Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

Kuna wanawake wana maksudi yaani anakubambikizia mimba wakati hana mahara pa kuipeleka (kwani aliyempatia hana kitu) ila siku mwenye mtoto akipata pesa, hizo dharau utakazokutana nazo siyo za nchi hii....mwishoni anakupatia ukweli wote yaani sipati picha utakavyolia na mtoto anaondoka na kukuacha na aibu ya maishaπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
 
Daah kuna mdada aliniandama sana anataka mchezo nami nikaona hii mbona sio kawaida nikashtuka kumbe amebeba mimba anachagua baba wa kulea mtoto.
Nafikiri kila akinikumbuka hana hamu kwa jinsi ambavyo niliruka viunzi.
Ndipo alipojifungua siku moja akaweka status ya baba wa mtoto na mtoto...nilicheka sana..usiniulize nilicheka nini🀣🀣
 
Na hapo yawezekana alikuona na chochote kitu....vipi siku baba harari wa mtoto akazipata..??πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Aiseeee pole sana kijana Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na uendelee kuwa na subra

kuna maisha mengine pia me naona kwa maisha Aya ya duniani mtumikie sana Mungu ili aje akulipe kwenye maisha mengine

Kila Jambo lina sababu ndugu yangu na Kama ni mapenzi yake Mungu kapenda wewe uwe ivo

Yakupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo kumbuka wahenga waliona mbali sana mpaka wakaja na msemo kuwa "mtoto wa mwenzako ni wako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…