Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

Ndoa ni mhimu full stop , utaruka ruka weeeh ila utakuja tuu kwenye line ,
 
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
mwanamke u
mwanamke unyanduliwe huko na wanaume mia kidogo unategemea nani atakuridhisha. Wengine wamewanywea madawa ya kuongeza nguvu Jitunzeni tangia mkiwa wadogo uone km ndoa itakushinda. Tunza bikira yako acha kufukuliwa sana subiri ndoa.
 
You are right mkuu,sijui tufanyeje Ili tuwe na mahusia na mtu sahihi
Anza kwa kujielewa wewe mwenyewe, wewe ni nani, unataka nini, kwa sababu gani, kitu gani ni muhimu kwako, kitu gani kinaonekana muhimu kwa jamii lakini si muhimu kwako?

Matatizo mengi ya mahusiano yanatokana na watu kuingia katika mahusiano bila kujielewa wao wenyewe, kwa kufuata mkumbo, kwa kufuata jamii.

Ukiingia katika mahusiano hivyo, unacheza kamari ya pata potea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…