Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

Mkuu lakini vifungu ndiyo "foundation ya dini"....ni sawa na vifungu vya katiba ya nchi....yupi awezaye kutaka kuchambua sheria za nchi akaitupa mgongoni katiba?!!!

Nakubaliana nawe kuwa AKILI iko juu ya kila kitu....na katika dini....akili inahitajika kuhoji.....majibu huwa HAYAJIFICHI[emoji106]
Tunasikia katiba imepita na wakati ni kwasababu binadamu ameamusha ubongo wake kwakufikri zaidi kunavitu vingi vinabadilika 'we need adaptability skills'
 
Mungu ni mmoja tu hakuna cha nafsi tatu acha kumshirikisha Mwenyezi Mungu unakufuru
Mkuu wangu mkienda hivyo hautakuwa mjadala wa kisomi[emoji1787][emoji1787]

Mwenzako ndiyo imani yake inavyosema...Yesu ni nafsi miongoni mwa zile 3 za Mungu...ambazo ni WAYAHUDI NA WAISLAMU tu ndio wanaopinga kwa maandishi yao..
 
Sawa na kwanini bible iseme dunia ni flat. Ambapo quran inasema dunia ni duara.

Book of Daniel, Chapter No.4, Verse No.10 and 11. It says… "In a dream, that the tree grew up into the heaven, and there when the tree grew up into the heaven, it grew up so much, that every one from all the ends of the earth, they could see the tree" This is only possible, if the shape of the earth was flat.
Kwenye neno halisi la kigiriki hawakusema kona kuna mtu alishatolea ufafanuzi hili. Neno halisi lilimaanisha miduara.
 
Kama utasoma mawazo yako bila makengeza na unazi, utagundua unapopotea. Unaposema hija siyo lazima lakini ni nguzo ya uislam, unamaanisha nini? Ni daraja gani linaweza kusimama bila nguzo mojawapo? Naona umeamua kutetea ujinga na udini uchwara. Hakuna dini unayoweza kuitetea. Uislam aka uarabu hauna tofauti na ukristo. Ungejua uislam umekopi na kupaste toka ukristo wala usingeandika uliyoandika. Angalia hata hiyo kuran. Kila kitu ni biblia isipokuwa ngano na visa vya muhammad. Kwa taarifa yako nimeuosoma hata saa nyingine kuliko wewe. Nimesoma hadi ilm ghaib na vitabu vyake vingi. Ukiulinganisha uislam na ukristo ni ndugu wa baba na mama mmoja. Ndiyo maana waislam wanaambiwa walio karibu nao sana ni wakristo. Umekopi kila kitu cha ukristo. Angalia ukoloni wa kupandikiza watu majina ya kigeni au kung'ang'ania lugha za kigeni. Wakristo mwanzoni walikuwa kama nyinyi. Kila kitu kilipaswa kuwa kwenye kilatini ili kuendelea kuwafanya waumini wajinga na mbumbumbu. Wote wana asilil moja, mashariki ya kati na wote ni waarabu. Wanaongea lugha moja. Hebu jiulize tofauti ya Shalom na Assalaam alaykum. Wote wana sehemu moja takatifu yaani Jerusalem ambako eti muhammad alitokea kwenda mbinguni wakati alikuwa hajawahi hata kufika kule. Wote wana historia za ugaidi. Wote ni wauaji. Walimuua Yesu huku waislam wakiuana wao kwa wao bila kusahau mauaji ya Sayddina Ali mkwe wa mtume wenu. Wote ni waongo na wabaguzi dhidi ya waafrika. Nenda mikoa ya Pwani uone wanavyooa mabinti wa kiafrika na wakizaa mabinti wanawakimbizia mashariki ya kati kuwa watumwa na vyangudoa. Tafuta nani wa kwanza kufanya ugaidi duniani kama siyo wao. Nakushauri jisomee japo kidogo ili uweze kutoa hoja.
Umesoma ilmu ghaibu...

Hiyo ilmu ghaibu ni elimu gani mkuu?!!!
 
Tunasikia katiba imepita na wakati ni kwasababu binadamu ameamusha ubongo wake kwakufikri zaidi kunavitu vingi vinabadilika 'we need adaptability skills'
Kipindi cha katiba kupitwa na wakati huwa vifungu vyake havitumiki mpaka katiba nyingine ipatikane?!!![emoji1787]
 
Kisomi kabisa....

Pumzi gani unayoizungumzia?!!!

Pumzi roho ?!!!

Ama pumzi hewa?!!!

Kama ni pumzi hewa ni lazima iwe na utaratibu...mapafu yanahusika....[emoji1787]

Kwa hiyo aya ya kuhusu mwezi unajitengenezea mwanga wake tusichukue maelezo yalivyo bali mantiki ?!!!

Hapa ndipo tatizo lilipo....kutafsiri maandiko kwa kutumia lugha nyingine huweza kuondoa maana ya neno "mama"....hwenda BIBLIA ya kiyahudi(Hebrew Bible) ikawa na maana tofauti kilugha na maana usemayo mkuu wangu [emoji1787]
Na ndo maan katika mijadala ya dini ukishaona mtu anajadili sijui Yesu alikaa kwenye nini mbona hapa imeandikwa hivi ujue huyo mtu hajakomaa kidini. Kama unataka kujadili dini jadili maswala ya imani. Je Amri kumi zinasemaje na Yesu alisemaje kuhusu hizo amri? Je Yesu aliziishi amri kama za Mussa?
 
Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua

Exactly. Na ndo maan Yesu alivokuwa akizungimza nao kwenye masinagogi yao hawakumuelewa mpaka wakaja kumsulubu. Na sio kwamba hawaelewi ila ego iliwaponza sababu Yesu alizaliwa masikini na wayahudi walijitengezea false idols matajri wa wakati huo so hata mwana wa Mungu walitaka awe tajiri kweli kweli.
Yesu hakuuwawa na wayahudi...acha kuwasingizia [emoji1787][emoji1787]

Kwanza wayahudi hawakuwa na adhabu za kuwatundika watu katika "misalaba"....hapa hebu pachunguze mkuu wangu....

Ni ushahudi upi unao kusema kuwa wayahudi hawakuelewa TRINITY....kwa kuanzia...nipe kwanza references za TRINITY kutokea katika BIBLIA ya kiyahudi kabla hatujaendelea....kwani usiponipa rejea kutokea huko...hautokuwa mjadala wa kisomi kunitolea rejea kutokea BIBLIA YA KIKRISTO kwani itakuwa ni utetezi wa "msukumo" binafsi tu [emoji1787]
 
Haya makanisa yaliyotuletea na kutuambia Bible ni neno la mungu ndio hayo hayo yalitaka kuwaua na kuwafunga Copernicus na Galileo ambao walisema dunia inazunguka Jua, kanisa zamani walifundisha na kuamini dunia ndio center of the universe na kila kitu hata jua vinazunguka dunia (uwongo mtupu)
 
Mbona kuna vifungu vingi vimeonesha quran nd ina assume kuwa dunia ni flat. Tena kuna sehem inachanganya inasema alitangulia kuumba mbingu ikaja dunia na kuna sehem inasema ilitangulia dunia ikaja mbingu.
Toa reference. Mimi nakupa reference hapa.

Book of Daniel, Chapter No.4, Verse No.10 and 11. It says… "In a dream, that the tree grew up into the heaven, and there when the tree grew up into the heaven, it grew up so much, that every one from all the ends of the earth, they could see the tree". Hii ingewezekana pale ambapo dunia ingekuwa ni Flat. Ila kwa dunia duara huwezi kuuona mti pande zote za dunia hata mti uwe na urefu kiasi gani. Kwahiyo hapa bibilia imedanganya.

Quran 79:30, says "And we have made the earth, egg shape"
 
Yesu hakuuwawa na wayahudi...acha kuwasingizia [emoji1787][emoji1787]

Kwanza wayahudi hawakuwa na adhabu za kuwatundika watu katika "misalaba"....hapa hebu pachunguze mkuu wangu....

Ni ushahudi upi unao kusema kuwa wayahudi hawakuelewa TRINITY....kwa kuanzia...nipe kwanza references za TRINITY kutokea katika BIBLIA ya kiyahudi kabla hatujaendelea....kwani usiponipa rejea kutokea huko...hautokuwa mjadala wa kisomi kunitolea rejea kutokea BIBLIA YA KIKRISTO kwani itakuwa ni utetezi wa "msukumo" binafsi tu [emoji1787]
Je wao hawaamini kuwa Mungu alimtokea Ibrahimu kama ilivo katika agano la kale?
 
Haya makanisa yaliyotuletea na kutuambia Bible ni neno la mungu ndio hayo hayo yalitaka kuwaua na kuwafunga Copernicus na Galileo ambao walisema dunia inazunguka Jua, kanisa zamani walifundisha na kuamini dunia ndio center of the universe na kila kitu hata jua vinazunguka dunia (uwongo mtupu)
Quran ilishaeleza muda mrefu namna solar system inavyofanya kazi kabla ya wanasayansi wa kileo kugundua.
 
Na ndo maan katika mijadala ya dini ukishaona mtu anajadili sijui Yesu alikaa kwenye nini mbona hapa imeandikwa hivi ujue huyo mtu hajakomaa kidini. Kama unataka kujadili dini jadili maswala ya imani. Je Amri kumi zinasemaje na Yesu alisemaje kuhusu hizo amri? Je Yesu aliziishi amri kama za Mussa?
Yaani mtu kapanda mlimani karudi na vipande vya mawe eti vimeandikwa amri 10, akasema zimetoka kwa mungu na nyie mnakubali na hakuna ushahidi wowote, ngano za Biblia sometimes nacheka sana
 
Toa reference. Mimi nakupa reference hapa.

Book of Daniel, Chapter No.4, Verse No.10 and 11. It says… "In a dream, that the tree grew up into the heaven, and there when the tree grew up into the heaven, it grew up so much, that every one from all the ends of the earth, they could see the tree". Hii ingewezekana pale ambapo dunia ingekuwa ni Flat. Ila kwa dunia duara huwezi kuuona mti pande zote za dunia hata mti uwe na urefu kiasi gani. Kwahiyo hapa bibilia imedanganya.

Quran 79:30, says "And we have made the earth, egg shape"
Achana na mambo ya historia kama tunajadili dini hapa. Natak unambie kwanini Muhammad alioa mtoto mdogo wa miaka 6 wakati Yesu aliagiza waachezi watoto wadogo waje kwangu kwa maan ufalme wa mbingu ni wao.
 
Je wao hawaamini kuwa Mungu alimtokea Ibrahimu kama ilivo katika agano la kale?
Kabla hatujaendelea...

Mkuu umekubali kuwa wayahudi hawakumuua yesu ?!!

Umekubali kuwa wayahudi hawakuwa na adhabu za kuwatundika wakosefu katika misalaba?!!
 
Achana na mambo ya historia kama tunajadili dini hapa. Natak unambie kwanini Muhammad alioa mtoto mdogo wa miaka 6 wakati Yesu aliagiza waachezi watoto wadogo waje kwangu kwa maan ufalme wa mbingu ni wao.
Sasa mimi na wewe nani anajadili historia. Yani maandiko ya kitabu chenu unayaita historia. Ina maana yashaexpire au. Mnafikiria kuyabadilisha au kuandika injili nyingine
 
Yaani mtu kapanda mlimani karudi na vipande vya mawe eti vimeandikwa amri 10, akasema zimetoka kwa mungu na nyie mnakubali na hakuna ushahidi wowote, ngano za Biblia sometimes nacheka sana
Umeona mambo hayo sasa nd ambayo shetani amewafunga. Unaacha kujadili hayo yaliyoletwa wewe unajadili jinsi yalivyoletwa aisee. Tuambia kuiba ni vizuri au sio vizuri? Uzinzi na uasherati unafaa? Je kuabudu sanamu kwafaa? Je kuua kwafaa? Je kumzema jirani yako uongo kwafaa? Je kumtamani mke wa jirani yako kwafaa? Kutopumzika baad ya kazi za siku sita kwafaa? Je kutomuheshimu baba yako na mama yako kwafaa? We unakuja sijui na mambi ya mawe hayo hayakuhusu yaliwahusu wao.
 
Na ndo maan katika mijadala ya dini ukishaona mtu anajadili sijui Yesu alikaa kwenye nini mbona hapa imeandikwa hivi ujue huyo mtu hajakomaa kidini. Kama unataka kujadili dini jadili maswala ya imani. Je Amri kumi zinasemaje na Yesu alisemaje kuhusu hizo amri? Je Yesu aliziishi amri kama za Mussa?
Kwenye imani hapo ndiyo muhimu sana wiki 4 zilizopita nilikuta watu wanabishana kwamba kwanlni Mungu hamungamizi shetani kama ni kweli ana mpenda mwanadamu nikawajibu shetani nikwaajili ya binadamu kujifunza' 'reflective practice' nakwamba chaajabu nikwama shetani ukimuomba anajibu kwa wakati lakini Mungu anajibu wa wakati anaotaka yeye maana anatujua vizuri kwa maana nyingine unapokuwa msafi wa kiroho unakuwa karibu na Mungu hatakujibiwa unajibiwa kwa wakiti wekeni vifungu kwa hili nilolisema
 
Quran ilishaeleza muda mrefu namna solar system inavyofanya kazi kabla ya wanasayansi wa kileo kugundua.
Christianity ilikuwepo tangu 1st century na Islam ilikuja sana in 7th century, kwa hiyo unaweza kuona hiyo knowledge ilikuwepo tayari so sioni ajabu kama uislam walipatia, halafu nyie mnajua dunia ipo billions of years leo mnataka kutuambia vitabu na hadithi zisizo na kiaka hata 1000 ndio neno la mungu na kila kitu na asiyeamini ni moto
 
Achana na mambo ya historia kama tunajadili dini hapa. Natak unambie kwanini Muhammad alioa mtoto mdogo wa miaka 6 wakati Yesu aliagiza waachezi watoto wadogo waje kwangu kwa maan ufalme wa mbingu ni wao.
Mkuu....

Genesis 1:28

Wayahudi walikuwa wanaoana kuanzia kupevuka(12 mpaka 15 kwa wasichana)....

Je una reference kuwa Muhammad alimuoa binti wa miaka 6 na akaanza kukutana naye kimwili kipindi hicho ama alimsubiri apevuke?!!!
 
Back
Top Bottom