Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

Pole.
I feel your pain.
Lakini kuna wenye matatizo kukuzidi. Kamwe usichukue uamuzi wa kujidhuru au kujitoa uhai.
Ukihitaji familia kuna wadada wameshazaa na wamefiwa na waume zao. Unaweza jaribu bahati yako. Kila la kheri.
Tuko wengi mkuu
 
Mods muwe mnaweka na kitufe chenye emoji ya kulia....tafadhali I😭
 
Dah,sad🥺🥺
 
Kama nakosea basi nakubali kukosolewa. Ila hii ni hadithi tu, maana imeandikwa kiufundi mno na mtu mwenye fani ya uandishi.
 
Nikuulize swali fupi tafadhari...
Kwanini unaishi...?
 
Nikuulize swali fupi tafadhari...
Kwanini unaishi...?
Ni swali ambalo nimejiuliza mara nyingi sana japo sijawahi kuyafungulia thread jf 🙏🙏

Ninaishi kwa sababu nina uhai ambayo ni zawadi kubwa kuliko zote maana kama kuna kitu ambacho billion ya watu waliolala kaburini wangepewa nafasi bhasi wangeomba pumzi hata ya dakika tano tu ili wajirekebishe au warekebishe kitu flani maana uhai ni fursa ambayo kila binadamu anapewa ONCE


Ninaishi kwa sababu nimeijua impact yangu kwenye maisha ya watu wengine, sio watoto maana sina japo umri ni sahihi kuwa nao Ila watu ambao nimejitolea kwao. Professionally na kikawaida kiushauri hata kuwasaidia wasiojiweza. Nipo naturally selfless na hakuna kitu nainjoi kama kusaidia watu, kwa kila tumaini na tabasamu nalolisababisha kwao, it means a world to me

Ninaishi kwa sababu nimeijua nafasi yangu na kujiangalia katika uhalisia wangu. Kuzimiliki na kuzikubali kasoro zote nilizonazo,

magumu hote niliyopitia na ninayopitia pamoja na makosa makubwa niliyoyafanya


Yote hayo yamenifanya kuwa mimi na kuna viatu ambavyo navivaa kwa sasa, ninaamini nisingekuwa hivi nilivyo nisingeweza, labda ningekuwa na kazi serikalini, nimeoa nina watoto na maisha yameishia hapo

Ila kwa utofauti wangu ndio umenipa nafasi ya kuyaona maisha katika angle tofauti ambayo wengi hawaioni, maisha yamenipa jukumu ambalo si kila mtu analo and in sha allah, siku moja nitafanikisha

Hiyo ndio core ya maisha yangu, sio watoto , sio mke, sio ndugu, sio familia but MYSELF 🙏🙏🙏
 
Usiishie kuwatupia lawama wazazi mkuu maana hata mimi yalinikuta kama yako japo tofauti kidogo(sitoweza kuelezea hapa) nililalama ila nikaishia kushukuru maaana yameshatokea sasa
Pole,ingekuwa vizuri kama unge-share iwe fundisho kwa wengine

Kumbuka maisha ni fumbo
 
Ni kweri kabisa ss sote hatujui kesho yetu itakuaje cha msingi ni kumshukuru mungu kwa kila jambo na kila kinacho tokea kwenye haya maisha ni mipango yake mungu na kuna kusudio la mungu kufanya hivyo emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
I'm wadau naomba Kuliza ivi unaweza simamisha haliyakuwa hauna korodani poumb ata moja...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…