Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Mtu mzima una macho una mikono si kilema unasubiri kupmbaomba tu hela hapo ulipo hutaki kujishughulisha una mlaumu tu mwenzako we kweli zezeta
 

Si umuache, mtu hana hela utaishi nae vipi, alafu wee nusu kichaa nn
 
Wewe unafanya kazi gani ?
 
Hana Hela lakini si kitandani yupo vizuri...
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mvumilie dada yangu ..

Huwezi pata vyote...
 
Wewe Ni binti mjinga Tena mpumbavu. Nani alikwambia Mwanamume kazi yake Ni kumalizia matatizo yako ambayo hata wazazi wako walishindwa kuyamaliza. Tafuta kazi/biashara uwe na kipato Chako, acha kutuletea mashudu hapa kuwa unaomba mwanamume elfu tatu...

Pika vitumbua, chapati, maandazi, uji uza....
 
Wewe unajishughulisha na nini? Km una pesa na unampenda msaidie huyo engineer (kwa mujibu wa rafiki yake) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe unaonekana tegemezi mnagombana kwaajiri ya buku la vocha?? Hebu anza wewe kuonyesha utafutaji wa pesa ili na yeye ashawishike
 


Mna ndoa? Na mtoto? Kama hauna mtoto usipoteze mda wako hapo, yajayo, kamwe hayafurahishi...

Ubaya wa mwanaume akiwa na hela ni mara kumi zaidi ya ubaya alio nao wakati hana hela.

Mwanaume anashindwaje mpa mwanamke wake hela ya vicha, na kama hawezi kwa nini uwe ugomvi?

Hivi ni uhaba wa wanaume au Dada zetu mmekuaje jaman? Hemu jiaminini mkapambane huko nje.
 
Hivi wanawake Kwa nini mnatoka kimapenzi na vibaka, mnapauka mnajiona acheni ujinga, usikute unababaika na sura na ubishoo, hivi mademu washamba bado mpo mnapauka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…