Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Hata kama akitoa sperms haziwezi kuwa na vile viluwiluwi. Zikuwa mfu kutokana na joto la tumbo. Hapa lazima aelewe kwamba korodani ziligomea tumboni wakati wa development hazikushuka!!vipi kuhusu sperms zinatoka au la?