Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

Mapenzi ni muhimu kwa kweli, ila Sasa pesa hakuna ndo mana wengn wameamua tu kutulia zao
 
Ina depend your desire or your passion iko wapi. Kuna watu wameoana wameamua wasizae. Wanasayansi wakubwa wa dunia hii hawakuoa.
Kuna muda mwenza wako anaweza akakurudisha nyuma , mahusiano yanachukua energy ambayo ukiweka kwenye Innovation unafaulu kabisa.
Mahusiano mfano kwa wazungu divorce Ni ishu ya kawaida na ndio Mana wako mbele kimaendeleo. Unakutana na ke anakuambia Nina divorce tano na bado anataka kuolewa.


Mahusiano Ni very strong emotions mkuu na Tena Ile ukapenda kabisa.
Furaha yako hakikisha haiwi kwa mahusiano utaumia.
Wanaume halisi ke hawaitishi kivile.

Sema Sasa ukiwa average man ndio utabakia kulilia mahusiano Mana Ni ngumu watu wawili kufanana mawazo yaani haipo kwanza.
Watu wanakaa maabara wanaumizwa vichwa about chanjo ya ukimwi na malaria ili waafrika wapenda ngono wasizaliane ama wauziwe unadhani atapata muda wa wapi kuwaza mahusiano.

Yapo Ila sio ya kuyapa kipaumbele. Kuna jamaa mmoja alimuacha auntie yangu bana akapata mke hakimu halafu mhaya aliyekuwa na kiwanja kapri point anamshawishi wakajenga so ilivyoisha jamaa akaachwa.
Nasema wanaume wanaondeshwa na tamaa za ngono hawapendi mbali kwenye maisha.
Yaani huwezi kuwa hata na jina kwenye wilaya yako ama Kijijini kwenu tu.


Tafuta uone wanaume wenzako waliofanikiwa mahusiano yao yakoje like matajiri hata wa hapa hapa bongo weusi Kama wewe uulizia utaambiwa.
They don't care about marriage yaani masikini ndiye analilia mahusiano Mana Hana faraja nyingine. Mengi ilikuwaje kwa mke wake mkubwa si waliachana
 
Ukikosea kupata mtu sahihi, lazima uvurugike kwenye mahusiano na kujikita kwenye utafutaji zaidi.
 
Umeongea fact tupu....mkuu
 
Duuh mkuuuu ujengewe sanamu aseee pale posta 💯💯💯💯
 
Mhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…