Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

Mnafananisha kipato cha Ulaya na Afrika ukikesha Ulaya pana nyongeza kutokana na muda kitu ambacho ukikesha Tanzania ni risk tu ya kupokonywa piki piki na kuuawa...
Matumizi pia yako juu ukilinganisha na tanzania, bongo unaweza kupata nyumba ya 30k kwa mwezi takribani $10, Ulaya huwezi kupata nyumba ya $180 kama 550k kwa mwezi sasa angalia tofauti hiyo
 
Duh, bongo changamoto, hiyo mishahara inafanana na kufanya kazi bila malipo
 
Na kuna bodaboda hadi leo anamilki boda zake tatu, moja anatumia na mbili amewapa watu wanamletea 10k kila mmoja.

Maisha hayajawahi kuwa rahisi hata kidogo, hiyo sekta unayoona kuna ugumu Sana wa maisha, kuna watu wanalaza 40k+ kwa siku, wanalea, wanasomesha na wanajenga.
 
Matumizi pia yako juu ukilinganisha na tanzania, bongo unaweza kupata nyumba ya 30k kwa mwezi takribani $10, Ulaya huwezi kupata nyumba ya $180 kama 550k kwa mwezi sasa angalia tofauti hiyo
Mkuu usilinganishe Ulaya na Tanzania kwenye kupata mafanikio...idadi ya wanaofanikiwa Nchi zilizoendelea kwa wageni ni kubwa kuliko nyumbani..
 
Huyo mama ni mjalaana na abdul mzawa wa tumbo lake amelaaniwa pia ...shikeni haya maneno yangu...maana kuna watu wananishangaa kumwita huyo kiumbe mjalaana ila watakuja kunitukuza siku si nyingi ngoja ikitokea kawa rais tena 2025 ndiyo watajua kuwa icho kiumbe ni laana kamili ..wewe jiulize kwa hali hii ya maisha ilivyo kashindwa nini japo kulegeza maisha kwa kushusha bei ya umeme kwa nusu ikiwa bwawa la umeme limekamilika..wameona ni bora kuzima mashine zisifanye kazi kuliko kushusha bei ya umeme...kisa tu kumlinda fisadi na raia feki mwenzao jambazi sugu ROSTAM AZIZI aweze kuwa kamua watanzania kwa bei ya juu ya GES mara mbili ya bei iliyo stahili
 
Kwahiyo umeme ndio umeona Cha maana kwakua kinakuathiri wewe
Tumia akili ....umeme ndiyo kitu pekee ambacho kipo kwa sasa chenye kuweza kupunguzwa bei kama serikali ina nia njema maana bwawa limekamilika na mitsmbo 7 yote ila umewashwa mmoja hapo tunajifunza kitu kuwa serikali dhalimu ya samia haina nia njema wala dhamira njema kwa watanganyika hilo bwawa ni mali ya serikali kwa asilimia 100%...kama bei ya umeme ingeshuka kwa nusu basi bei za vitu vyote zingeshuka kwa asilimia zaidi ya 25% kuanzia gesi ingeshushwa bei ila yupo muhuni ROSTAM AZIZI huyu ndiyo tatizo kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…