsome Kwanza huyo mwanaume Kwanza kabla ajaanza kulialia shida zake hapa ndipo wanawake wanapofeli. Sisi wanaume tunajua kusoma Kwanza akili ya mwanamke ndio tunajua namna gani tutaenda sambamba