Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,505
- 2,393
leo kayatimba,, au mshikaji ndo kapewa simu atupimieMbona nyuzi zake nyingi anajieleza kama ni ke😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo kayatimba,, au mshikaji ndo kapewa simu atupimieMbona nyuzi zake nyingi anajieleza kama ni ke😃😃
Ila hajaonekana hata kujibu comments toka ameweka uzi amepotea, labda anasoma kimyakimyaleo kayatimba,, au mshikaji ndo kapewa simu atupimie
TrueUsisingizie kazi. Wanawake wengi As long Mwanaume ana pesa Hua huangalii kazi, ndio maana ni kawaida mwanamke Kuishi na Mwanaume Jambazi, Muuza madawa, Mshirikina kwenye pesa.
Watu hadi chozi tunatoa mbele ya mtoto mzuri hatuoni shida 😄sema sasa wengine wanatia huruma maskini 🤦♀️🤦♀️
Ila nyie mkitaka jambo mnafanya kila namna yani khaa😂😂😂😉Watu hadi chozi tunatoa mbele ya mtoto mzuri hatuoni shida 😄
Tunajua kwamba wenzetu mmeumbiwa roho za huruma kwahiyo tukitia huruma tu kidogo mnatupea 😊Ila nyie mkitaka jambo mnafanya kila namna yani khaa😂😂😂😉
Ila nyie Mungu anawaona😂😂😂🙌Tunajua kwamba wenzetu mmeumbiwa roho za huruma kwahiyo tukitia huruma tu kidogo mnatupea 😊
Hakuna linaloshindikana kwa mwanaume, mwanaume hata kama hana hela kwa mwanamke anaempenda atatufuta means tu aptae pesa ampatie,ukiona hakupi buku ujue hana hisia na inawezekana wewe ndiyo unamuharibu hisia za kukupenda kwa kumuona hafai hana kazi ya maanaNina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.
Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara
Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.
Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.
Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.
Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.
Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.
Friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yaani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki yake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.
Nawaza hata kumtambulisha home na hiyo kazi yake bora awe mfanyabiashara tu hata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
mkuu agiza pepsi ya bardiiiiiiiiiiiiiiii iwe na tubarafu barafu kdgMtafutie hiyo kazi unayoipenda/mfungulie hiyo biashara
Siunampenda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna issue nasikilizia hawafai,.Kama wanavyochaguachagua nasi tuna haki kuchagua a man for our best future.... Maisha ni sasa,mambo ya nasikilizia nini sijui,hapana
Njoo Rose Garden hapa tulijadili hiliNina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.
Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara
Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.
Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.
Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.
Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.
Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.
Friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yaani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki yake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.
Nawaza hata kumtambulisha home na hiyo kazi yake bora awe mfanyabiashara tu hata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Kwa mwanamke atapata chaaapKama unafikiri hela ni rahisi Ingia mtaani utafute 10k bila connection uone mziki wake
Mpendwa kama unampenda huyo mkaka kua proud na naye usiangalie kazi wake kingine tafuta hela zako na wewe ili uweze kununua vocha siku ambazo anashindwa kukupa buku za vocha itaounguza makasiriko na mwisho acha habari za marafiki zangu watanionaje maisha ni yako kama marafiki zako wanakupenda basi watamkubali mwanaume wako mbali na hapo hao sio marafiki piga chini fanya mambo yako.Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.
Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara
Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.
Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.
Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.
Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.
Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.
Friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yaani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki yake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.
Nawaza hata kumtambulisha home na hiyo kazi yake bora awe mfanyabiashara tu hata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Wewe hujielewi ni Bure kabisa [emoji1787] inhekuwa mie hata cent sikupi huwezi changanya mafaili hivi mara mumeo , mara unataka kumtambulisha nyumbani kwenuNina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.
Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara
Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.
Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.
Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.
Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.
Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.
Friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yaani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki yake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.
Nawaza hata kumtambulisha home na hiyo kazi yake bora awe mfanyabiashara tu hata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Mwambie aje kwangu kazi ninayo ila pesa zinaishia kwenye kubeti[emoji1787][emoji1787]Achana nae huyo haraka sana, atakufuja na kukupausha, muda wako ndio huu wa kushine binti.