Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Hakuna linaloshindikana kwa mwanaume, mwanaume hata kama hana hela kwa mwanamke anaempenda atatufuta means tu aptae pesa ampatie,ukiona hakupi buku ujue hana hisia na inawezekana wewe ndiyo unamuharibu hisia za kukupenda kwa kumuona hafai hana kazi ya maana
 
Jaribu kutulia binti,ila hata yeye mambo ya kuchagua kazi si mazuri kwa sasa ,yeye kama dereva haifai kuchagua gari ipi awe nayo,chombo chochote atembee nacho.

Maisha ya sasa haifai kufanya uchaguzi wa ,labda kama kakosa michongo kabisa ,ila kama kazi zinatoka anaanza kuchagua hilo ni tatizo.

Unaweza ukamuacha pia ukaendelea na preference zako, ma bwana kibao wapo wenye pesa ila tambua kila mbuyu na shetani wake,utakayo yakuta huko usiache kuja na mrejesho.

Njoo pm nikupe maelekezo huenda yakamsaidia
 
Njoo Rose Garden hapa tulijadili hili
 
Mpendwa kama unampenda huyo mkaka kua proud na naye usiangalie kazi wake kingine tafuta hela zako na wewe ili uweze kununua vocha siku ambazo anashindwa kukupa buku za vocha itaounguza makasiriko na mwisho acha habari za marafiki zangu watanionaje maisha ni yako kama marafiki zako wanakupenda basi watamkubali mwanaume wako mbali na hapo hao sio marafiki piga chini fanya mambo yako.
 
Wewe hujielewi ni Bure kabisa [emoji1787] inhekuwa mie hata cent sikupi huwezi changanya mafaili hivi mara mumeo , mara unataka kumtambulisha nyumbani kwenu

We sema tu huyo ni hawala yako full stop

Na hilo limkosi umempa wewe [emoji1787]
 
Sasa unasema anacheti kizuri asome walau phamacy utamsomesha wewe wakati wewe mwenyewe unalia hana pesa na wewe pia una mindset za kimasikini....badala mshikamane mfungue ata kituo kidogo muuze matunda jion muongeze kipato wa unaangalia cheti chake...wewe unachangia nn kwake au mbususu tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…