Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Nina binamu yangu mmoja aliniambia mwanaume km humtaki muombe pesa 🀣🀣🀣
Huo ujasiri sasa wa kunyanyua mdomo uombe ndo inakuaga changamoto πŸ˜‚πŸ˜‚,, bora nitafute namna nyingine.... incase akikupa utaendelea naye na humtaki???
 
Huo ujasiri sasa wa kunyanyua mdomo uombe ndo inakuaga changamoto πŸ˜‚πŸ˜‚,, bora nitafute namna nyingine.... incase akikupa utaendelea naye na humtaki???
Sasa si humtaki unamtafutia sababu ya kumfurusha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa si humtaki unamtafutia sababu ya kumfurusha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna wengine wapuuzi anaweza akakupa,, utaanza kutafuta sababu nyingine πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ... me hua namwambia tu sikutaki basiπŸ˜…πŸ˜…πŸ€­,, sema sasa wengine wanatia huruma maskini πŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ
 
Njoo PM nikupe mtaji,unakaaje na Mwanaume Buku ya Vocha mpaka mgombane??hayo ni Mahusiano au Machafuzi??halafu Mwanaume mwenyewe hana pesa na bado anaomba Tigo,khaaa
 
Utaendelea kumuomba pesa mpk akate tamaa 🀣🀣🀣
 
Utaendelea kumuomba pesa mpk akate tamaa 🀣🀣🀣
Mmh hapana kwakweli... me nikiona mtu kinga'ang'anizi sana hua namwambia nina UTI sugu naogopa ntakuambukiza, maana sikuizi wanaogopa sana UTI hawa watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We umependa mtu au nn angalia aman ya moyo na kwann una date over kama hakupi usiombe
 
Mmh hapana kwakweli... me nikiona mtu kinga'ang'anizi sana hua namwambia nina UTI sugu naogopa ntakuambukiza, maana sikuizi wanaogopa sana UTI hawa watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Thubutuu!! Sio kwa hii mipaka mapepe 🀣🀣🀣
Hata uwatishie ngoma hawaogopi
 
Hapo chagua kimoja sasa

1. Umvumilie hivyo hivyo ubaki na penzi lako unalolipenda huenda akazipata mambo yakakaa sawa (japo hamna uhakika mambo yatakuwa sawa huenda umaskini ndo fungu lake)

2. Au ukubali kumuacha ukatafute mwenye hela za kukuhudumia (inahitaji kukaza roho hasa kama unampenda kweli)

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…