Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

du pole sana, jaribu kwenda kwenye hospitali kubwa yaani ambapo wapo ma specialist ,achana na madaktari wa kawaida
Pia ni hospitali kubwa kuliko zote kanda ya ziwa na kulikuwa hadi na wagonjwa wengine kutoka nchi jirani (congo na ug)
 
Tuendeleee ngoja nichukue popcorn nakuja

Msiniache mbali..
 
Pole Sana..maana ukweli Ni kuwa kadri MDA unavyo kwenda ndio uwezo wa kwenye Yale Mambo yetu unapungua.

.ungekwenda tu SA.
Acha kujifikiirisha MDA huo huna Tena ..asili watoto ulee.. mwanamke akija kukuacha ..kisa hamna kitu kule ..uwe na watoto ...

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Wazo zuri ila kuasili nadhani itakuja baadae huko at 50's ....hivi sasa naendelea kuchakata akili na kuona alternatives zingine....
 
Sisi ni wa Mungu. Ndiye anayetujua kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu. Fanya matibabu huku ukiamini kuwa mganga ni yeye ila anatumia madaktari kuudhihirisha ukuu wake. Hakika utapona. Utapona hakika. Na utapata wana na mabinti kutoka kiunoni mwako! Mungu ni mkuu sana
 
Wazo zuri ila kuasili nadhani itakuja baadae huko at 50's ....hivi sasa naendelea kuchakata akili na kuona alternatives zingine....
Kwanini uasili mtoto? Ukapandike mke azae mkuu.
Kinachoota na kuzaa shambani kwako ni chako...mengine ni mapokeo tu.
Kuwa mwanaume acha kuwaza hadi kujikosesha amani.
Ikiwa vipi tafuta sperm dona akakutolee upandikiziwe kwa mke yaishe
 
Inaendelea

Baada ya daktari ****

Wazo kuu kwa sasa ni hili la kutafuta sperm nifanye upandikizi walau ila bado nafsi inakataa kuchukua mbegu ya mwanaume kuleta kwangu
 
Inaendelea

Baada ya daktari ****

Wazo kuu kwa sasa ni hili la kutafuta sperm nifanye upandikizi walau ila bado nafsi inakataa kuchukua mbegu ya mwanaume kuleta kwangu
[emoji3516]
MKUU,
KWA SASA WEWE JIKITE KWENYE TASNIA YA UDUFUAJI BUMUNDA BILA WASIWASI,
KUNA "KE" WENYE TABIA YA KUBAMBIKIA WATU MIMBA.

UNKNOWINGLY WATAKUBAMBIKIA MIMBA,
NA WEWE UIKUBALI BILA PURUKUSHANI,
HAPO UTAKUWA UMEMALIZA KESI!!!

UMENIELEWA VIZURI WEWE??
 
Inaendelea

Baada ya daktari ****

Wazo kuu kwa sasa ni hili la kutafuta sperm nifanye upandikizi walau ila bado nafsi inakataa kuchukua mbegu ya mwanaume kuleta kwangu
Sio wewe unaamua badi dunia imekuchagulia mambo 2 upate nyege za mtu au ukose kabisa mtoti
 
Inaendelea

Baada ya daktari kumaliza upasuaji na ushonaji, wakamsogeza kijana pembeni kidogo kuona maendeleo yake kama robo saa na baadae kuondoa kitanda kile kuelekea chumba cha uangalizi maalum....basi baada ya muda kidogo ganzi kuisha maumivu ya mshona na ya kupoteza tumaini kwa mbali yalimvunja moyo kijana....taratibu taratibu kijana picha ya mtoto machoni mwake inaanza kupotea .....ila akawa na tumaini huenda wamembakishia ata korodani moja ...

Maumivu yaliendelea hadi siku hiyo ikapita ikaja siku ya pili yake (hakufahamu ila aliambiwa na wanaomuhudumia kuwa zilitumika siku mbili ndani ya chumba)....siku ya pili yake karudishwa wodini,
Baada ya kufika walikuja madaktari wengine kumhoji na kukagua eneo la upasuaji na kiingereza chao aliwaelewa ......wakawa wanakiongozi wao anasema "siyo vizuri kuondoa korodani bila kushauriana na madaktari wengine"

Hasira zilimuingia kijana akataka kuwajibu kwanini hawakufanya hivyo awali hadi wanasubiri akiwa kachomwa sindano za ganzi ndiyo wamuulize kutoa au zibaki apate kansa.
Basi na baada ya kukagua chini hakuna kitu ata moja haipo hasira zikaongezeka kwa kijana.

Baada ya siku tatu hospitilini kijana akaamua kuondoka , madaktari walipendekeza aendelee kubaki ila akakataa maana kadri siku zinavyozidi kwenda na gharama zinaongezeka na ni siku tano sasa hajafanya shughuli yeyote ya maendeleo....kijana akaomba kuondoka.

Itaendelea
 
Back
Top Bottom